Kampuni za Bima hujinadi kumsaidia muhanga pale mali zake zinapopatwa na uharibifu kumfidia aidha kwa kumpa pesa, kumrekebishia au kumbadilishia mali nyingine.
Je, mali yako uliyoikatia bima...
Wajuzi wa mambo hapa naomba msaada wenu wa uzoefu, ninataka kufunga mfumo wa gesi kwenye TOYOTA - IST.
Naomba kujua nitegemee kupata shida gani kwenye hiyo gari mi nachojua ni kuwa nita-save...
Habari wakuu, Habari za mwaka Mpya?
Nahitaji Kampuni isiyo babaifu ya uuzaji wa Magari Used wanaoruhusu kulipia kidogo kidogo. Ndoto zangu tangu mwaka Jana zilikuwa za kupata Usafiri baada ya...
Kama umeagiza gari au bidhaa na ikawa imefika Kwenye Bandari na wakati huo pesa ya ushuru umepungukiwa,kukwama au hukuwa na taarifa sahihi za ushuru na makadirio ya kodi yamekuja zaidi ya kiwango...
Wakuu nina shilingi million 23 nahitaji gari kati ya hizi crown athletes, BMW 3 series hapa unanishaurije hela haiwezi kuzidi hapa hii hela nimeitafuta sana aisee na mimi nataka niendeshe...
Tukiwa safarini na wadau.. Tukasema tupime mwendo na Landcruiser.. Matokeo ndio kama hayo..!
Hii test tumeifanya kwa kipande kifupi.. Then tukapunguza mwendo Landcruiser ikapita.. Rpms kwetu...
Habari wadau,
Nimekwama hapa, mana hakuna check engine light inayowaka.
Gari inalia knock kwa mbali lakini nikiwa naendesha, huwa inapotea, ila nikisimama naanza kusikia mlio wa knock. Saa...
Kumiliki gari ya Ulaya/Marekani ni changamoto sana hasa sisi wenye vipato vya chini.
Changamoto zake ukiachia matengenezo ambayo huwa sioni tatizo lake kubwa iko kwenye kuiuza.
Mwaka jana ndugu...
Habari za leo waungwana.
Mimi nataka kuagiza used gari kutuka nje na nime narrow down kwenye hizo nchi kwani ndio nimeambiwa magari mengi yanatoka huko
Mazingatio makubwa kwangu ni Uimara...
Kwa kipato cha Tsh 600k kwa mwezi naruhusiwa kumiliki gari au niachane na mbwembwe.
Kama naruhusiwa kumiliki gari kwa mizunguko isiyozidi 5 kilometer kwa siku ni sawa kununua gari yenye 2500 cc...
Salaam wanajukwaa.
Moja kwa moja kwenye mada, wote tunaelewa hizi gari ni ngumu sana na zinapita mahali popote.
Kwa usalama wa raia (abiria) tunaomba mamlaka husika iziangalie hizi gari pamoja...
Habari wanajamvi.
Nimeishi sana kwenye ka baby walker kwa muda sasa.
Natarajia mwakani niachane nako nipande hadhi japo kidogo.
Nakuja kwenu wana jamvi, wataalam wa masuala haya.
Nahitaji kujua...
Watu wengi huaminishana kwamba eti kwa sababu mtu fulani alikufungia GPS tracker kwenye gari basi mtu huyo anao uwezo wa kujua gari lako lipo wapi na hivyo anaweza kuja kuliiba. Kiukweli mimi nipo...
Wadau nataka taabya mbele kubwa ya spacio new model upande wa kushoto,bampa la mbele zima,side mirrow kushoto, kioo cha mbele na kijioo kile kidogo cha kushoto.
KAMA UKO UNAWEZA PATA NITAFUTE...
"Wakubwa habari ya muda huu,Mimi binafsi naomba kupata elimu zaidi kuhusu gari aina ya SUBARU FORESTER TA SG5 2006/2008", hasa uzuri,na changamoto zake
Wakuu nikiri nilikuaga na Passo Julai 2021 niliagiza ndinga yenye 4WD Sasa nikapata safari Dar - Liwale huko nikakutana na barabara hazieleweki kila nikienda gari inatitia aisee nikaweka 4H mwendo...
Moja ya gari pendwa hapa mjini
Ni Executive sedan Inakupa kila kitu comfort,luxurious,performance&reliabilty!!
Ukiona nyingi ujue zinapendwa na affordable
Utagundua hata TRA wamezipandishia...
Habari boss, kampuni ya PM TRADING AND LOGISTICS inapenda kukutaarifu kuwa inaendelea na zoezi la kupokea mizigo itakayosafiri Kwa njia ya ndege kutoka China kuja Tanzania.
Wiki hii ndege...
Habari mafundi humu
Natumia gari aina ya verosa ilikuwa ipo vizuri kabisa
Juzi kati nikafunga android tv town huko sasa wakati naludi hendiketa zikakata ghafla zikawa haziwaki zote, kesho yake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.