Habari! ndugu zangu wenye magari mabovu tupeane faraja, ushauri na motisha wa namna ya kuishi nayo ingawa yanatupasua vichwa!
Uzii huu ni rasmi kwetu wenye magari yaliyo na changamoto! Nyie wenye...
Majuzi nilipata mchongo wa kwenda US -Chicago. Wenyeji wakanikatia tiketi KLM aisee mzinga wa ndege. niwe mkweli Sijawahi kupanda ndege Kama ile. Japo enzi za fastjet niliwahi kwenda Dar na kurudi...
Habari zenu ndugu zangu,naomba kwa watumiaji wapikipiki hasa BOXER msaada wenu wa fundi au mahali ninapoweza peleka pikipiki yangu ikafanyiwa mbwembwe ikawa na muonekano mpya kabisa.
Nakutana na...
Habar......,!!
Sisi ni Mkandarasi kwa upande wa Umeme na mitambo(Mechanical). Pia nina fanya Biashara za kuuza na kununua Generator and Air compressor pamoja na Spare part zake.
Nina Generator za...
Msaada Wadau,
Haka Gari RV4 lina tatizo la kutetema nikiwa nimesimama kwenye foleni au mataa au hata nikiwa nimesimama tu kawaida na Nikiwasha AC ndio kabisa linatetemeka hadi Viti vinatataka...
SCANIA 124 G hizi zilikuja chache sana.
MOja nilikuwa nayo mimi tank..
Nyingine alikuwa nayo MArehemu Steven Mchupa nayo Tank,
Tunasafiri kupeleka mafuta Geita......Lami Dar mpaka Dodoma kibao cha...
NI vyema kupima oil ya GARI lako kabla ya kuanza safari.
Na muda mzuri wa kupima oil nI pale gari lako linapokuwa limepaki kwa muda kufikia oil yote kushuka na kupoa hasa asubuhi unapoamka kwa...
Wajapan wanakaza sana kwenda EV, na Suzuki hajawahi kutuletea EV sasa amebanwa imebidi atuletee eVitara.
Ni small SUV itakayokuja na battery tofauti tofauti na ndogo kabisa itakua ni 49kWh...
Habari wadau!
Mimi ni transport Manager wa shule moja hapa nchini,tunahitaji Magari mengi madogo na makwa kwajili ya kubeba wanafunzi.
Swali langu kati ya hizi nchi mbili wapi nitapata Magari...
Wakali wa pikipiki kutoka Japan, Honda, wametuletea wadau wa pikipiki EV mbili, moja inaitwa EV Fun na nyingine EV Urban.
EV Urban itawahusu wale wapenzi wa scooter za kuzunguka nazo mjini au...
Omba MUNGU upite eneo hili kama hakuna foleni ya malori, hapa utashuhudia madereva wa crown, Brevis, Mark X, Subaru, Alteza wakitunisha misuli dhidi ya V8.
Hapa nakumbuka mwaka Juzi kuna...
Nina mpango wa kununua gari aina ya Pich Up used. Hivyo naomba kujua kati ya Toyota na Nissani ipi ni bora in terms of Bei, uimara, service na matumizi ya mafuta. Asanteni.
Hii ni suzuki escudo old model 1995 mwanzo ilikuwa inakula mafuta kawaida sana ila baada ya muda ikaanza kutumia mafuta sana, yaani mafuta ya sh 5000 hayamalizi hata kilomita 10.
Kuna mtu...
Mimi similiki gari lakini kuna Vigari ukivimiliki unaonekana kituko hasa huku maeneo ya mjini.
Sipo hapa kuleta Kashfa ama kukejeli wanaomiliki aya magari ila inabidi niwaambie ukweli ukimiliki...
Habari ndugu wana jamii forum, gari yangu aina ya nissan duals nmebadili plug juz tu,ila naona utofauti baada ya kubadili kwan gari kuna saa kama inashtukashtuka hivi kitu ambacho mwanzo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.