JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
Nimelazimika kuleta hii thread baada yakukutana na matatizo mawili yanayofanana ndani ya siku 5 katika magari mawili tofauti. Tar 21 mwezi huu kuna jamaa alinicheck, nimeshamfanyia kazi kabla...
6 Reactions
8 Replies
2K Views
Jamani kwa anae jua nauli ya ndege kutoka dar hadi morogoro
2 Reactions
42 Replies
1K Views
Wakuu kuna wakati tulioneshwa magari yanayotengenezwa na kampuni ya mtanzania mwenzetu mzalendo kindakindaki Masoud Kipanya. Kama kuna anayejua yanauzwa kwenye showroom gani au yanapatikana wapi...
3 Reactions
12 Replies
378 Views
Understanding How to Read a Tire is crucial when selecting the right one for your vehicle. Let’s break down tire markings like 205/55R16 91V: 1. Tire Width (205): Indicates the tire’s width in...
5 Reactions
10 Replies
418 Views
Salaam, Katika kujadili masuala mbalimbali yanayohusu magari, nilipata kuweka moja ya mitandao wa uuzaji na ununuaji wa magari Uingereza. Mtandao huu unaitwa Autotrader, ni moja mitandao maarufu...
9 Reactions
24 Replies
6K Views
Wakuu nimepata gari aina ya nisan pick up. Nilitakujua changamoto ya gari hizi ni nini na kwahabari ya spea zake zikoje ni gharama sana au ni cheap naomba kwa mwenye uzoefu aniambie Naomba...
3 Reactions
8 Replies
408 Views
Tunaingia mwaka mpya, na ndio muda ambao TRA Tanzania wanapitia tena calculator yao ya kuingiza magari used. Import Duty, VAT na Excise Duty ndio vinavyochangia tuwe na kodi kubwa sana kwenye...
16 Reactions
49 Replies
2K Views
Najua kwa namna moja au nyingine muhusika atapata huu ujumbe, na sio tu kwa hii chuma na kwa vyuma vingine. Kwa mfano Nissan Leaf 2019 naona kwenye kikokotoo chenu mme-estimate kwamba CIF yake...
15 Reactions
42 Replies
2K Views
Huku bei ya mafuta ikiendelea kupanda kila kukicha ndani ya hii miaka mitano (kutoka Tsh 2100/= hadi sasa Tsh 3300/=) na hamna "dalili" kuona bei ikishuka, ni muda wa Watumiaji kubadirisha...
29 Reactions
57 Replies
7K Views
Msaada nina honda fit first generation, gari inamiss na kuishiwa nguvu kisha inazima na kuwaka taa ya check engine na taa ya betri baada ya muda inawaka , changamoto inaweza kuwa nini wajuzi na...
3 Reactions
3 Replies
190 Views
Habari wana Jf? Mimi ni kijana ila napenda kuwa na usafiri Kwa ajili ya mambo yangu ya kazi na privacy zangu mwenyewe za kimaisha. Kazi yangu ni Mwalimu . Naomba ushauri wa aina ya gari ambayo...
20 Reactions
214 Replies
19K Views
Ni mtambo gani mzuri wa kuutafutia gamba kati ya EXCAVATOR na MOTOR GRADER. Upi ukiwa na gamba lake unakupa wigo mpana sana katika soko la ajira ukilinganisha na wakati tulionao.
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Habari wakuu,nina gari yenye engine 2sz nilimwaga oil na kubadili oil filter ikiwa na kilomita 95,000 fundi akaandika kwenye service card kuwa natakiwa kumwaga tena ikifika kilomita 98,000.Sasa...
7 Reactions
30 Replies
899 Views
Hiki ndicho wasemacho 👇
4 Reactions
22 Replies
1K Views
Habari za majukumu ndugu zangu, kama kichwa cha habari kinavojieleza hapo juu napenda kuuliza bei ya control box ya gari tajwa hapo juu maana gari yangu iliingia kwenye maji ikapiga shot So nataka...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Ni kwa miaka zaidi ya 15 gari pekee nazoendesha ni automatic Gari za manual nazipenda ila napata shida kubalance klachi na moto wakati wa kubadili gia. nikiachia klachi nikianza kukanyaga moto...
14 Reactions
93 Replies
4K Views
Kampuni ya magari kutoka Korea Hyundai, wameungana na Muhindi TVS kuleta "bajaji" za umeme ambazo unaweza ukazitumia kwa business au usafiri private. Hyundai yeye atatoa engineering na...
16 Reactions
23 Replies
740 Views
Gari nyingi kama 1st, vitz ,ractis na gari zingine ndogo Kiupande wangu gari ndogo nimeendesha na kumiliki kama tatu ractis vits na ist kwa kipindi tofauti ila utofauti na watu wanavosema...
8 Reactions
26 Replies
1K Views
Habari wadau Tafadhari naomba uzoefu kwa mtu amewahi kumiliki ama yupo familiar na Volvo V40 (hasa ya 2012-2019). Ningependa kujua juu ya reliability, common issues, fuel consumption na...
3 Reactions
7 Replies
336 Views
Back
Top Bottom