MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU KUHUSU TATIZO HILI
Gari ninayotumia ni Chaser GX100.
Nimesafiri nayo kutoka Dar kuja Iringa na ninatarajia kuitumia kurudi Dar.
Imetokea ghafla steering imekuwa...
Wataalam naombeni msaada (ufafanuzi),
Nina Noah sr40 nimegundua Mara ninapo-switch overdrive on taa haizimi Kama ilivyo kawaida ya gari ikiwa katika overdrive mode (gear) badala yake taa inawaka...
Bila shaka mko poa,
Kufuatia mapokezi ya mgeni mjini usajili wa namba "E" kuna wamiliki wa namba za nyuma hususani "D" ambao kwa namna moja au nyengine mngependa kuuza gari zenu kwa ajili ya...
Wakuu.
Mapenzi ya Watanzania kwa SUV pendwa Mazda CX-5 yanazidi kujionesha kwa Mtandao maarufu wa kuingiza Magari kutoka Japan kuiweka katika magari 10 yanayoingizwa sana Tanzania na kushika...
Ile gari baada ya kuwaposted ika draw tension ya wapiga kura Maana ilikua chuma ya kitofauti sana. na as Samatime Magari tukaona sio vyema tukawaacha wapiga kura hivi hivi na kiu ya kuijua so...
Wakuu nina Toyota IST nataka nibadilishe tairi kitoka 195/60R16 kwenda kwenye size kubwa kidogo ambayo itafiti kwenye gari.
Nimeona baadhi ya IST wameweka tairi ya size tofauti na zinazokuja...
Je, kuna utofauti wa bei za magari haya huko dukani? Kati ya Toyota Crown loyal family na Toyota Crown Athlete?
Na je mifumo yake jinsi yalivyoundwa yana utofauti kati ya species hizi za gari...
Habari wadau, naomba kuuliza, ni ipi kati ya Mark X 2007 na Crown Athlete 2007 yenye fuel economy kuliko nyenzake?
Nafaham zote zina zinatumia engine ya 4GR japo kwa Mark X Kuna pia 2GR na 3GR...
Xpeng Mona Mo3 ni compact electric sedan, ilioletwa kwa wapenzi wa sedan ambao hawawezi kuafford Tesla Model 3 ambayo ni mara 2 zaidi kwa bei.
Design yake imefocus zaidi kwenye aerodynamics...
Habarini na poleni na majukumu,
Ninaomba msaada/ Ushauri juu ya Tatizo la gari langu (Nissan X- trail) nimetumia hili gari zaidi ya miaka 6, shida ilijitokeza kwenye Engine nikafanya uamuzi wa...
Wakuu habari za wakati huu!. Naomba mwenye kufahamu ni wapi naweza pata control box ya hii gari.
Kuna moja nilipata kwa mtu kutoka kenya, imefungwa lakini haipigi ress kabisa.
Habarini wana jamvi,
Ninahitaji mark x au brevis kwa bajeti ya milion 7 hadi 10 kutokana na ubora na model itakayopatikana.
Tafadhali, mimi ni mzoefu wa magari hivyo ukija na deal ni bora uwe...
Nauliza tu mliokuwepo kwenye msafara wa land Rover Arusha, hii gari one zero namini ilikuwepo gari Moja imara sana, ila lazima uwe fundi ikutumia hii gari nauliza ili mwakani nitoe juu ya mawe...
FJ Cruiser gari moja ya kibabe sana, walianza nayo tokea 2007 uko ila wakaipotezea hadi leo hawajawahi tuletea 2nd generation.
Sasa inakuja. Ingawa bado ni rummors ila picha zimeanza kuonekana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.