JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
Wadau wa magari tufahamishane hapa,, Land cruiser LC 300 series latest ipi kati ya hizi ni nzuri kali na bei imesimama • GX • GXR • VX • VXR •ZX
6 Reactions
20 Replies
1K Views
Habari zenu Wana ndugu nina mpango wa kumiliki Suzuki swift ila sasa nimeshindwa kufanya chaguo sahihi kati ya hizi new model toleo la 2006/8 na zile za kawaida za zamani. Naomba kujua kwa wenye...
1 Reactions
6 Replies
805 Views
Je ulishawahi kusikia watu au fundi anakuambia gari limeingia kwenye immobilizer na ukashindwa kufahamu nini? Immobilizer ni mfumo wa security ya funguo katika gari. Mfumo huu umewekwa ili...
6 Reactions
86 Replies
22K Views
Juzi kati kulikua na Malaysia Auto Show, kuanzia tarehe 22 May hadi tarehe 26 May. Kuna baadhi ya chuma zimezinduliwa ila hii ilinivutia. Aion sub brand ya CAG wamezindua Aion Hyper HT SUV EV...
7 Reactions
28 Replies
2K Views
Ikiwa Ni mwaka mmoja na mwezi mmoja Toka namba D ya vyombo hivo vianze kwa Sasa wanasajili no MC**** DR* Ambapo kwenye magari walitumia muda mrefu sana kufika usajili huo, Ni wazi Hadi mapema...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari za muda huu! naomba kujuzwa namma ya kuiset dashboard iniandikie kiasi Cha mafuta kinachotumika,gari ni MARK X Ya mwaka 2007. Samahani Kwa uandishi wangu mbovu.
5 Reactions
38 Replies
1K Views
Wana JF anayejuwa ofisi bolt zilipo sasa amenipe location. Asanteni!
0 Reactions
2 Replies
736 Views
Mercedes benz c class w204 yenye M271 engine ina ulaji mbaya wa mafuta (high fuel consumption), inakula kati 6.5-7.2km/litre mjini. Nimefanya au kucheki vifuatavyo: [emoji736]Diagnosis (hakuna...
5 Reactions
23 Replies
3K Views
Wakuu... Baada ya kuuza Rumion yangu siku ya jumatano uliyopita nilingia fasta mitandaoni kuagiza gari ninayoikusudia. Siku ya alhamisi asubuhi nilienda Kwa agent ili nianze process za kulipia...
13 Reactions
66 Replies
5K Views
Muda hautoshi, vyuma vinatolewa kila siku. Kampuni ya Kibabe ya Magari kutoka Ufaransa, Bugatti wameamua kutuletea generation mpya ya gari yao itakayomrithi Bugatti Chiron aliekuwepo tokea 2016...
13 Reactions
20 Replies
842 Views
Kwanza wakuu inachukua muda gani mtu kujifunza kuendesha gari? Anatakiwa kupractice kwa muda gani ili awe ameiva? Naomba kufundishwa kuendesha gari na pikipiki. Elimu basic, hasa hasa alama za...
3 Reactions
8 Replies
870 Views
Unaweza usielewe kichwa cha habari lakini pindi utakaposoma mpaka mwisho utaelewa hivyo nakusihi usome mpaka mwisho. Katika chombo chochote kinachoitwa cha moto injini ni Moyo wa chombo hicho...
12 Reactions
6 Replies
4K Views
Hizi vyuma bado sijaziona kwenye STM na STN za serikali. Nina expect zikisambaa madereva wa Serikali watasumbua nazo sana mitaani. Kumbuka inashare platform na big boss J300, na sasa wameipeleka...
14 Reactions
32 Replies
2K Views
Ata sio issue kubwa. Ila kuna Model S yenye miaka 8 tokea itengenezwe, odo inasoma kilometa 690k, original battery, imejaribishwa na kuonekana imepoteza range ya kilometa 65 tu kutoka original...
10 Reactions
30 Replies
1K Views
Sifa Awe na basic knowledge ya magari madogo(Zingatia). Muaminifu na mchapakazi Garage iko Iko Makuburi, Ubungo. Hakuna malipo. Tuma message ya kawaida au whatsapp +255688758625 (usipige...
5 Reactions
13 Replies
665 Views
Wakuu naombeni mwenye ufahamu kuhusu hii gari, Mitsubishi RVR. Je, ni gari nzuri kwa matumizi ya hapa kwetu. Haswa kwenye swala la reliability.
2 Reactions
17 Replies
5K Views
Kama uchumi unaruhusu, nunua chuma kali tu.. Mengine tutajua uko uko.. Na mafuta tujitahidi kuweka kutoka kwenye vituo vya mafuta vinavyoaminika.. Sema issue ndogo ndogo kama kuosha tujitahidi...
15 Reactions
23 Replies
942 Views
Wazee wanatamani wasikie paah
2 Reactions
1 Replies
245 Views
Wanajamvi Salaam. Nahitaji kununua gari kwa mara ya kwanza, naomba kufahamu kati ya Toyota Allex, wish na subaru impreza ipi ni gari bora na kwasababu zipi. Natanguliza shukrani za dhati kwa...
1 Reactions
39 Replies
9K Views
Nilipewa elimu kuwa ukitaka kupunguza gharama ya matumizi ya gari basi ni vema ukaibadili na iweze kutumia mfumo wa gesi. Nikaelezwa kuwa ukijaza gesi ya Tshs. 17,000 unaweza kusafiri kilomita...
3 Reactions
20 Replies
5K Views
Back
Top Bottom