Hawa Mercedes Benz sio wa kuwachukulia kitoto. Sasa wametoa hii 2nd gen ya AMG GT (GT 63 to be specific) aisee ni kali. Usichanganye na SLS kwa leo.
Tukumbuke AMG GT ni coupe yenye arrangements...
wadau Nawasalimu.
Naomba kujua ni TYRES za Brand gani ni nzuri IMARA na zina Ubora kufunga kwenye Gari.Sasa hivi kuna Tyres za MAKAMPUNI Mengi mpaka kujua Uimara na Ubora imekuwa Kazi sana ILA...
Habari,nimejaribu kutafuta nyuz ambayo inaelezea utaalam wa kufunga mziki kwenye gari sijaona,hivyo nikaona sio mbaya kama nitafungua nyuzi humu,hii maada ni maalumu kwa wanaopenda mziki mkubwa na...
Nina rafiki yangumambo yamemkalia kombo,anataka kuigeuza altezza yake kuwa bolt.
Lakini kwa injini iliyomo hawezi kupata faida,je anaweza kuweka injini ya IST?
Is it compatible??
Habari zenu wana JF, nataka kununua gari kutoka Japan, ila sijawahi kumiliki gari lolote, nilipo angalia mtandaoni niliona magari niliyotaja hapo juu yako affordable kwangu,je ninunue gari gani...
Nilishakuja na Uzi wiki ilopita kuhusu gari yangu kupiga kelele pindi niingizapo gear. Pia gia namba Moja na reverse zinaingia Kwa tabu sana.
Leo nimekwenda garage wameshusha gear box nikaambiwa...
Hili ndo gari langu la Kwanza kununua, lakini nikiri kusema nilibahatika muuzaji alikua na njaa sana
Ni land cruiser prado sx5.0 turbo nilipata Kwa million 7.5
Body ni station wagon
Sasa kwanzia...
Gari ni kitu nyeti na cha pekee sana kwa wanaume na hivyo kukipenda ni sehemu ya ibada ya kiume ili kuishi vizuri na kupata heshima kwenye jamii. Mapenzi ya gari kwa mwanaume hayawezi mithirika...
Kwema wakuu, je ni speed gani kubwa zaidi ushawahi kutembea na gari au pikipiki na ilikuwa ni gari gani au pikipiki gani?
Nikianza mie nakumbuka mwaka 2017 nilikuwa na Cresta GX100 yenye engine...
Kati ya gari hizi mbili ambazo naona kwasasa zinanunuliwa sana kwenye miji mikubwa zikiwa na namba E, ipi inafaa zaidi kwa matumizi ya kawaida ya mjini.
Zote ni 2.0 AT petrol za mwaka 2013/14 na...
Wadau salam,mimi kabwela "Common man" au msakata tonge nina kausafiri kangu Suzuki Swift second generation ya 2008.Engine yake ni K12B.
Je atf yake ni ipi,najaribu kugoogle nakytana na vitu kama...
Kuna project naisimamia pale Kibaha Mailimoja. Kwahiyo route za kutoka Makongo Juu kwenda Kibaha na kurudi daily hazikatiki. Zile njia sita kutoka Kimara hadi Mailimoja zimenipa nafasi kujua kumbe...
Men of this forum.
Ulimwengu huu unakuwa kwa kasi sana and most things now come easily, kuna mambo mengine ni magumu lakini mengine ni marahisi sana na ni budi kwa kila mwanaume kuyajua na...
Habari wadau wa agari, nina milion 9 cash nahitaji toyota premio used ianze namba DF kuendelea mbele iwe haijwah kupata ajali kabisaa iwe haijawah kurudiwa rangi kabisaa hata bampa yaan! Lakini...
Wadau nimekaa kwenye foleni barabarani nikitafakari ni vipi ile kasi ya ununuaji wa madungu jeshi (DISCOVERY3,4) ilivyokuwa mwaka jana kipindi kama hiki na mwaka huu ikoje?
Mimi naona haya...
Habari zenu wadau na wapenda bike, aisee niende moja kwa moja kwenye mada.
Kampuni ya Bajaj wamekuja na toleo jipya la pikipiki aina ya Boxer 125hd isiyokuwa na paper oil filter.
Tuone kama...
Wakuu Naomba msaada wa kujua Maana ya hii Taa ndogo ya kushoto inawaka red katika dashboard chini ya kisahani Cha rpm.
Nimeigundua leo ina blink red nikiwa ndani na hata nikifunga mlango na ku...
Salama wakuu..
Kwanza awali ya yote pitia video hapo juu ambayo ina 563kb hata MB bado haijafika hivo wacha uwoga wa kufungua video..
Kipindi sina uwelewa wa mambo ya fizikia hilo jambo hapo juu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.