Wandugu habari zenu naomba msaada maana hapa ndipo lilipochimbuko la ukweli. Nimenunua Ractis new model ikiwa na genuine km (20k) kutoka japan ( certification ya mtu alonunua toka kiwandani...
Wakuu.
Teknolojia kwenye sekta ya magari inazidi kukua kwa kasi sana.
Ni miaka 10 tu iliyopita gari likiwa na Bluetooth, reverse camera, DVD, au cruise control ilikua vitu fancy, ila sasa hivi...
Aisee!
Kwenda Coco mara moja tu napisha na chuma ya Italia, iko na custom number "SPYDER".
(Picha nimetumiwa tu baadae)!
Nakuja ambiwa ni kijana kutoka Familia ya kitajiri wauza rambaramba na...
Napata ukakasi kuwa magari mengi hapo mwishoni yalifichwa kusajiliwa ili wasubiri namba E, maana gari zilikuwa zinaingia watu wako na chasis tu wanategeana watu wamalizie waanze herufi mpya.
Huu...
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyo jieleza.
Nlipata wazo lakununua hizi Landcruser double Cabin mbovu hasa hizi za Serikali ama kutoka Mashirika mbalimbali ya Uma... lakini kuagiza garii Mpya...
Volkswagen Polo Gti
Wakuu habari za jioni,
Niko safarini kwenda Tunduma, niko na jamaa yangu kaniomba kampani tuongozane kwenye msiba wa mkwewe.
Wazee nimebadili mawazo yangu na leo nakubaliana...
Gari nzuri zisizoongelewa sana na wabongo
Mitsubishi Outlander ni gari bora na ngumu sana, ila hazina wapiga kelele kuzifanya zishike chati midomoni mwa watanzania.
Gari hizi zinavitu vingi sana...
Wana jukwaa habari ya wakati huu.
Bila kupoteza muda naomba kufahamu kuhusu hawa wauzaji wa pikipiki hasa brand ya Honda wanaopatikana huko zanzibar ni wa kweli kwa kiasi gani. Maana nimefuatilia...
Wasalaam.
Ni muda mrefu sasa sijafika hapo jijini na ata kwenye masoko makubwa kama kariakooo nimeishaanza kusahau mitaa.
Ila tatizo langu ni dogo kama nitapata mwenye uelewa wa kifaa hiki...
Wakuu.
Kuna hii generation ya tisa ya Toyota Camry mpya, model code XV80, itakayoingia mzigoni mwakani (2025) aisee ina kila sifa za kua gari kali, kuanzia muonekano ndani na nje hadi performance...
Wakuu nakuja humu kuomba wataalam kunipa ushauri Nina Subaru Forester XS 2.5 ya 2009 nataka kuiuza nihamie Land rover Discovery 3 ya 2005. Je wenye uzoefu wa Discovery 3 Hali ipoje Kwa spea, mafundi?
Habari zenu wakuu
Nmejichanga changa nikapata milion 12 za kuvuta kausafiri, nategemea kuvuta kutoka mkononi mwa mtu. Sina hela yakuongezea kuagiza gari mpya sina uwezo huo.
ili niondokane na...
Hii kwa wadau wa Formula 1.
Bingwa wa Dunia mara 3, Max Verstappen aka Super Max mbona sahivi anaendesha "chini" ya kiwango?
Nimetoka kuangalia Azerbaijan Grand Prix sahivi jamaa ata Podium...
Inakuwaje Wakuu!
Kati ya hivyo viwili hapo juu ni ipi chombo ya kazi na ukiipeleka pesa yako ni uwekezaji mzuri
Kwa maana kulingana na soko letu na hali ya maisha kibongobongo ni ipi itayokuwa...
Habari wana JF,
Kwa mara ya kwanza kwenye maisha yangu nimenunua na kumiliki gari yangu ya kwanza nissan dualis, kusema ukweli sijui vitu vingu kuhusu magari nafahamu vitu vichache sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.