Kampuni ya China ya Cherry wakishirikiana na Xiaomi, wametoa gharama za kununua SUV EV yao ya iCar V23 itauzwa kwa $16,000/= tu.
Ikumbukwe Cherry ni kampuni la magari la China sasa wamejoint na...
Kutokana na gharama za mafuta kupanda juu. OKEMI technical services tumekuja na huduma ya kufunga mfumo wa gas fuel kwenye magari yote yanayo tumia diesel na petrol
Gas fuel ina gharama nafuu kwa...
Salamu kwenu wakuu,Nina pikipiki yangu aina ya TVS 125.
Tatizo lake ni pale ninapowasha taa kubwa ya mbele baada ya dakika kadhaa pikipiki inazima, na inapotaka kuzima nikizima taa inaendelea...
Wadau habari,manzanita mwenzenu kulingana na haki ya uchumi nataka kununua kagari kanakolingana na hali yangu mm kablwela.
Baada ya uchunguzi wa hapa na pale nikangukia kwenye Suzuki Swift old...
Kampuni ya kutengeneza magari ya BYD imezindua gari la mfumo wa Plug-in Hybrid Electric Vehicle (PHEV) PHEV ni magari ambayo yana mifumo miwili umeme na mafuta.
Kwa maneno rahisi kama chaji...
Habarini za mchana wadau, Natumai mko poa na mnaendelea na harakati za kutafuta maendeleo.
Wadau nahitaji kwa mwenye uzoefu kuhusu pikipiki anisaidie kuchagua kati ya boxer 150 na Tvs hlx 150...
Habari zenu. Husika na kichwa Cha habari hapo juu. Mnawezq nitajia magari yanayochukiwa na wabongo kwa vigezi kwamba hawayataki kutanunua tena kwa vigezi kuwa yanakula sana mafuta, engines zake...
Habari za asubuhi wakuu.
Kwa muda kidogo nimekua nikifanya utafiti mdogo wa madalali wauzaji wa magari instagram na social media nyingine.
Kuna kitu nimegundua nikaona nijadiliane nipate majibu...
Habari wakuu nataka ushauri nataka kununua pikipiki binafsi kwa ajili ya bodaboda ipi iko vizuri kati ya boxer 150 na tvs150?
- Kuanzia engine
- Fuels
- Speed
- Rough road na appearance
===
Boxer...
Hii gari iligonga, baada yakugonga nikama AIR BAG ilitaka kuchomoka lkn haijachomoka.
Kuna fundi amenishauri ninunue usukani mwingine lakini kwa macho yangu mimi japo sio fundi naona kama...
Walioweka Maximum speed sio wajinga. Kutana na highway uko USA, Death Valley park.
Chuma gani ukiipata hapa unafuta kisahani bila kujifikiria mara mbili?
Ni Plugin Hybrid kutoka China tena.
Kampuni la magari kutoka China kwa jina la Great Wall Motors, kupitia sub-brand yake ya Wey, wamezindua SUV moja kali sana iitwayo Lanshan IDE (Intelligent...
Naomba kuwasilisha hili kwa faida ya wengi,Mimi niliagiza gari japan kupitia Real motor japan ni miezi kama mitatu sasa.
Kila kitu kikawa kinaenda sawa, nikajulishwa gari imepakiwa nkapewa na...
Naogopa kupigwa naomba msaada. Kichwa hapo juu kimeongea.
Naona bei kwa kule ni 3346USD
Kwa nilivyosikia bei inakua mara mbili
8883630 x2 haikosi 18,000,000
Wakuu ndivyo??
Wapenzi wa magari especially EV na hybrid.
Kampuni la Teknolojia kutoka China, Xiaomi kupitia kitengo cha Xiaomi Auto wamezindua gari jingine, SU7 Ultra, ambayo ni kama muendelezo wa SU7 EV...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.