Waitalia hawapoi, wakati juzi juzi tu wametoka kuzindua Lamborghini Revuelto (ipo sokoni kuanzia huu mwaka 2024) iliyomreplace Aventador (iliyotokea 2012 hadi 2023) sasa wamekuja na Temerario...
Wakuu nimeshuhudia hizi gari zikitelekezwa Garage kadhaa hapo Dar.
Wamiliki wamechemsha kuzimaintain? Tuachane na kumiliki gari kwa kufuata mkumbo.
MC pilipili like X3 lake sijui kalificha wapi...
Habali wana jf.Jina(x) mkazi wa unguja town age below 30,Nategemea kununua sport bike (500-600cc) kwa mizunguko ya mjini na mara 3 kwa wiki kusini unguja.Budget kuanzia 8m-10m,ni kampuni ipi...
Habari za mida hii wanajf.
Kama kichwa kinavyosomeka.
Kuna jambo huwa najiuliza kwenye suala zima la kuagiza gari kwa kutumia beforward, tcv, sbt, n.k. Nikipitia kwenye websites zao unakuta...
Yesterday, a Scania bus decided to test its wings, zooming down the highway at a jaw-dropping 140 km/hr. Now, we all love a thrilling ride, but when your bus feels more like a rollercoaster, it’s...
Wenye V6, V8 na Uber meno yote nje, hongereni DIT
https://www.jamiiforums.com/threads/cng-kuwaangamiza-waarabu-tanzania-yalamba-bingo-nzito-gesi-asilia-toka-kusini.1606464/...
Habari za wakati huu ndugu zangu, naombeni kujua hizi shock up aina ya koroma ni imara?
Maana kuna fundi hapa ananifungia kwenye duals yangu mwenye kuzijua vizuri anijuze tafadhari!
Hakuna jinsi.
Kampuni la Kimarekani Jeep nao wamedandia treni, ingawa kwa kuchelewa kidogo, na kutoa first EV, Jeep Wagoneer S.
Hii ni large SUV itakayokua na 600 hp kutoka kwenye electrical...
Nataka kununua gari namba C au D kwa bajeti ya million 7-7.5
Machaguo
1. PREMIO 2006
2. CARINA TI
3. IST
4. ALLION
5. SPACIO
Ni gari ipi hapo inayovumilia na maintanance yake haiumizi kichwa...
Habari Wana JF Kuna mtu n mtumishi wa umma anataka kuagiza Subaru forester ya 2012 angependa ajue gharama hadi anaiweka mkononi
Pia angependa kujua akipitia process za kuomba msamaaa wa kodi...
Bei ya mafuta inazidi kuwa mtihani,naomba mzoefu anisaidie yafuatayo;
1.Gharama za kuweka.
2.Gharama ya gesi kwa kilometer mija.
3.Nguvu ya gari.
4.Mafundi wa kuweka mfumo.
5.Vituo vya...
Jambo la kuepuka ni kuweka masega ya kuchomelea iwapo engine ya gari yako itakuwa na EGR.
EGR huwa inarudisha kiasi fulani cha moshi kwenda mahali ambako mafuta yanaungua(combustion chamber), kwa...
Heri ya siku njema ya Mwanzo wa wiki wakuu. Leo nimekuja na somo ambalo ni nadra sana kulipata. Nasema ni nadra sababu watu wemgi huwa na dhana kwamba gari yangu ikiwa na masega basi kama...
Habar wakuu,Nina pikipiki aina ya boxer bm 150 inatatizo moja La kuchelewa hasa ikiwa nimeipaki kwa nusu saa hivi,nimejaribu kwenda kwa mafundi ila wamekuwa wanatoa maoni tofauti tofauti...
Habari za kushinda wakuu?
Naomba kufahamishwa/kujulishwa tofauti iliyopo kati ya magari ya kuagiza nje ya nchi kwa mfano Japan, korea nk na yale yanayouzwa hapa nchini, unakuta mtu amefungua yard...
Wakuu habari! Msaada kidogo kwa wajuzi wa magari. Nina gari (Toyota Ractis) nikiendesha nahisi harufu ya petrol mbichi ndani ya gari. Nimepeleka kwa fundi kabadili plug lakini bado tatizo halijaisha.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.