IT, hili neno linaweza kuwa na maana nyingi lakini hapa nataka kumaanisha IN TRANSIT kwa maana ya zile gari zinazopelekwa nchi za jirani kupitia bandari yetu ya Dar es salaam nk.
Hizi gari...
Wakuu nimejipata nataka nichukue usafiri kati ya Nissan xtrail ya 2012 au 2010 Subaru Forester (isio na turbo).
Msaada wa uimara, spea, mafuta, re-sale value
Nina gari aina ya Noah new shape injin ya 1az.. Sasa limekua likisumbua miss muda mrefu hatimaye limebadilishwa vitu kabao hadi Sasa bado halijaaa sawa...
Shida ya sasa ni kwamba asubuhi...
Habari wana JF, swali langu linalenga watumiaji wa vyombo vya moto.
Je, ni kweli mafuta machafu yapo kwenye baadhi ya vituo vya mafuta au ni uzushi tuu?
Na kama ni kweli kuna mathara gani...
Leo nimeanza kujichanga ninunue Dualis nissan.
Siwezi sema kiasi gan naitamani hii gari ila mjue tu nikiiona akili yangu huwa inataka kuweuka.
Mimi sina gari,
Sijui kuendesha ( siyo 0 kabisa...
Wakuu habari za Jumapili!?
Kuna kahela nimepata kidogo nataka kuagiza gari. Baada ya kufikiria kwa muda mrefu nimetamani gari mbili tu; Subaru Forester au Honda Crossroad.
Wataalam wa magari...
Wakuu mara ya mwisho mwezi wa 8 tarehe 24. Nimebadili oil zote mbili pamoja na ile ya transmission. Pamoja na spark plug fundi alitaka ziwekwe mpya.
Then leo tena muda huu gari imeanza tena kutoa...
Mwenyekiti wa Toyota, Akio Toyoda ameomba radhi leo Jumatatu kwa udanganyifu mkubwa katika majaribio ya uidhinishaji wa modeli saba za magari huku kampuni hiyo ikisimamisha utengenezaji wa matatu...
Habari Wana jamii Forums.. samahani nilikuwa nahitaji kujua changamoto ya hizi pikipiki ndogo maarufu kama 110 zipi?
Upande wa spea na ubora wa pikipiki zenyewe kwa sababu sijawahi kumiliki...
NCP65
1490cc
Model 2005
AWD
Full tank inatembea maximum 370km to 350km
Huwa nawasha A.C sio mda wote mara moja moja na nishafanya majaribio zaidi ya maratatu swali langu linakuja ni normal ulaji...
Hawa jamaa hadi wana kera!
Ona hii hapa Tesla Model Y vs Nio Onvo L60.
Hapo kwa mbele, ukitoa logo unaweza usijue ipi Tesla ipi Nio.
Hadi kaa nyuma, wametembea na beat.
Hadi ndani aisee ...
Kama kichwa cha thread kinavyojieleza swali langu ni hasa ni nini tofauti ya Landcruiser vx na Landcruiser GX magari haya hujulikana kwa jina la shangingi.
Na je, huwa yana utofauti wowote wa...
Kama ilivyo kwa kila wapenzi wa magari huwa na ndoto ya kumiliki gari ya ndoto yake, kwa kweli kuna mnyama anaitwa Jeep Trackhawk, huyu mnyama ni SUV lakini usilinganishe na upuuzi kama...
Kufuru nyingine leo katoa Iriza new model ine ukitaka tamko nne au 4 ambazo kwa bei ya sokoni billion tatu na milion mia sita sawa na YUTONG 20
Leo Morogoro road ilikuwa ni kelele za mahoni...
Sekta ya usafirishaji wa mizigo kwa kutumia magari (malori) ni muhimu sana hapa nchini na duniani kwa ujumla. Magari ya mizigo yanafika jirani zaidi na mlaji wa mwisho au sokoni ambako meli, reli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.