Wengi tukiongelea Toyota IST tunaongelea first gen na 2nd generation, ambazo nchi nyingine ikiwemo America na UK wanaziita Urban Cruise.
Sasa leo, jamaa kutoka JP wamezindua generation nyingine...
Habari zenu wakuu samahani kwa kuwasumbua mimi mgeni katika ulimwengu wa magari ila mwezi wa 5 nataka kununua gari baada ya kuchanga milioni kadhaa kwa ajili hiyo...naomba kufahamishwa hiyo gari...
Naandika article hii baaada ya kupata inspiration kupitia uzi wa rrondo Wazee wa ‘road trip’ mpo?. Mimi ni subscriber wa uzi huu.
Ilikuwa december 2018 nikiwa na jamaa zangu watano wa idara...
Nimepata kama mil 100 baada ya kuvuna vanila huko Bukoba. Sasa nahitaji nijiingize kwenye biashara ya usafirishaji na wazo langu ni kununua scania kama kwenye picha
Nimepanga kuanza na moja...
Sorry naomba kujua matoleo ya Toyota Alphard na changamoto zake....na je kati ya Toyota ALPHARD na Toyota crown ipi gari nzuri sana kwa mtu wa kipato cha kati.
Sent from my SM-A145F using...
Wakuu,
Kwa mtu ambae anataka kununua gari mtandaoni kutoka Japan na pia anataka ku-save pesa kidogo, leo kuna kitu kidogo sana nimeona tushirikishane.
Sio kitu cha ufundi, ila ni patience. Ukiwa...
Hapo nimeweka Suzuki Escudo mbili sasa mimi sio mtaalam sana wa magari ila navutiwa sana na Suzuki hizi ila kulingana sifa zake za uimara ninazozikia kwa wanaozimiliki sasa nataka na mm nichukue...
Nimekutana na hii gari mtandaoni bei mil 37, nimeipenda kwa muonekano, kwa mwenye uzoefu wa hii gari naomba aichambue kidogo. Inaitwa Toyota Hilux Surf, wasiwasi wangu ni mbona sizioni sana...
Habari Wana JF?,
Nina pikipiki yangu nimenunnua mwezi wa kumi na moja mwaka Jana, mwezi November. Aina ya kinglion (150cc).
Tangu niinunue nimefanyia service mara Tano, tu na sijawahi...
Wadau, Subaru Forester Non Turbo ina Electric Power Stearing imekuwa ikitoa mlio kama inagonga tairi la kushoto mbele. Fundi ameicheki, ananiambia tatizo ni Power Stearing, nan kwakuwa ni ya umeme...
UAE pekee wanapokea watalii zaidi ya 30m kwa mwaka na hawanaga jambo dogo. Utalii kwao umechagizwa na Emirates airlines. Fikiria safari ya Dakika 45 (Dubai to Manama/Bahrain) wanarusha mzinga wa...
Ni land cruisel prado SX5.0 turbo halijawahi kuwa na changamoto hio, changamoto hio nimeiona siku mbili tatu hizi nikifika speed 70kph kuitafuta 80kph
Ila likipita 80kph linatulia linafanya hivyo...
Leo mchana nimefungua bonet nikakuta kama oil ina leak kwenye gari(vvti-cc 2360)2AZ engine sijui nn shida hapo hadi nadata gari ina miaka 2 toka itoke jep ikiwa na 96,000 milage ushauri tafadhali
Wakuu heshima yenu.
Niende moja kwa moja kwenye swali, nimekua natumia noah kwa muda wa miaka mitano sasa na nilikua naifurahia tu, ila kwa sasa nataka kuibadilisha.
Me naishi mkoani kwaio...
Wana Jf salaam,
Ikiwa ni weekend tulivu kabisa.
Kama tujuavyo, kumiliki gari sasa hivi ni miongoni mwa vitu vya muhimu sana.
Wamiliki wapya wanaongezeka kila kukicha, na kwa bahati mbaya wengi...
Ofisi zetu Tanzania zipo kariakoo mtaa wa Ndanda na Muhonda
WhatsApp/Call +255 697 692 507
Rate yetu Kwa normal goods (mizigo isiyo na sumaku battery au majimaji ) ni USD 11.5 Kwa kilogram
Nimeshangazwa na hii Toyota Land Cruiser LC 300 ambazo ni matoleo mapya lakini namba ya usajili ni C.
Ikumbukwe usajili wa Namba C ni miaka ya 2010 huko, imekaaje kitaalam hii?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.