Habari wakuu,
Nimechunguza na kugundua kwenye Road Traffic Act ya Tanzania kuna sheria ambazo hazijaainishwa vizuri haswa kwenye suala la kuvuta trailer ndogo (binafsi). Kwa wale mnaofahamu...
Nahitaji Kagari cha mizunguko ya Mjini na Visafari vichache vya mikoani,
Baadhi ya Maeneo nitakayofika yana Rough and Aggressive Roads.
Hiki kisuzuki kina cc 1300 na kipo juu kiasi kwamba...
Namiliki gari aina ya cresta gx 100 yenye injini ya 1G kavu.
Hii gari wakuuu Mjapani hapa alicheza kama pele gari iko na starehe kama yote wakati unadrive.
Kama ni mzee wa myendoo basi hapa...
Wakulungwa salaam! Napenda sana gari aina hii nataka nipate sifa yake na Bei yake Ili nione kama naweza kununua na Mimi nianze nayo maisha. Naomba sifa yake na Bei yake please
Sent from my...
Naomba kueleweshwa kuhusu hizo gari kuhusiana na uimara na utumiaji wake wa mafuta.
Mwenye uelewa please.
Au ushauri gari gani nyingine inayofanana muundo na hizo ambayo ni economy kwenye mafuta...
Hii trend ya kuuza gari mtu anaangalia usajili wa namba namba ya gari ni ya lini mfano EEM, DYL, DME ndo atamke bei ni ushamba sana unaendekezwa na washamba, Kwamba gari nzuri ni yenye namba...
Hii kwa wadau wa motorsports & movies. Kuna hizi upcoming movies mbili zinakuja zinahusu F1 kwa 100% ziweke kwenye list yako.
Sena (2024)
Hii itakua chini ya Netflix, sio movie kabisa ni...
✓Kwenye gari Kuna vitu vingi sana kama havio sawa vinapelekea gari kutumia mafuta mengi kuliko kawaida. Kwa mfano
1) Kutanuka kwa matundu ya nozzle.
2) Kuchoka kwa spark plugs
3) Kuwepo na...
Habari.
Hadi sasa TOYOTA hayupo nyuma katika kipenge chake cha kushika soko kwa aina fulani ya gari ambazo huwa nyingi kupita maelezo.
Kama ilivyokuwa zamani model nyingi zimepita ila kuna moja...
Wakuu hizi mini coopers msizichukulie poa mkadhani Ni size ya IST sijui Vitz zenu. Mzungu Katia Mini Cooper 5 door (2022) speed 260kph ni motoooo. Bei inakimbizana na SUV zenu mnazovimba nazo...
Msaada kwa wanaoifahamu, waliowahi kuendesha au hata kumiliki hii gari aina ya FORD EVEREST TITANIUM 2022.
Kuna rafiki yangu anataka kununua hiyo gari 0 km anaulizia;
1. Upatikanaji spea hapa...
Daah baadhi ya hawa wenzetu ni changamoto sana kwenye utunzaji vyombo vya usafiri hasa gari ya nyumbani.
Wanachokijua ni kuwasha gari na kutoka nalo mkuku.
Maadam wese lipo yeye anachojua ni...
Usukani ni kitu ambacho hata mtu ambaye hajui gari anafahamu, ni kitu ambacho hata watoto wadogo wanakijua lakini ukweli ni kwamba watu wengi sana ikiwemo madereva ambao wana leseni na uzoefu...
Nataka kuagiza hzi pikipiki za umeme zinazotamba kwa sasa, kibongo bongo naskia zinatembea kwny 1.5m ila nimejaribu kuangalia huko China zinapotokea naona zinarange kwenye 260$ kupanda juu hadi...
Tabia yake
Oil inakuwa nyepesi jinsi inayopata joto na kuwa nzito jinsi inavyopoa. Kwahiyo kufahamu viscosity sahihi kwenye cold start na operating temperature ni muhimu!
Viscosity ni resistance...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.