Ndio, haujakosea kusoma.
Officially kampuni maarufu duniani la kutengeneza magari ya umeme kutoka China, BYD wameingia Kenya. Sio kwa used car, bali officially kama sisi Tanzania wanavyoingia San...
Kwa wale ambao huwa mnapita maeneo ya magereji kama vile Tandale, Mwananyamala, Ilala na Kko bila shaka umeshawahi kuwaona watu wakipita na baiskeli au mikokoteni wakikusanya Madumu/ Chupa za oil...
1- Hakikisha vitu vyako ulivyoacha ndani ya gari:
- USB flash, Charger, hela, na vitu vingine vidogovidogo ni vyema ukavitia ktk mfuko maalumu ukashuka navyo. Huwa si rahisi kubaini kama...
Wakuu habari ya jumapili,nataka kuchukua hiyo chuma kutokana na muonekano wake comfortability, pia fuel consumption ipo vzuri.
Ushauri: nmekuta malalamiko sehemu baadhi ya hzo gari mara dpf, pipe...
Wakuu, vipi subaru impreza katika matumizi.
Ulaji wa mafuta, uvumilivu katika matumizi, upatikanaji wake wa spea na gharama zake za spea.
Je, ni gari ya kumiliki kwa wale wenye vipato vya...
Mnaonunua hili gari mmeangalia mazingira halisi ya hapa kwetu Tanzania? Gari ipo chini sana pia ni gari ambayo mafuta yanaenda mengi sana sijui kuhusu spare zake kama ni rahisi kuzipata hapa...
Kutambua size ya tairi ya gari yako ni rahisi. Unaweza kupata habari hii kwenye ukuta wa tairi yako,
Maelezo haya yanaorodhesha ukubwa na vipimo vya tairi lako, pamoja na kuhakikisha inatii...
Heshima kwenu wakuu.
Wiki iliyopita niliamua kuifanyia nissan dualis majaribio ya mbio barabarani.( nilikua natafuta ligi kwa udi na uvumba)
Nilitenga hela ya faini 150,000.00 kwa safari ya...
Huu mzinga wa pipa daah! Abiria 615 wanakaa humo. Yaan mwarabu (Dubai kwenye jangwa aliyeanza na ndege 1 miaka ya 1980s) anamiliki hizi ndege 119
na Boeing 777 (ndege 123) SWALA na KAZI tofauti...
Habari za wakati huu naomba kuuliza kwa yeyote ambaye anajua au analitumia gari aina ya Nissan Juke upatikanaji wake kwa hapa ndani na bei za hiyo gar?
Nissan Juke
UFAFANUZI ULIOTOLEWA NA WADAU...
Habari ya Sunday
Mimi nimekuwa nikijaribu kutafuta gari kwa ajili yaatumizi ya ngu na napendelea minivans. Nikawa natafuta mtu anayeuza hilp gari bongo ili ninunue. Lakini ñayapata mtandaoni hàya...
Baada ya tetesi za muda mrefu, hatimaye Mazda wameamua kuzindua officially Mazda EZ-6 ambayo ni EV version ya Mazda 6/Atenza.
Kuonesha ubabe wake kwenye EV, Mazda aliamua kushirikiana na...
Ndugu habari zenu,
Kwa wale mnaotumia Marcedes Benz mnanunulia spares wapi? Kwa hapa mjini Dar. Naombeni msaada kwa duka ambalo nitaweza kupata spares OG zenye ubora nahitaji kufanya service ya...
Wakuu anayefahamu aina hizo za pikipiki anijuze nahitaji kununua.
Ni pikipiki kubwa kimuundo na ni nene, pembeni nyuma huwa na kitu kama begs ngumu. Mara nyingi nawaona nazo raia wa kigeni hasa...
Salama wakuu,
Sina ujuvi kabisa ya haya mambo, kutokana na vyuma kukaza nimefikiria kununua pikipiki maarufu bodaboda Toyo, king lion, au boxer kwa ajili ya biashara wastani wa pikipiki 2 au 3...
Mchina Nampa Hongera sana sana kwa kuangalia nini kinachotufaa sisi Watanzania. Naangalia bei ya hizi Howo, Faw , schacman naoni bei zao ziko reasonable price ukilinganisha na haya mascania ambayo...
Nashangaa sana mtu agari yake Auto ila mkono hautoki kwenye gear handle ile,sasa kama una mzuka si uilipue uchkue kaz kazin manual, haya ma mazda cx5 yapo manual,honda fit anazo manual...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.