Ni kama mamlaka za ukaguzi na KUSIMAMIA UBORA wa vyombo vya moto vinavyoingizwa nchini zimeshindwa Kazi, ama kuna uzembe mahali ama rushwa.
Kwa modeli za magari yanayoingia nchini kwasasa NISSAN...
Habari, nina changamoto ya gari (tipa, isuzu, double diff tani 10 , engine dizel ya v10). Gari in inawaka vizuri tu ikiwa imepoa ila ikisha tembea na kupata moto, gari haiwaki inakua nzito kuwaka...
Raia zinaroga mpaka machine ya Mzungu imetoka U German, Picha limeanzia Simiyu huko maeneo ya Nkololo Bariadi ndani ndani. Kijana wa Kisukuma kapiga mipunga yake akataka AUDI A4 akavimbe...
Habari wapendwa,
Ninahitaji kubadilisha matairi ya gari size 195/70 R14
Ninaomba kufahamu uzuri na ubaya wa brands zifuatazo
1. YANA
2. APOLLO
3. JK TYRES
4. TRIANGLE
5. GOODRIDE
Bajeti yangu...
Zile taa mnaita beam kwangu usiku hazina mwanga kabisa. Yaani siwezi endesha gari usiku kwa sasa. Maana hazina Mwanga kabisa. Sielewi huyu mdogo wangu yeye alikuwa anatumiaje.
Amesafiri nami...
Uzi huu upo kwa ajili ya madhumuni ya kujifunza, Lengo ni utambue hatua za ziada za kuzifuata ili uweze kulinda gari lako.
Zipo Tech nyingi ambazo zinatumika kwenye wizi wa magari, Hapa...
Mazda CX-5 zinaelekea kuwa nyingi kama harrier na pia forster nayo the same .
Lakini Mazda CX-5 ina masharti kama mganga sijui utoe dpf mara uendeshe km kazaa kutoa huo Moshi .nk
Kwangu Mimi hizi...
wakuu habari za muda huu, nmejichaga sasa nahitaji gari ya juu na katika pita pita zangu hii chuma nmeielewa sana sasa wataalamu naomba mnifahamishe vitu hivi
upatikanaji wa spare ( nipo mbeya)...
Wakuu,
Wapi hapa nchini zinapatikana tyre za GOODYEAR, size: 185/65/15 EFFICIENT GRIP PERFORMANCE?
Nimeulizia sana kwa Dar, Mwanza, Arusha, Moshi, kote hakuna!
Si AUTOXPRESS TZ wala...
Habari, mimi sio mwandishi mzuri hivyo naomba penye makosa nivumiliwe.
Rafiki yangu anataka kununua gari ila yupo njia panda hajui achukue ipi kati ya gari hizi mbili.
1. Range Rover Velar
2...
Nimekuwa natumia Grand Vitara Escudo ya mwaka 2005 CC 2000 kuanzia januari hii.. ila nimeona ulaji wake wa mafuta ni mkubwa sana. Sijakwenda nayo safari za mbali. Ila safari za hapa hapa mjini...
Habari za asubuhi wadau,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nahitaji funcargo ingawa bajeti yangu ya 5M ni ndogo lkn ndio nahitaji gari hiyo iwe kuanzia namba C iliyo karibu na D na...
Habari zenu wadau.
Nimetokea kuipenda sana hivi gari toyota blade.
Imefanania na runx ila cc ndio changamoto, zinaikaribia ile ya brevis.
Sasa ukiachilia mbali na cc ni changamoto gani nyingine...
Ishu ya kuuziwa gari na fake kilometers ni jambo la kawaida sana kwa mtu ambae hata kuwa na umakini wa "umakini" tumezoea magari Used kuchezewa kilometa kwenye yard za bongo, lakini kumbe hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.