Habari wanajamvi,
Gari yangu Toyota premio (1.5L) imekuwa na changamoto kadhaa amabazo nashindwa kizipatia majawabu.
(i) Gari kukosa nguvu inapopanda mlima, hili tatizo lilianza miezi mitatu...
Ulikuwa kwenye gari ndogo sedan.. Sasa unataka uhamie gari kubwa.. Kuna hizo options.
SUV na Dual Cab..
Fortuner vs HiLux..!
Yote ni magari ya juu kwahiyo hakuna kuhofia ground clearance..
Bei...
Wataalamu naomba kujua tofauti iliyopo kati ya Toyota Carina Si na Toyota Carina Ti.
Sio mwonekano, nahitaji kujua tofauti ya uwezo wa gari kama engine, n.k na ipi inahimili barabara za vumbi.
Hii hapo chini ni gari Mazda CX5 ya 2014 ambayo unamlipa mjapan milioni 14 unusu.
Kikokotoo cha kodi ya tra kwenye gari hilo ni milioni 10 unusu. Ukijumlisha unapata kama milioni 25 hivi. Hapo...
Ducati ni kampuni la kutengeneza pikipiki kutoka Italy, na ni ndugu wa damu na Lamborghini ambae ni mmiliki, na wote mzazi wao akiwa ni Audi na Babu yao ni Volkswagen Group.
Sasa Ducati ni wababe...
Habari wana Jf, natumai mu wazima.
Leo naomba kuuliza wataalam walio wahi kumiliki/Kutengeneza gari aina ya Honda Fit, naomba kujua yafuatayo:
1. Ustahimilovu wa miundombinu (Barabara za...
mKWA NINI TOYOTA IST HUWA ZINA CHOKA MAPEMA
Toyota IST zina injin ambayo ina uvumilivu kwakipindi kifupi
1) INJIN KUA NA MLIO WA TOFAUT
Hapa tatizo ni kutumia oil ambayo sio sahihi hivyo injin...
Hatujawahi kosa jibu ama solution humu.
Nimeona magari yanakuwa na Plate Number Nyeusi zikiwa na format ya namba na herufi za kawaida Mfano T 747 DFY Ila kibao kinakuwa cheusi.
Humaanisha nini ?
Utafiti mpya umeonesha kwamba Watu ambao wanatumia pesa zao kwa mambo kama vile kusafiri na kuhudhuria matukio ya burudani wana furaha zaidi kuliko wale wanaozingatia kuwekeza kwenye mavazi...
Wadau salam. Naomba kujuzwa kwa undani iuhusu engine ya K12 B, mojawapo ya gari inayotumia engine hii ni suzuli swift second generation
Nakaribisha elimu, Maoni na ushauri.
Habari wanajamvi. Kuna dhana imejengeka kwamba kujaza upepo kiasi sawa katika magurudumu ya mbele na nyuma siyo vizuri kwa utendaji kazi mzuri wa gari. Mara nyingi hupendekezwa mbele kuwe na ujazo...
Katika press conference mwaka 2010, wakati iPhone 4 imetoka, Steve Jobs alivyoulizwa kama Apple wana mpango wa kutoa simu kubwa alijibu "no one is going to buy a big phone", akiamini kwamba size...
Kwema wataalamu.
Naombeni ushauri nichukue ipi kati ya izo gari mbili yaani nissan extrail T31 na outlander roodest?
Kwa kuzingatia reliability na durability.
Kampuni ya kutengeneza magari kutoka China Build Your Dream (BYD) wametangaza kua wale wote waliolipia (nunua) supercar yao YangWang U9, wakae mkao wa kula, sio muda zinawafikia.
Kama haitoshi...
Sijui nani amemcopy nani, ila kuna chuma nimeiona mitaa ya matajairi bwana, inaitwa Toyota Century 2023. Kwa mbali nikajua ni Rolls Royce Cullinan kumbe ni mali ya Wajapan aisee.
Hii chuma ni...
Ni model ya gari ya Toyota Harrier kizazi cha vvt-i (umeme mwingi mafuta kidogo).
Huku kwetu tunaita new model lakini kimsingi sio new model kwa huko Japan.
Kwa kawaida Harrier ni gari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.