Let us all stay tuned!
Arusha Region is an iconic Tanzania Tourist attraction City in Africa which is located about 350 kilometers to The famous Serengeti National Park.
The Regional Authority...
Paris Motor Show ni moja ya maonyesho makongwe ya magari (tokea mwaka 1898) yanayofanyika kila baada ya miaka miwili, ambapo makampuni mbalimbali ya magari yanaonesha magari yao mapya, concepts...
Nataka kununua Mitsubishi outlander wadau naulizia fuel consuption yake lita1 inakwenda km Ngapi ..navip outlander kuanzia ya mwaka upi nichuke na yenye specification zipi ndio Bora zaid
Tesla wametoka kutangaza robotaxi zao Cybercab na Cybervan juzi, Sasa Baidu nao kutoka China wamejibu kwa kutukumbusha kua wapo hewani na wameongeza gari lao jipya lenye full autonomous self...
Kwenye Tesla event ya tar 10 mwezi October California iliyopewa jina la “We Robot”, Elon Musk, CEO wa Tesla, amezindua magari ya kukodi yanayojiendesha yenyewe, Cybercab na Robovan.
Cybercab ni...
Bwana Elon Musk amezindua Magari yake mapya ya Cybercap na Robovan/Robobus.
Haya magari yana muonekano wa ajabu ajabu na wa kutisha lakini sio muda tutaanza kuyaona barabarani yakikatiza...
Baada ya kimya na ahadi za muda mrefu za CEO wa Tesla, Elon Musk, finally ile siku imewadia.
Ni tarehe 10 October, ambapo billionaire uyo atafanya uzinduzi wa huduma na bidhaa mbalimbali kutoka...
Honda nao hawajachelewa party ya EV, tushaona Honda Prologue, N-VAN e na Ye Series EV, sasa wameleta all new 0 Series Saloon.
Kwa sasa wameitangaza tu prototype, mass production haijaanza ila...
Ambao mmewahi kusafiri humu, hivi ukitaka kununua kitu kwa winga Dirishani unafanyeje?
Wale wenye uroho na walafi wa Kulakula hovyo wananunuaje mayai,karanga,mahindi na maembe?
Au abiria wa haya...
Mwaka 2019 nilijichanganya kwenye 2009 Mitsubishi Pajero 3,500Di-DAuto, Petrol. Kitu inakunywa karibia 21 litres/100km (highway). Pesa mzozo bado nalipa deni la NMB. Gari haliuziki.
NB: Kupenda...
Wataalam za wakati huu..
Kijana wenu hapa nayependa Road trip but kwa pikipiki, last time nilisafiri na pikipiki cc110 kutoka Dar to Dodoma (kwenda na kurudi) pia nikasafiri tena toka Dar to...
Juzi nilikuwa na kazi moja kwenye maeneo mbalimbali ndani ya Jiji la Arusha siku nzima. Sasa, kutokana na msongamano unaotokana na ongezeko kubwa la magari ilibidi nijipe dual-work na kufanya...
Naombeni msaada. Nimenunua Voxy first generation engine ya 1az fse wengine wanaiita D4.
Inakula mafuta balaa. 1 litre kwa 3km.
Na kwenye mlima haina nguvu kabisa hada ukiwa na watu. labda...
Usishangae kuhusu utambulisho huu. Mimi sasa ni ASE Certified Service Consultant wa magari madogo yanayotumia petroli hasa ya Ford, GM, na Chrysler.
Nimepata license yangu hivi majuzi tu mwaka...
Geely Auto wamezindua Geome EV hatchback itakayokuja katika series mbili na trims tano, kuanzia bei ya $9,900 hadi $14,000 na zikiwa na CLTC range ya kilometa 310 hadi 410.
Tukianza na ya 310...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.