JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
Wakuu naomba msaada kujua Toyota rav 4 miss TZ naweza toa mlango wake na kuweka mlango wa vanguard yaani rav 4 isiyokuwa na tairi nyuma ya mlango? Pili Kama ni ndiyo naomba kujua Bei ya mlango...
2 Reactions
6 Replies
544 Views
Sahivi Harrier tako la nyani namba E za kutafuta, kuna hizi 3rd gen za kuanzia 2013 kuja juu. Chuma naziona aisee kibao utasema zinauzwa bei za CX5 kumbe unapata CX5 mbili hapo. Mfano...
23 Reactions
111 Replies
4K Views
Wakuu heshima kwenu Tatizo la steering kukaza baada ya taa za power steering kuwaka limekuwa la kujirudi sana kwenye gar yang. wale jamaa wa kupima walipima wakaona kuna fault kwnye wire...
0 Reactions
5 Replies
433 Views
Habari wakaka na wadada Natafuta gari aina ya Mazda Biante ya mwaka 2008 au hata zaidi. Anayeuza ani PM
1 Reactions
1 Replies
287 Views
Tufanye ndio umetoboa maisha tobotobo una mawe sana, ni gari gani nne uta-Prefer kununua unazozikubali. Mimi ni hizi 1) BMW X6 2) Range Rover Vorgue 3) Landrover Discover 4 4) Ford Ranger Zote...
15 Reactions
229 Replies
38K Views
Kumekuwa na wimbi kubwa la watu kungia kwny mitandao na kununua gari, kwasababu ni rahisi sana siku izi, lakin ni watu wachache sana wanauelewa kuhusu magari wanayonunua List inayofwata ni magari...
11 Reactions
280 Replies
81K Views
Naona post zake Insta akitoa maelezo kuhusu service za magari,anatoa darasa zuri sana kupitia video clip zake,hasa kwenye kuibiwa masega anayemfahamu kwa undani pliz ni fundi mzuri kwa vitendo au...
6 Reactions
58 Replies
6K Views
Wakuu Salama. Hivi karibu nilinunua Gari aina ya Toyota Vanguard. Nimejaribu kuangalia sehemu ambayo spare tyre inakaa/inawekwa nimeshindwa kabisa. Nilipo wasiliana na SBT Japan/Tanzania...
2 Reactions
26 Replies
27K Views
Duniani kila mtu na mapenzi yake, kuna watu hata wawe na gari ngapi lakini hawakosi pikipiki kubwa. Kuna watu hata uwape pikipiki ndogo lakini hawatakaa nazo au watatumia kwa shida tu lakini...
23 Reactions
349 Replies
37K Views
Mwanzo mgumu but interesting fact ni kuwa Learners Tuna discipline ya juu na kufuata sheria za barabarani tena kama sisi tuliojifunza kuendesha gari tukiwa over 30 years old tuko extra care Kila...
9 Reactions
6 Replies
545 Views
Naombeni Msaada wenu wadau, Nataka kununua Gari mojawapo kati ya hizi mbili RAV4 na Vanguard ya mwaka 2010. Kwa mtazamo wangu naona kama haya magari yamefanana kwa kila kitu, sasa basi mwenye...
0 Reactions
21 Replies
12K Views
Nipo interested na gari la ina hii. Naomba wenye uzoefu waje kushare Gharama, Uzuri na Ubaya wa gari hili n.k
6 Reactions
39 Replies
16K Views
Wakuu, Title yajieleza. Nahitaji ObdII Scanner ambayo ni more portable na simple kutumia for personal use. Targeted vehicles ni Japanese, i.e Kluger, Raum, Ist, Premio, Wish, Harrier, etc...
1 Reactions
3 Replies
227 Views
Wakuu naomba mwenye kujua kutoa lock kwenye pikipik Aina ya Kinglion Slick 150
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kama tittle inavyoeleza mimi sijasoma hata basic driving ila naomba msaada kama nijuzwe toka kwa wanaojua kama kuna uwezekano wa kusoma na kupata madaraja ya c1, c2 au c3 bila kupitia hiyo basic...
1 Reactions
6 Replies
543 Views
Huawei wakiwa wameungana na JAC wamezindua gari yao ya kwanza inayoenda kwa model name Maextro, ikiwa na lengo la kushindana na Maybach na Rolls. Kuhusu bei, itauzwa kuanzia $140,000 tu, na ndio...
5 Reactions
19 Replies
795 Views
Haka kagari VW Polo 2007 nimekakubali sana sana kwanza cc 1300, millage 34k/km speed 220km/h pia kodi yake TRA(TRA CALCULATOR) ipo chini around 5m Naombeni ushauri hukusu changamoto za hii gari...
8 Reactions
223 Replies
40K Views
Kwa muda Sasa nimekuwa nikifuatilia kwa makini namba za usajili wa magari, Kuna kitu nimekiona sijakielewa. Nimeona nikilete hapa jamvini nipate msasa kidogo. Ni kuhusu zile herufi...
1 Reactions
3 Replies
456 Views
Naombeni ushauri wataalamu, nataka kuchukua gari, gari ambalo ni reliable, less costly and low fuel consumption, kwasababu ndo gari la kwanza nataka gari ambalo halitaniumiza kichwa then badae...
3 Reactions
23 Replies
1K Views
Speed ya China kwenye sekta ya magari inazidi kutishia ulimwengu. Pamoja na vikwazo vingi alivyowekewa nchi za magharibi na Marekani, bado jamaa anaendelea kutusua, na sasa ameingiza makampuni...
10 Reactions
15 Replies
1K Views
Back
Top Bottom