Ni nini chanzo cha mlipuko au sauti kama mpasuko kutoka kwenye exhaust pipe ya pikipiki au sports car nyingi?? Ni kuziba kwa exhaust pipe au ni swaga za madereva kushtua watu??
Samahani wana JF kama kuna fundi wa Key programming za magari naomba kujifunza.
Mimi ni begginer kabisa ujuzi nilionao ni wa program za doagnosis na repair ndogo ndogo za umeme wa magari.
Samahani usafiri aina ya spacio new model ikitembea umbali kdg ukiacha kukanyaga mafuta inaanza kutetemeka na kutaka kuzima mpaka ukanyagie resi kdg tatizo itakua nn wakuu
Nina gari yangu Mitsubishi Pajero mini mwezi uliopita taa ya kuashiria alternator inashida iliwaka kwenye dash board, nikanunua mpya tulivyofunga taa ikazima ila baada ya siku moja taa ikawaka...
Wazee na wataalamu wa mandinga makali nakuja tena kwenu mnipe uchanganuzi wa hizo gari mbili. Ninaplan ya kuagiza gari ila mpaka sasa sijui niagizw ipi bado nakuwa dilemma kwenye kumake choice...
Nisipoongea nitakua sitendi haki maana niliahidi likifika langu katika hali yoyote. Nitakuja kutoa ushuhuda
Siku mbili tu tangu nilipie gari yangu nilikutana na ule uzi wa aliyeagiza alphard...
Wakuu habari!
Naomba msaada, gari aina ya Allex imeniwashia taa ya PS, na mara kadhaa imekuwa ikiwasha na kuzima yenyewe baada ya mda. Sasa nahitaji suluhisho la kudumu.
1. Nini sababu haswa...
Habari wakuu,
Mimi nina oasso yangu inawaka taa ya OD pia inablink na gia zinaingia kwa tabu kwa kushituka, mafundi walibadil vvti sensor inaacha halafu inarudi vilevile, naomba alie wahi solve...
Hadi June 2024, approximately Duniani kuna magari 1.5 Billions, na Population ya watu ni 8.1 Billions.
Kama atleast ulipata D mbili, simple math itatuambia ni asilimia 18 tu ndio wanamiliki gari...
Msaada jamani, HIVi pikipiki Kwa matumizi ya kawaida mtu anatakiwa afanyie service vitu gani na Kwa mda gani?
Pia boxer 150 mazuri yake na mabaya yake ni yapi
Kuna madhara ya kubana...
Wakuu habari
Nataka jua ulaji wa mafuta wa hizo gari hasa za petrol mana naona wadau wanasifia sana Mazda hasa ulaji wa mafuta.
Nataka pata uhakika hasa kwa wanaomiliki ndinga za mazda hasa...
Wakuu ninamiliki Rav4 2006 aka Miss Tz. Baada ya kupima uchumi wangu nimegundua sina uwezo wa kununua gari ninalilipenda kwa siku za karibuni.
nimeamua nilifanyie matengenezo makubwa pamoja na ku...
Wakuu katika kuzunguka mtandaoni nimepata Suzuki Escudo 2700cc, MT, japo Bei imechangamka Ila naimudu. Mwenye kujua gari tajwa anishauri kabla sijatuma pesa. Asanteni
Hello Team Magari , Asanteni sana kwa ushauri mlionipa nimefanikiwa kukiagiza hichi Jimny na kimeshafika nyumbani .Kutoka Dar mpaka Arusha kilikula mafuta ya elfu 80000.mpaka kimefika nimetumia...
Wataalamu habari za majukumu, nilikuwa ninaomba kuelemishwa kuhusu hizi buttons zilizozungushia duara jekundu zinaitwaje na huwa zinatumika wakati gani?
NAOMBA USHAURI KUHUSU TOYOTA LAND CRUISER ZX.
Wakuu naomba ushauri wa kununua used TOYOTA LAND CRUISER ZX or VX series 202. Ipi bora na bei zake used zikoje kulingana na mileage za around...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.