JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
Wakuu mambo vipi poleni na majukumu yakujenga taifa nawapenyezea hii wale wapenda magari na miendo Ile drag race iliyofanyika mwaka jana pale Nyerere Bridge Kigamboni inarudiwa tena hii ni season...
4 Reactions
81 Replies
3K Views
Wakuu, tukubali magari ya umeme yanazidi kuongezeka kwa kasi sana ndani ya hii miaka mitano. Na inavoelekea yatazidi kuongezeka maradufu. Mfano tu angalia hii chart nimeitoa Wikipedia. Sasa kwa...
28 Reactions
87 Replies
4K Views
Hizi gari za kununua South Africa MAKABURU na WAZULU wameshazitembelea kilometres za kutosha mpaka sio poa. Kukuta gari imetembea 400,000 kms huko sio jambo geni sijui jamaa wanaendesha kwenda...
11 Reactions
88 Replies
7K Views
Habari wana JF.. gari hizo hapo juu zote ni namba E zinauzwa nipo dsm kwa maongezi mazuri nitafute namba 0744566124
1 Reactions
36 Replies
2K Views
Naomba tuwasiliane.
1 Reactions
2 Replies
240 Views
Hello wana JF, Naomba mtu anayefahamu fundi wa Mitsubishi anisaidie kwa Arusha. Gari inachelewa sana kubadili gear na inatembea kwa rpm kubwa sana kwa speed ndogo na kuna muda inakosa nguvu...
1 Reactions
8 Replies
568 Views
Habari wana-JF kama kichwa cha uzi kinavyojieleza, ningependa kujua ni gari gani ya kuagiza kutoka Japan inaweza kupatikana kwa 17m baada ya kodi. Yaani mpaka inafika mkononi icheze kwenye 17 na...
4 Reactions
19 Replies
1K Views
Tuache bei ya chuma yenyewe, ila TRA wanataka Mil 185 ukileta hii kitu tena ya 2024. Sasa sijui ikiwa 0 kilometa kuna excuse? Kusema kweli kuna magari mazuri ila ushuru kichomi. Tukipishana...
10 Reactions
27 Replies
1K Views
McLaren ni ndoto ya wapenzi wengi wa magari. Ila bei sio rafiki. Mfano, hii McLaren Senna inauzwa MSRP $1,000,000 ambayo ni kubwa sana. Sasa McLaren wametengeneza Sena 30 ambazo ni toy, zenye...
4 Reactions
13 Replies
590 Views
Kama kichwa cha mada kinavyojieleza hapo juu ningependa mtu mwenye uzoefu na Hilo gari kushea na sisi humu ndani
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Land cruiser vx v8 hii gari isikie tu! Hii ni ndege ya chini! Ukionja hii gari unaweza ishauri Serikali kuwe na leseni maalum kwa madereva wa hizi gari maana ni ndege ya chini wallah! Nahisi...
64 Reactions
264 Replies
29K Views
Habarini wapendwa, Nisiwachoshe niende moja kwa moja kwenye mada, je gari ukiwa unaweka full tank na sio ya mafuta ya buku kumi kumi inapunguza ulaji wa mafuta? Yaani kuna mtu kanishauri gari...
6 Reactions
128 Replies
29K Views
Wakuu wafanyabiashara hamjambo humu! Nataka kujua Bei ya basi aina ya YUTONG ni kiasi gani na kama unanunua nje ya nchi, hadi kufika hapa kwetu ni thamani ya shilingi ngapi mpaka naipata mkononi...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Mwaka 2010, Nissan walitengeneza Nissan Juke 1st generation iliokuwa designed na Kenji Kawasaki na mwenzie, wakaja na hii design: Ni gari nzuri, nje na ndani, comfortability, efficiency na...
4 Reactions
7 Replies
785 Views
Wakuu nataka kuagiza Gari SUV Japan. Katika kuperuzi nimeangukia katika Gari hizo 2 naombeni ushauri wenu Isuzu Bighorn (Diesel 3000cc) vs SUZUKI GRAND ESCUDO (Petrol 2730cc). Nichukue ipi...
12 Reactions
181 Replies
22K Views
Mi hadi nachoka. Hawa jamaa bwana. Naikuta single cabin CIF $6,000 (mil 16) uko Beforward. Hafu eti ushuru sasa wa TRA mil 28 unalipa. Karibia mara mbili ya bei ya kununua. Gari ya kazi...
10 Reactions
32 Replies
2K Views
Siku hizi magari yamekuwa bidhaa iliyozagaa kama Madera pale Kariakoo. Kuna gari yard.. Kuna za minada.. Kuna za mikononi.. Gari za mikononi ni pendwa kutokana na bei yake kupoa kidogo.. Ingawa...
37 Reactions
106 Replies
22K Views
Kuunda boat ndogo ni rahisi utengeneza body , unaweka injini na vifaa vingine vya elektroniki, na inaweza kwenda kwenye trela ili kusafirishwa popote. Mchakato wote unaweza kudumu kwa miezi...
1 Reactions
1 Replies
363 Views
Shwari? Ushawahi kuazimisha gari kumbe limerudishwa na deni bila kujua? Au umefika muda wa kulipa bima ushasahau? Basi tukumbushane: Kuangalia Deni la Trafick: TMS CHECK Kuangalia Bima ya...
5 Reactions
2 Replies
655 Views
Toyota Raum ni gari dogo lililotengenezwa na kampuni ya Toyota na kuuzwa kwenye soko la ndani la Japan (JDM) kuanzia mwaka 1997 mpaka mwaka 2011 ambapo uzalishaji wake ulisitishwa rasmi. Gari hili...
9 Reactions
18 Replies
21K Views
Back
Top Bottom