Habari Bandungu.!
Nafakiria kuvuta hii chuma hivi karibuni, ila kabla sijavuta naombeni experience kwa ambao tayari wamezitumia kuhusu realibility, stability handling na fuel consumption...
Habari ndugu wana jamii forum,
Nimejikongoja kidogo nimenunua Nissan Duals naombeni ushauri kuhusu mafundi wazuri maana hii gari naipenda sana japo watu wanadai ina changamoto nyingi ila kwa...
Wakuu naomba ushauri wa family car nzuri yenye wastani wa sifa zifuatazo:
1. Seating capacity from 7 packs
2. Fuels economy I.e. engine capacity less than 2000cc
3. Super body appearance
4. Suv...
Hawa Wachina wamevurugwa.
Changan Auto wamekuja na Nevo E07 ambayo ni shapeshifter kama kwenye movie, ikimaanisha inaweza kua SUV na ukiamua kwa button moja tu inageuka inakua Pickup truck.
Hii...
Habari wadau,
Mimi bhana nataka ninunue iyo gari na bajeti yangu ni 18M je show room naweza nikaipata kwa bei iyo mana Crown athelet yangu nimeiuza jana 13M sasa nimeongezea hapo 5M nataka iyo...
Wakuu habari ya muda huu,
Nimekuja mbele yenu nipate ushauri na mapendekezo zaidi kuhusiana na gari aina ya Suzuki Escudo old model.
Mimi napiga sana mihangaiko ya vijijini mashambani ambako ni...
Cherry kutoka china wametangaza SUV yao iitwayo Tiggo 7 ambayo itaingia sokoni kuanzia mwakani 2025.
Kinachovutia zaidi sio SUV, bali ni jinsi ilivyofanana na Range Rover Evoque.
Inakuja na...
Mfano hiyo hapo juu ni actual mileage inayonekana kwenye gari.
Hii ni mileage inayoonekana kwenye website ya EAA.
Gari imeshushwa 120,000Km
sasa hiyo ina uafadhali ila zipo ambazo ni worst...
Kwa wingi wa haya magari barabarani, jinsi watu wengi wanavyoyazungumzia na wengine wakiyataja Kama magari ya ndoto zao, nilikuwa Napata sana Shauku ya kuyaendesha, Ama kuyatumia Na ku feel ile...
Ford, wametoa Explorer EV ambayo ni SUV yenye siti 5.
Kwa kutumia MEB EV platformya Volkswagen, hii SUV ina uwezo wa kuchajiwa kutoka 10% hadi 80% kwa dakika 25 tu.
Kwa single charge, inaweza...
Habari wakuu,nina gari yangu Mark x nikiwa naweka gia ya P au N inazima Tatizo linaweza kuwa ni nini kabla sijaenda kwa fundi nipate idea kidogo, nipo Dodoma
Nataka kununua, toyota carina ti mkononi kwa mtu, naomba ushauri kwa wazoefu wa magari/engine, juu ya
1. Uimara wa gari
2. Upatikanaji wa spare
3. Ulaji mafuta
4. Bei za spare kuwa juu au kawaida...
Wakuu njia yangu ina rafu rodi kama km 7 baada ya hapo ni lami safi, kipato changu cha kawaida, safari yangu kwenda na kurudi home ni km 110, kati ya hizo, Corona,Carina Ti na Allex nichukue ipi...
Hii ndio habari ya mjini Kwa wale wapenda magari mazuri
Hizi ni gari shindani kwa sababu zote zipo kundi moja la COMPACT SUV.
Zinafanana sifa katika utendaji kama vile:
1. Ukubwa wa umbo
2...
Naombeni msaada mwenye uzoefu au ufahamu wa hayo magari matatu lipi ni bora katika vipengele vya
1. Utumiaji mafuta
2. uimara
3. Speed
4. Kupatikana vipuri
5. Ukisasa zaidi
6. Mwonekano mzuri.
7...
Watengenezaji wakubwa wa battery za magari ya umeme CATL jana (tar 13 Sept) wamezindua battery Tectrans Bus Edition kwaajili ya mabasi ya umeme yenye lifespan ya miaka 15 au Kilometa Mil 1.5 na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.