Kwa gari ambayo ni manyo lazima utumie miguu yote miwili kuendesha. Mguu mmoja unazingatia wese na huo mwingine breki na klachi.
Kwenye autos break ndo iyoiyo inashift gia. Kwaiyo unaweza...
Si kwamba nazikandia hizi gari za kijapan la hasha. Nimewahi kuzimiliki Chaser mayai na balloon GX90. Kila moja imevuma kwa nyakati zake. Zikisifika kwa wepesi mwendo (kuchanganya haraka) kiyoyozi...
Naomba kuuliza lita 1 ya petrol inaweza kutembea kilomita ngapi kwa pikipiki za TVS
Kingine naomba kujua bei ya petrol lita 1 ni shilingi ngapi kwa sasa.
Habari,
Gari yangu aina ya toyota cami nikiiwasha inawaka bila shida (jino moja) ila ikikaa sekunde 25 inaanza kumis kisha inazima na ikishazima haiwaki mpaka ipite nusu saa msaada shida unaweza...
Wakuu nauliza kipi kiliwafanya Hawa jamaa waweke Engine kubwa kwenye Kluger? Yaan nikiwaza ukubwa wa engine Bora nilipuke na Nissan Xtrail 1990cc angalau sitawatajirisha wauza mafuta
Kluger...
Wakuu naomba kuuliza kuna mtu anatumia gari aina ya Nissan Qashqai au Dualis na kukutana na adha ya gari kushtuka baada ya kuwekewa oil feki kwenye gearbox. Kama yupo naomba kujua alitatuaje hilo...
1. Hawa jamaa mbali na nauli zao kuwa kubwa (mimi nililipa R15,525 Dar-Johannesburg-Cape town).
2. Luggage allowance Ni 20kg tu (tofaut na mashirika mengine Ni 23kgs x 2).
3. Huduma zao mbovu...
Wakuu mko njema?
Kwanza tupeane Pole kama Taifa na Janga la Kariakoo! Tumuombe Mungu asimamie afya za majeruhi na kuwarehemu waliofariki🙏
Tukirudi kwenye mada. Nimekuwa interested sana na AUDI A5...
Ni aina ya gari inayoaangaliwa kwa jicho la tofauti sana... Likionekana ni gari ghali na la kifahari huku watu wakitishana sana kuhusu ughali wa vipuri na upatikanaji wake wa shida.
Lakini...
MwanaJF,
Naomba tujadili magari magumu zaidi kwa mazingira ya Tanzania. Magari ambayo unaweza ukaendesha zaidi ya miaka 15+ bila shida kubwa kubwa. Services za kawaida na replacement ndogo ndogo...
Habari
Magari ya mizigo number plate zao ni njano je kwenye kadi huwa zinaandikwa private au huwa unabadilisha kuwa commercial lakini number plate inabaki ya njano na kama linaingia private kwenye...
Mambo vp wadau wa JF.
Ninaomba kuelimishwa kwa maana elimu haina mwisho.
I'm just asking this out of curiosity (Curiosity once killed the 🐈 cat)
Je, ni takwa la kisheria au ni uamuzi tu wa watu...
Baada ya kupambana na toyota/mjapani kwa muda mrefu (tunajua anasaidia kujenga barabara zetu lakini yeye pia anapata $$ $ za kutosha kutoka ununuzi wa magari yake).
Ni wakati wa kuabdili upepo na...
Wakuu habari,
Nina toyota Allex, changamoto yake ni kuwa, nikiwasha, engine ikipandisha temperature kwenye normal inakuwa fresh, sema ikitokea nimezima, aiseee.. kuwaka tena inakuwa na changamoto...
Habari za mishe mishe wakuu.
Kila mtu anatamani harufu ya gari kutoka Japan. Tatizo linaweza kuja kwenye budget. Sasa tu-assume tuna maximum budget ya Mil 15 tu, je tunaweza kupata gari kutoka...
Habari wakuu.
Kwa wamiliki wa magari au wenye interest na magari, leo tuongee kidogo kuhusu kufanya Diagnosis, ikiwa kama moja ya njia ya kufanya maintenance (preventive maintenance).
Nadhani...
Habari wakuu,
Mwishoni mwaka Jana niliagiza Mazda cx-5 2.2cc diesel ya mwaka 2015 maneno yalikuwa mengi sana before sijanunua hii gari,lakini Kwa kuwa professional yangu ni engeering nikasema...
Wakuu kuna hii gari nimeagiza sasa natafakari ni namna gani ntapata chaguo sahihi la oil ya engine.
Nimejaribu ku google maana mi ist yangu engine yake ni 2NZ sasa majibu ya google yanakuja kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.