Wakuu heshima kubwa sana kwenu. Nimekumbuka mengi sana tangu nimeanza kusafiri umbali mrefu kwa gari binafsi.
Safari zangu kila baada ya miezi 3 nafanya kati ya Dar na Mara kikazi na huwa...
Wakuu natumai mu wazima!
Kuna wimbi la Be Forward kuleta magari mabovu ambayo yanasabibisha usumbufu mkubwa kwetu sisi wateja.
Nimenunua Alphard- nikaambiwa imefanyiwa mpaka na Inspection, na...
Wakuu gari yangu aina ya IST inapata joto sana hata nikitembea umbali wa kawaida usiozidi km 05. Nikiangalia mshale wa temperature upo kawaida tu.Tatizo nikishika dashbodi ya mbele inakuwa na joto...
Tunazidiana vipato, hata ktk kumiliki vyombo vya moto ni hivyohivyo pia,tunatofautiana...kwa wazoefi wa magari naomba ushauri juu ya,kufanya service, uimara, namna ya kusevu mafuta, vitu vya kuwa...
Msaada kwa yoyote anaeweza kunipa dalili zinazoashiria kuwa diode ina fault kwenye alternator ya gari.
Gari yangu ikiwa kweny silensa taa za dashboard zina blink bila kutulia, hazitulii...
Habari wakuu, nina gari yangu rav 4 ,Kuanzia juzi mishale yote ya kwenye dashboard haifanyi kazi gari nikizima mda mrefu mpaka nitoe betri na kuweka tena, Yaani namaanisha ile mishale ya...
Naomba kukaribishwa rasmi ktk jukwaa hili.
Mimi ndio mara yangu ya kwanza kununua gari na katika ukoo wetu tuseme mimi ndio wa kwanza kumiliki hiki kitu.
Kiukweli nimeteseka sana mauzauza si...
Hizi ndege za wenzetu usipokua ngozi nyeupe, wanakunyali kama nnya.
1. Nilikua naenda Barcelona (BCN), Spain kwa ajili ya Holiday. Sasa ile kuingia tu nikaagiza maji daah, huyo air hostess...
Habari za asubuhi wakuu!
Nimejaribu kupitapita kwenye mitandao ya kijamii nikitafuta gari used kwa mtu angalau na mie nipate usafiri hapa mjini.
Nimeona madalali wanapost gari hizi kwa bei ya...
Hii kitu nimekutana nayo sana kwenye familia tatu za engine za toyota
NZ engines[1NZ-FE, 2NZ-FE]
AZ engines[1AZ, 2AZ]
na ZZ engines [1ZZ sanasana]
Sitotaja gari zinazotumia hizo engine sababu...
Salute kwenu wataalam wa magari, mzee wangu anataka kubadili engine ya Nissan Navara zile za Singapore anataka kuweka engine ya diesel au petrol zile zinazotumika kwenye toyota hilux double cabin...
Aqua anaweza kukupa km 35 kwa lita 1. Toyota ist anaweza kukupa km 18 kama kajitahidi sana.
Aqua ni hybrid inatumia umeme mwingi. Toyota ist sio hybrid.
Miaka mingi sana ist alitawala soko akiwa...
Wakuu heri ya Mwaka Mpya!
Ninaomba ushauri wa kitaalam na uzoefu. Ninataka niagize Toyota Prado - Third generation (toleo la tatu), yaani hizi J120 series zilizotoka kati ya mwaka 2002 hadi 2009...
Picha: Toyota Wish New Model
Nimeziona hizi gari natamani kufahamu ubora na mapungufu yake. Ninahitaji gari ndogo kwa mizunguko ya town na safari za Dar Morogoro.
So iwe inatumia mafuta vizuri...
Samahan wataalamu wa long vehicles wanipe maarifa na gharama hua zinakuaje, lengo niitoe pikipiki aina ya haujiwea, kutoka masasi to iringa via songea.
Je, ni lorry, busses, or by truck?
Hakuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.