JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
Natumai Ni wazima nyote humu jamvini. Mwanzo gari yangu ilikuwa in heat sana na ikawa inavuja maji,fundi akabadilisha gasget na cylinder head.kuwasha gari ikawa inakataa,yani inakaribia kuwaka...
5 Reactions
40 Replies
805 Views
Wapenzi wa Muscle cars kama za kwenye Fast and Furious, zikina Ford Mustang, Camaro, Challenger, Shelby etc nadhani mnajua features kuu ni powerful engines, high speed, poor fuel efficiency...
9 Reactions
6 Replies
563 Views
Wakuu samahani kuna panya mdogo anakaa kwenye gari yangu, nikiwa nimekaa muda mrefu nimepaki nasikia akitafuna vitu nikijaribu kuangalia ananyamaza. Nikiamka asubui nakuta vikapande pande vya...
12 Reactions
92 Replies
4K Views
Habari za wakati huu Sisi wanambeya tunapenda sana scania G7 ya mineso sio hii michina ikipiga tuta unahisi uharo. Kwanza michina ukipanda unafika umechoka tofauti na scania G7.
1 Reactions
20 Replies
667 Views
Wapendwa katika kupambana na maisha ubunifu ni muhimu sana. Itumie akili yako katika kubuni mipango ya maendeleo. Akili haitakiwi kukaa bila kuwaza kitu hivyo usipowaza ya maana utawaza ya upuuzi...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
We don't know who is to blame for leaking these scrumdidlyumptious images of the 2009 Mercedes-Benz SL, but we're glad they did. These 34 high-res images give us a sneak peek at what Mercedes has...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Need help, Does an alternator spin the belt if its not working?
1 Reactions
1 Replies
884 Views
The inevitable has happened. There are only so many possible permutations of a metal box on four wheels designed to go fast over any terrain, and from the Jeep Wrangler to the Range Rover, all of...
2 Reactions
4 Replies
3K Views
Hiyo ni kwa mujibu wa TRA. Sasa katika bunge la bajeti Waziri wa Fedha alisema amewaondolea kodi waendesha pikipiki. Matokeo yake hata Baiskeli wanapaswa kulipa kodi. Kinachonishangaza ni suala la...
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Nimenunua BMW 5 series 2006 kwa mtu ikiwa fresh nimeendesha kama mwezi ilikuwa poa mpaka nilipompa jamaa alikuwa na safari ya Bagamoyo aliporudi nikaichukua kuendesha kidogo nikaona kama nakanyaga...
21 Reactions
322 Replies
18K Views
Habari zenu Wakuu natumaini muwazima…kuna hii gari inaitwa Nissan bluebird yenye 1490cc,nilikuwa naomba kwa yeyote anayeijua je ni nzuri kwa kuzingatia upatikanaji wa spares na matumizi ya mafuta?
0 Reactions
3 Replies
711 Views
Kutokana na ufinyu wa eneo la bandari ya Dar es salaam ambayo kwa Sasa lipo chini ya uendeshaji wa DP World imefanya bandari kushirikiana na wadau wa sekta binafsi katika kutoa huduma za...
4 Reactions
9 Replies
1K Views
Tourbillon ya 2026 ni muundo mpya kabisa kutoka Bugatti tangu kampuni hiyo ilipoungana na kampuni ya Rimac ambayo ni mtengenezaji wa magari ya umeme ya michezo mnamo 2021, na inachukua nafasi ya...
2 Reactions
2 Replies
408 Views
Habari za mchana watu wangu Gari yangu imefikisha kilomita 144,573 nitumie oil gani maana nilienda kupiga service mafundi wakaweka oil ya Castrol (20w-50) Engine ikaharibika ilianza kupiga...
9 Reactions
120 Replies
3K Views
Wakuu habari,hongera na poleni na majukumu ya kutafuta ridhiki ya kila siku. Kufupisha habari ni kwamba nina hiyo gari ( Outlander 2007) na siijui vizuri kwakweli. Naomba msaada nataka nikafanye...
2 Reactions
37 Replies
2K Views
Hiki kisa kinahusu gari moja aina ya Volkswagen Polo GTI mk5 toleo la mwaka 2012. Gari ina engine ya EA211 1.4TSI twin charge. Hii kazi niliunganishiwa na mtu wa humuhumu ndani japo huyo mtu...
55 Reactions
163 Replies
15K Views
Kama kichwa cha habari hapo juu
5 Reactions
16 Replies
828 Views
Habari zenu. Nataka kuulizq nimegundua kuwa watu wengine walifuata mkumbo wa kununua nissan Serena lakini siku za hivi karibuni zi.ekuwa hazinunuliwi na resale value yake imeshuka sana. Ndio...
2 Reactions
9 Replies
727 Views
Habari wakuu, Kuna jamaa yangu anahitaji kuagiza Gari hii Mercedes Benz C200 Compressor ya Mwaka 2004. Sasa tumeulizia kwa fundi mmoja anasema jamaa asinunue hiyo gari sababu ni mbovu sana na...
9 Reactions
62 Replies
9K Views
Back
Top Bottom