JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
[emoji599]: Unajua XT Kwenye Subaru Forester Inamaanisha nini? T” inamaanisha “Turbo Charger” na X ni “maximum traction” ni sawa na kusema all-wheel-drive,na pia inauwezo mkubwa wa kutembea...
10 Reactions
31 Replies
5K Views
Salaaam wanabaraza. Kama kichwa cha mada kilivyo hapo juu. Nahitaji kuagiza gari aina ya Toyota Vanguard ya mwaka 2011/2012. Kwa kuwa mimi sio mzoefu wa magari ndio maana nimekuja humu kuomba...
1 Reactions
57 Replies
8K Views
Hizi engine za kisasa za toyota ambazo zimekuja na Aluminium block ni nzuri ikiwa haijawahi pata shida ya kuchemsha. Ila kama ikitokea ikachemsha halafu ukarekebisha bado matatizo ya kuchemsha...
24 Reactions
110 Replies
12K Views
Wakuu nashindwa kuelewa ipi yenye nguvu milimani na ipi. Ina spid kuliko nyingine wakat zote ni 150?
2 Reactions
41 Replies
9K Views
Wakuu. Najua wengi uwa tunajiuliza, inakuaje gari la mwaka 2015 linatoka Japan likiwa na Kilometa 100,000 linafika Tanzania baada ya mwaka mmoja linaonekana chakavu ova limekaa miaka 20 mbele? Ni...
14 Reactions
12 Replies
2K Views
Wakuu kwema? Siku ya Jumamosi nilisafiri na gari yangu Toyota Premio F(1490cc) kutoka Arusha kuja Dar es Salaam. Ilikuwa ndo mara ya kwanza kusafiri safari ndefu kwa kutumia hii gari kwa hiyo...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu habari za wakati huu, Naomba kujua kwa wenye uzoefu na wajuvi wa hizi gari zinaitwa Suzuki aerio kuhusu changamoto zake, upatikanaji wa spare na ulaji wa mafuta pia yale matatizo common ya...
1 Reactions
5 Replies
720 Views
Toyota Voltz Habarini wakubwa, Nisaidieni kujua kuhusu voltz. Ukulaji wake wa mafuta, matunzo yanayofaa, disadvantages zake na advantages Bei ya voltz 2008, 2006 na 2002. Karibuni wakubwa.
3 Reactions
66 Replies
8K Views
Wakuu habarini dah naombeni msaada nimehangaika kutafuta contro box ya suzuki kei nimekosa , engine ya waya sita, naomba msaada kwani fundi kajaribu kila aina y contro box gari inakataa ...
2 Reactions
4 Replies
322 Views
Wadau nadhani mada nyingi zimekuwepo zinazohusu hasa Magari. Lakini mada ya kuhusu pikipiki sijawahi kuiona ukizingatia Tanzania kuwa na wapenzi wengi watumiaji Pikipiki. Naam, kwa hali hiyo...
4 Reactions
23 Replies
15K Views
Wakuu nataka nimwagizie shemeji yenu hio gari (HONDA CROSSROAD) naomba ushauri kwa ambao mna uzoefu nayo. Ahsanteni
0 Reactions
3 Replies
662 Views
Habari ndugu WanajamiiForums, Nina gari aina ya nissan duals ya mwaka 2011 nikipita kwenya mashimo nackia kama ingonga gonga kwa mbalii naomben anayeweza kujua tatzo itakuwa ni nini kabla...
0 Reactions
9 Replies
742 Views
Wakuu kwema? Nimekutana na changamoto kutumia redio iliyopo kwenye gari (ilikuja na gari) aina ya Panasonic Strada kwani hai-respond chochote na inaonekana inatakiwa kuwa na SD card ambayo kwasasa...
1 Reactions
7 Replies
400 Views
Wakuu. Kwa wapenzi wa Military jet fighters, nadhani tunakubali F-22 ndio the best hadi sasa. Hii chuma ni latest generation (5th generation) na tokea zianze kutengezwa Marekani 2010 na...
3 Reactions
6 Replies
452 Views
Wakuu habari, Naombeni ufafanuzi natamani nipate gari la kuanzia maisha nitakalokaa nalo muda mrefu kidogo, ninakoishi kuna milima ya wastani na vumbi la kati. Je, ni gari gani inanifaa Mimi...
19 Reactions
190 Replies
39K Views
Wakuu. Tulioana juzi kati kwenye Malaysia Auto Show kampuni kutoka China Aion ambayo ni tawi la CAG wamezindua Aion Hyper HT SUV gari linalofanana na Tesla Model X. Wachina bwana: Wameiiga Tesla...
6 Reactions
15 Replies
762 Views
Inawezekana sina hilo gari lenye hadhi ya kuwekea private registration plate, au labda sina gari kabisa. Lakini kiukweli nikipishana na gari njiani lina plate namba imeandikwa jina la mtu, uwa...
23 Reactions
115 Replies
5K Views
2014 hiyo nipo napiga misele kwenye kagari kangu carina ti, nipo eneo halina magari ghafla nikafika sehemu nigeuze gari bila kuangalia nyuma, vile nageuza nasikia kishindo, kuangalia nyuma ni gari...
0 Reactions
5 Replies
445 Views
Ndege za kivita "fighter jets" na baadhi ya Helicopter za kijeshi zina seat special za kuokoa maisha ya rubani na crew member wengine ikitokea ndege imepata tatizo kubwa litakayopelekea kuanguka...
6 Reactions
14 Replies
603 Views
Back
Top Bottom