Tafadhali wajavi wa mambo mwaka huu inshalaah na ndoto za kudunduliza nipate angalau usafiri vipi gharama za MAZDA CX-5 na au Kluger
Thanks in advance.
Wakuu narud Tena kwenu kutaka ushauri nyie ndio wataalamu wahizi mambo..nimebaki na machaguo mawili ya gari Mazda CX5 na xtrail new model ninunue ipi Kati ya hizi ambayo itakua economically na kwa...
Jamani naombe muongozo wa hatua za kuchukua napotaka kumiliki gari..!!
Ndio umeliki wangu wa kwanza kwa hatua ya gari. Ni kampuni ipi nzuri ya kuanzia, Toyota, Subaru au nyinginezo ambazo...
Gari kua na tinted ni jambo la msingi sana. Inaongeza privacy na usalama, inapunguza joto (heat na UV rays) na kuongeza "muonekano" mzuri.
Sasa hawa wawekaji wa Instagram wanatuwekea sawa tint...
Msaada wakuu,nataka ninunue gari used iliyosajiliwa zanzibar,ije bara,ya mwaka 2004,cc 1490,bei mil 5,,ushuru tra sh ngapi,na usafirishaji sh ngapi,mpaka naanza kutumia dar baada ya kusajili..
Msaada wadau, Kuna Gari nimeipenda ipo zanzibar na muhusika anasema Gari imekaa Miaka 2 kule, ni cc 1800 Toyota celica, nilipomuuliza kuhusu kodi akasema haizidi 2m kitu ambacho nimepata mashaka...
Salaam Wakuu,
Kuna gari plate namba Z736 JY,
Bei sh 7M.
Itanigharim jml Sh ngapi, pia itakuw plate namba gani.
Kuifikish Dar?
Asanten.
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Habari za majukumu wapendwa.
Kuna jamaa yangu anatarajia kununua Vits kutoka Zanzibar kuileta bara,kuna gharama gani ajiandae kuzilipa?Wenye ujuzi na mambo haya msaada tafadhali.
Nimeokota katoyota vitz namba B Injini na body ni nzma hadi nimeshangaa jamaa sijui alikuwa anaitunzaje still nawashauri.unaponunua gari usikimbilie.namba kagua ubora wa injini na body kuna gari...
Super charge ni kifaa kinachofungwa kwenye exhaust manifold kwa ajiri ya kuongeza nguvu ya utoaji wa hewa chafu nje ya injini baada ya kuunguzwa kwa mchanganyiko wa hewa na mafuta.Lakini Turbo...
DEFLECTOR :Hii ni sehemu ya kichwa cha piston iliyochongoka au kujitokeza kwa juu.
ZIFUATAZO NI KAZI ZA DEFLECTOR KATIKA PISTON.
Kuwezesha mchanganyiko uliokwisha kuunguzwa kutolewa...
Wadau Nataka kununua kigari cha kupigia misele hapa mjini. Yaani Nataka kila niendapo iwe ni mwendo wa kukanyaga Gia Tu.
Je kuna gari zaidi ya Vitz na Passo Kwa ulaji mdogo wa mafuta.?
Wakuu hii ni passo ya 2 kumiliki, ya kwanza nlimvua mtu nikaa nayo km miaka 4 nikauza nikanunua mpya sasa ninayo mwaka wa 5 unaelekea, mimi ni heavy user nasafiri nayo sana hadi km 1300 non stop...
Kwa miaka mingi nimetumia Toyota nilianza na Rav4, Passo, Raum, Noah, Spacio, Kisha nikarudia Noah ambayo niko nayo muda mrefu kuliko gari zote hizo tangu 2019.
Natamani sasa kupata Gari nyingine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.