Wakuu.
Bila kupepesa macho, kuna izi hybrid mbili kutoka Japan (Toyota Prius na Honda Insight) ambazo zinafanana na kutofautiana mambo mengi sana.
Kwa kuanza zote naomba tutumie za mwaka...
Hivi karibun kumeibuka wimbi la watu wengi wakiuza gari hii kwa gharama ya chini sana na baadhi ya watu wakiogopa kununua na wamiliki nao wakiwa wanayachukia magari yao.
NISSAN X TRAIL
Ina...
Nimepata fedha kidogo nina option mbili za kupata moja ya haya magari, naomba wenye kujua wanishauri nichukue ipi na kwa sababu gani.
Ulaji wa mafuta, Spare n.k
Sent using Jamii Forums mobile app
Kampuni mbili kutoka Japan, Sony na Honda, wameungana kutengeneza joint venture inayoitwa Sony Honda Mobility kwaajili ya kutengeneza magari ya umeme (EV) yatakayoenda kwa jina la AFEELA.
Chuma...
Jamani nimenunua Mitsubishi Pajero iO ina kama miezi kumi tu, lakini imeanza kusumbua hasa misi zimekua nyingi na wakati mwingine inanizimikia kwenye foleni hapa mjini.
Nimejaribu mara kadhaa...
Habari wakuu wa JF,
Nimeona niandike uzi huu pengine kuna namna wahusika watarekebisha mazingira yao ya kazi kwa wateja.
Kwa muda mrefu nimekuwa nikijiuliza hili swali kwanini garage nyingi ni...
Nakumbuka hapo cha miaka ya 2013 niliwahi kuwa kwenye foleni ya barabara ndogo tunasubiri kuingia barabara kuu , Ghafla nikahisi kishindo kizito kwenye buti, kuagalia nyuma ni gari aina ya mark 2...
Wakuu, kuna siku tulidiscuss kuhusu mashindano ya magari ya Formula One.
Madereva wa Formula 1, ni "Marubani" wa Jet za ardhini
Leo tungejaribu kugusia kidogo kuhusu mashindano ya pikipiki...
McLaren Automotive jana tarehe 06 October wametangaza chuma yao mpya McLaren W1 wameipa codename P18.
Hii Plugin-hybrid itaanza kuuzwa mwakani 2025 na ndio itakayowarithi wakongwe P1 na F1...
Ukiwa na Dualis usihesabu una gari wewe jua una chanzo cha moto.
Leo saa 9 usiku imewaka maeneo ya Kimara Kibo
Visa vya Dualis kuwaka vimekuwa vingi sana ikichanganyikiwa inawaka popote
Hii ni Crossover SUV, Tena ni subcompact Luxury cross over kutoka BMW, Yani Baba Mama Watoto walitaka kupata SUV ndogo na luxury inayotumia mafuta vizuri ndo X1 akazaliwa, saa andaa kifungua...
Iwe Tanzania na Duniani, tumezoea kuona msanii fulani amenunua gari fulani la kifahari.
Magari mengi ya kifahari hayapo practical kwa matumizi ya kila siku.
Sasa hapa ndio daily driver cars...
Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wote na mnaendelea vyema na majukumu ya kila siku. Nipo mbele yenu kuwaomba ushauri, nahitaji kununua gari mojawapo kati ya Toyota Premio na ist. Najua humu wapo...
Kuna gari 1zz engine vvti inatoa mlio ambao unaonekana ni kama unatoka ndani ya engine na sio nje kwenye mkanda, tensioner imenunuliwa mpya, vvti sensor inaonekana iko vizuri tumetoa chujio,Timing...
Wadau, kama nilivyosema hapo juu. Mimi ni kabwela tu hapa mjini "Common Man". Kipato kinategemeana na kupanda na kushuka kwa thamani ya dola. Sasa nimewaza, kutungua kitu show room siwezi. Kumvua...
Habari wana jamvi,
Naomba kwa wenye ujuzi na uzoefu wa magari tusaidiane mawazo. Toyota vanguard inachanganya maji na oil. Kabla ya kufikia hatua hii ilikua inakula oil sana, kabla ya kilomita...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.