JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
Habari wana JF, Niliwahi kuleta Uzi wa kutaka kununua gari ya Tsh. 7M lakini wengi walinishauri tapata kimeo hivyo ilibidi nijichange Kwa muda mrefu na nimefanikiwa kufikisha tsh. 12M. Naomba...
5 Reactions
97 Replies
11K Views
Wadau na wapenzi wa magari. Kuna hii show inaitwa Chengdu Auto Show au juna jingine Chengdu International Automobile Exhibition inayochukua siku 10 kila mwaka katika mji wa Chengdu, China. Kama...
7 Reactions
20 Replies
588 Views
Hii Lucid Air kutoka Lucid Motors, USA, ni chuma na nusu aisee, especially kwa wadau wa executive sedans. Naikubali katika sekta zote tatu kuu, muonekano, technology na performance! Kwa...
14 Reactions
37 Replies
1K Views
Wakuu nahitaji 2011 Nissan Xtrail ukubwa wa Engine uwe kati ya 2 mpaka 2.5 cc. Niagize wapi Kati ya Japan na Afrika Kusini?
9 Reactions
128 Replies
6K Views
Toyota wataacha kutengeneza gari model V8 kufikia 2021. Sababu kubwa ni ukubwa wa engine na uchafuzi wa mazingira especially diesel emissions. Hii huenda ikawa taarifa mbaya kwa viongozi na...
3 Reactions
83 Replies
15K Views
. Rav 4 hii ni generation ya 3 kwa Rav 4 ambayo ina generation 5, Rav 4 Miss Tz Coded XA Imeanza 2005-2012. Na naweza sema ni moya ya gari ambayo imefanikiwa kuwapa watu feeling kama...
15 Reactions
11 Replies
10K Views
Ni gari iliyojijengea heshima duniani kote, hususani Africa kutokana na uwezo wake wakukabili barabara mbovu na korofi, uimara wake na uwezo wa kuishi muda mrefu. Tuachane na hizo sijui Prado...
4 Reactions
19 Replies
6K Views
Ngao, kama zinavyojulikana na wengi au kwa kiingereza bull bar, au push bumper, brush guard, moose bumper, etc, ni vyuma vinavyowekwa mbele ya uso wa gari au wengine husema bampa la mbele ya gari...
9 Reactions
8 Replies
2K Views
Kampuni ya Nyobolt ya Uingereza imefanikiwa kutengeneza betri ya gari la umeme inayoweza kuchaji kutoka 10% hadi 80% kwa dakika nne na sekunde 37. Mafanikio haya yanaashiria hatua kubwa katika...
12 Reactions
79 Replies
3K Views
Wakuu, ni EV nyingine kutoka China. Kuna hii kampuni inaitwa Avatr Technologies, hadi sasa wana model mbili tu za magari, ya kwanza ni Avatr 11 na ya pili ndio hii imeingia sokoni sasa inaitwa...
16 Reactions
41 Replies
1K Views
Kuna mengi sana yanapita katika kichwa cha dereva anaeendesha gari alafu ikazima ghafla bila ya yeye kuizima na mbaya zaidi itokee hivyo ikiwa geji ya mafuta inaonesha mafuta yapo ya kutosha...
12 Reactions
6 Replies
5K Views
Haya magari ya siku hizi noma sana. Pata picha uko kwenye highway, expressway, freeway, interstate, etc. Kwenye uendeshaji wa magari kuna kitu kinaitwa highway hypnosis. Ile hali ambayo ukiwa...
27 Reactions
71 Replies
2K Views
Habari wataalam, Naomba nijue faida na hasara kwa wale waliotumia gesi kama petrol / diesel kwenye magari au bajaji. natanguliza shukrani zenu kwangu. Karibuni wataalam.
0 Reactions
57 Replies
6K Views
Habari zenu, kwa yoyote anayejua bei za pikipiki coz najua maduka yalipo ila naamini kuna wataalamu ndio maana ikawepo JamiiForums! Bei ya wave 110i dukani ni bei gani? Na bei ya used ni bei gani?
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Wakuu nahitaji ushauri.Gari ni RUNX,maji yalikuwa yakipungua kidogo,fundi wangu akafungua kabisa REJETA ili aicheki,lakini hakuona tatizo. Iliporudishiwa ndo yameibuka matatizo ambayo...
2 Reactions
12 Replies
572 Views
Nipeni location ya garage yenye fundi gari anayeaminika DOdoma
0 Reactions
4 Replies
422 Views
Picha: Honda Crossroad Habari wakuu umu ndani kuna watu wa maana sana na nawa amini sana mwaka juzi mlinishauri kuhusu Rumiona nikaenda kununua na sijajutia, yaani nimefurahia sana. Sasa nataka...
4 Reactions
42 Replies
7K Views
Wakuu salama? Mfano mtu anataka ku experience the difference, ahame kutoka Toyota Rav 4/Harrier/Vanguard. Je kati ya hizi gari mbili ipi nzuri zaidi ama abakie tu kwa Toyota? Gari hizo ni...
5 Reactions
11 Replies
3K Views
Acheni hizo .. Na sisi ipo siku..
3 Reactions
9 Replies
500 Views
Back
Top Bottom