JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
Let's say hii meli ndio imekuja bongo na mzigo wote inabidi ushuke Bandari ya Dar es salaam yaani TPA na mdau wake DP world watabaki Wanaumiza vichwa eneo la kupaki magari yote 9100 katika good...
5 Reactions
10 Replies
514 Views
Mtanzania anahitaji gari moja yenye sifa zifuatazo. 1- Isiwe inakula mafuta, ikiwa inakula mafuta utasikia (jini hilo). 2- Gari ambayo ikiharibika vipuri vipatikane kwa bei nafuu. 3- Gari ambayo...
62 Reactions
767 Replies
61K Views
Habari wanajamii forums wote. Mimi ni kijana umri miaka21 nilianza kujifunza ufundi umeme wa magari mwezi wa tano mwishoni mwaka huu. Kiukweli nilikuwa napenda sana magari tangu awali, na...
13 Reactions
23 Replies
2K Views
Nafanya DPF regeneration kwa gari zote za diesel zenye mfumo wa DPF kwenye exhaust kwa bei rafiki tu Kama wew mostly ni trip town at least kwa mwezi ufanye DPF regeneration mara moja call me...
3 Reactions
4 Replies
228 Views
Soma hapa: "Elon Musk wants to change the way we fly. The billionaire tech mogul is pushing forward with SpaceX’s plans to launch “Earth to Earth” space travel, offering intercontinental flights...
16 Reactions
73 Replies
2K Views
Zijue Mashine Aina ya Terez: Historia, Matoleo, Injini Zake, Faida na Hasara zake. Mashine za Terez ni mashine madhubuti zilizoundwa kwa ajili ya kufanya KAZI mbalimbali ngumu kama ujenzi, na...
1 Reactions
5 Replies
267 Views
Kuna watu wakisikia neno Murano, ata hamu ya kula inaisha. Sasa, Nissan wamezindua new generation (4th Generation) ya hii SUV ambayo itaingia sokoni mwaka 2025. Muonekano wa Nje & Ndani Murano...
9 Reactions
10 Replies
497 Views
Wakuu. Kutegemea na muda wako na location uliopo, unaweza kufungua duka dogo ukawa unauza accessories ndogo ndogo za gari na kutoa huduma ndogo ndogo pia. Ukitoa gharama za fremu, kwa mtaji wa...
12 Reactions
11 Replies
712 Views
Mbali na kuchukua nafasi kubwa kwenye gari (kwa kuweka mitungi) pia gesi unapoteza nguvu ya gari 40%. Ukichaganya na mafundi wetu wa kibongo lazima uue gari na ufundi wao wa kuunga-unga. NB...
18 Reactions
114 Replies
19K Views
Habari za leo wakuu, hongereni na majukumu, Kama kichwa cha habari kinavoeleza, kwa mzoefu tafadhali, naomba kupata kujua zaidi pikipiki ya. 1. Sinoray cc 180-18 (PUSHROD) na 2. Sinoray cc...
0 Reactions
0 Replies
359 Views
Imagine kwa elfu 40 tu unaweza kwenda na kurudi Dodoma ukitokea Dar. Mfano, ukiwa na Tesla Model 3 yenye battery ndogo kabisa 57.5 kWh (hii ndio battery ndogo ipo kubwa Long Range ila...
37 Reactions
176 Replies
7K Views
Hizi ndio gari wauzaji wanasema ndio chaguo Lao kwasasa.
5 Reactions
34 Replies
2K Views
Naombeni kuelimishwa juu ya matumizi ya hizi oil,Maana kiukweli bado sijaelewa tukiwa humu wengi wanasema tutumie 5w30.Mtaani kwenye jamii zetu wanatumia 20w50 ukweli ni upi?na je mfano gari yenye...
1 Reactions
5 Replies
231 Views
Kuna magari ni kama "mimba" (tukumbuke umri wa mimba isiyo na hitilafu ni siyo chini ya miezi tisa). Kuna magari hayauziki hata upunguze bei kiasi gani labda uuze kwa hasara kubwa au uuze kama...
12 Reactions
50 Replies
2K Views
Gari ya kwanza ni kitu personal sana kwa wanaume. Ni kitu personal ambacho ni ndoto ya jinsia hii ya kiume kama vile kwa mwanamke kuwa na ndoa au familia yake na mumewe. Gari ni ndoto halisi nay...
70 Reactions
351 Replies
33K Views
Habari.. nauza kiwanja kipo kifuru kingazi ni sqm 700 kwa ml 9.5 tu, mwanzon bei ilkuw ml 11. Ni bei ya ofa hii ni barabara ya Tabata kinyerezi ni dkk 5 Toka main road kufika kiwanja kilipo...
0 Reactions
0 Replies
149 Views
Kama kichwa kinavyosomeka hapo Kwa Sasa Nina pata shida ya usafiri kuwakabili Machadema huko mtaani. Sasa mama akirekebisha Dola ikifika Tsh.2000/$1 nistueni Kwa kunitag ,kunii mention Ili...
10 Reactions
39 Replies
2K Views
Sijui kwanini Watanzania wameikataa hii gari kutoka Japan, Honda Fit. Siongelei Honda Fit za miaka ile zina shape za ajabu, naongelea hii Honda Fit Hybrid ya mwaka 2014 hadi 2017, ambayo ni Fit...
25 Reactions
55 Replies
5K Views
Nataka kuagiza gari toka Japan, baada ya kupita huku na kule nimeamua ku shortlist magari kadhaa, moja wapo ni hii toyota corolla axio ya 2007. Corrola axio kama inavyoonekana pichani. Naomba...
0 Reactions
15 Replies
8K Views
Kampuni ya magari kutoka China, Xpeng Motors, baada ya kufanya teaser kwa muda mrefu, hatimaye wamezindua P7+ EV leo tarehe 10 October. Leo wakati wa uzinduzi, Xpeng walisema P7+ ni “World’s...
5 Reactions
19 Replies
866 Views
Back
Top Bottom