Niliona juzi kati kunaa mdau anaulizia gari ambalo akiendesha watu wajue amejipata.
Sasa leo nikawa nafanya comparison ya kutaka kuagiza magari mawili, yote ya mwaka mmoja 2006.
BMW 3 series...
Kuna mwamba ameshare Model 3 yake likiwa na odometer ya miles 316,270 ambazo ni sawa na kilometa zaidi ya laki 5.
Gari bado ipo kwenye original battery, na imepungua battery kwa asilimia 15 tu...
Naona watu siku hizi magari haya ya Nissani Extrail wananunua sana.
Je, wanajua kuwa ni mabovu na spea zake ghari au hawaambiwi na watu.
BAADHI YA MAWAZO YALIYOTOLEWA NA WADAU KUHUSU GARI HII...
Wakuu habari za Majukumu, kama kichwa cha habari kinavyoeleza, gari yangu hiyo aina ya Toyota Spacio hivi karibuni imekuwa ikikosa nguvu pindi inapoanza kupanda mlima hata kama ni kidogo pia...
Ikiwa wewe umeajiriwa Serikali za mitaa (Halmashauri) hapa nazungumzia Walimu na Manesi huku wanapitishia mishahara NMB ni bora ukabaki kwenye IST, Premio, Passo, Carina na Corolla. Ukivuka hapo...
Huko uliko gari zipi zimejazana sana kwenye magereji?
Weka jina hapa hlf kimbia ukachekee mbali sana na ibaki kuwa siri yako usimwambie mtu.
Hapa nilipo naona BMW, Jeep, Nissan Duke, xtrail list...
Wataalamu wa hapa nataka kuchua probox 2013 au ist 2006 japo mezani imezi zaidi upande wa probox sababu ua ukubwa na uwezo wa kubeba mzigo, nitakuwa sawa au? Ina changamoto gani ambazo common...
Karibuni katika mchezo wa kuchangiana pesa kila wiki 400,000, Kwa mwaka mzima (wiki 52). Kila mwanachama anayestahili kupokea kwa wiki husika anachagua gari isiyozidi TSH 20m toka yard ambazo tuna...
Wakuu.
Mbali na kuagiza gari kutoka nje ya nchi, au kununua showroom kuna option ya tatu ya kununua gari ambalo Mtanzania mwenzako analitumia.
Hii inaweza kua njia salama zaidi lakini pia ya...
Wadau, mi kila siku minekuwa nikijiuliza, ila sijapata jibu. Naomba wenye ufahamu wanielimishe kwenye hili.
Hivi hizi herufi kwenye "licence plates" za magari zinamaana gani?
STK
STJ
STH
ST A
ST...
Habari zenyu.
Sihitaji povu kutoka kwa mtu yeyote maana maskini povu lao ni zaidi ya sabuni ya OMo.
Nweka orodha ya magari ya watu maskini na tajiri. Orodha ziko 3. Fukara,Maskini wenye mwelekeo...
Mkuu wa wilaya ya Same anasema madereva waongeze umakini hasa kipindi hiki cha sikukuu na anaendelea kusema madereva huwa wanajisahau wakiwa barabarani..
NI kama anataka kumpiga Mkurugenzi mawe...
Nini kimewakumba Japan?
Trump ana hasira nao hawa wachina balaah kati ya 10 nafasi 6 zao sio kawaida.
Utawala wa DT safari hii utakuwa na vituko zaidi dhidi ya hawa wachina ana hamu nao sana.
Wakuu hamjambo?!
Hivi nikivuta Suzuki Escudo nitakumbana na vipengele gani?
Kama kuna wakuu wanapinga Suzuki Escudo basi watoe maelekezo nichukue gari gani yenye size hiyo
Bado uwezo wa kumkimbia Mjapan sina, ingawa Mchina na Mmarekani wanashawishi ila hamna jinsi.
Kwa trend anatoenda nayo Nissan kutokea 2020 aisee nadhani ndio kituo kifuatacho.
Kama nitabaki na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.