JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
The following are the Types of Transmission Systems: 1. Manual: It is a transmission system where gear changes require the driver to manually select the gears by operating a gear stick and...
1 Reactions
3 Replies
246 Views
Wataalam na wazoefu wa magari ninatatizo kwenye gari ambapo coolant inaisha mapema kwenye reservoir tank. Nilipo watalaam wachache kwa hiyo ukiuliza wanakwambia nunua uongeze.Nimenunua mara...
1 Reactions
3 Replies
538 Views
Wadau tujadili magari ya mchina naona soko lake hatujalichangamkia lakini hawa jamaa wana gari nzuri sana, zingine kama vipanya tu kuanzia 2500 usd, lakini wana SUVs unapata kwa bei simple tu...
4 Reactions
17 Replies
2K Views
Nina gari aina ya TOYOTA cami,gear box yake Ina shida,NAPATA WAPI gear box mpya na ni bei Gani?
5 Reactions
8 Replies
557 Views
Kwa upande mmoja nimependa Idea ya kuwa na group la wapenda magari aina ya Toyota Crown hadi kuweza kufanya charity events. Ila ninasikitishwa na promo ya bure mnayotoa kwa kampuni ya Toyota...
4 Reactions
25 Replies
1K Views
Ukilinganisha hizi gari zenye engine ya IG ,zile za zamani kama chaser ,gx90 mark II Gx 100 na hizi mark za sasa Gx 110 unaweza kuona utofauti katika uimara wake. Hizi Gx 110 bodi lake limekuwa...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu habari,gari yangu aina ya spacio new model inasumbua,inakosa nguvu kabisa hasa engine ikipoa yaani ukiziima kwa muda mrefu alafu ukija kuiwasha inasumbua kwa kuwa inakuwa haina nguvu kabisa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habarini za asubuhi wakuu , Samahani naomba kuuliza kwa wale wazoefu wa magari na wengine ni mafundi mtoe ushauri hapa. Toyota brevis ni gari ambayo imesemwa maneno mengi na tunajua uzalishaji...
5 Reactions
74 Replies
4K Views
Toyota, wakongwe kutoka Japan waliokataa kuingia EV miguu yote, wamezindua EV sedan inayoitwa BZ7. Tukumbuke BZ ni series ya EV kutoka Toyota ambazo amekua akishirikiana (co-develop) na Mchina...
7 Reactions
6 Replies
380 Views
Naomba Msaada wa kujua Tairi Imara na Bora na zinadumu ili kufunga kwenye Gari HARRIER 240G ? Matairi niyatakayo ni Size 225/65/R17 na Ziwe za KASHATA KUBWA Msaada Tafadhali.
2 Reactions
11 Replies
4K Views
wakuu gari yangu mguu mmoja wa kilia unavuma sana mpaka nakosa raha ya kusikiliza mziki tatizo itakuwa Nini nijue kabla ya kwenda Kwa fundi maiko
2 Reactions
53 Replies
1K Views
USA ili week kumenoga. Las Vegas kuna Formula 1 wakati LA kuna biggest car show, LA Auto Show. Ni show ya magari inayofanyia LA USA kila mwaka, tunaona magari mapya, concept na tech...
2 Reactions
1 Replies
154 Views
Habari wakuu nimetembelea mtandaoni nimeona Wanauza magari bei chee used from hapa hapa Tanzania je kitu chakuzingatia kabla ya kununua?
4 Reactions
17 Replies
764 Views
Hyundai Ioniq series walifanya vizuri sana kwenye Ioniq 5 crossover, sasa wamewaletea Ioniq 9 SUV wapenzi wa EV. Ni moja ya chuma nzuri kwa muonekano wa nje na ndani. Ni nzuri kwa familia...
6 Reactions
6 Replies
319 Views
Wataalamu wa Subaru. Hii gari Subaru XV aka Subaru Crosstrek naiona BF kwa bei rafiki sana hadi $3500! Ushuru ndio mchawi naona umesimama hadi Mil 13 ila nashangaa sana CIF ilivyo ndogo...
14 Reactions
61 Replies
3K Views
Hivi jamani Passo ikiwa kwenye speed ya 80km/h inakuwa sawa na V8 ikiwa kwenye speed hiyo hiyo au kuna tofauti? Cse magari madogo mengi ni 180KMh, sawa na haya magarri yetu SUVs. Sasa tofauti ni...
16 Reactions
157 Replies
5K Views
Potelea mbali hata kama likiwa bovu kidogo ila nataka na mimi gari mwakani nimepiga hesabu kumbe laki mja moja zikifika 50 tu unakuwa na million 5..sasa kama mpaka sasa tu nina laki kama 24 hivi...
8 Reactions
37 Replies
1K Views
Ndiyo hivyo, dalali - Dereva tuwasiliane 0734189022 Mzigo unajaa kama ki Toyoace kwa makadirio, vitu vya ndani na pikipiki. vimepakiwa fresh kwenye maboksi zaidi. Mbeya to Moshi Tuwasiliane.
0 Reactions
9 Replies
446 Views
KAZI YA DEFROSTER BUTTON kwenye gari ni kukausha au kuongeza joto ili kukausha vioo vya gari wakati wa hali ya mvua au unyevunyevu unaosababisha vioo kuwa na ukungu au majimaji na kukuziba kuona...
4 Reactions
2 Replies
309 Views
Habari wakuu, Wenye uzoefu na hizo gari mbili ipi iko vizuri?
1 Reactions
37 Replies
4K Views
Back
Top Bottom