Kama kichwa kinavyo sema hapo juu nataka kununua gari aina ya nissan march ila nataka ushauri vip kuhusu spare, ulaji wa mafuta, high way stability, speed na uimara.
Wakali kutoka Munich juzi juzi wamezindua all new BMW X3 generation ya nne, wakiwa wameredesign kuanzia muonekano wa nje na ndani na driving experience.
Pichani juu ni generations tatu...
Husika na mada tajwa hapo juu , naomba muuzaji wa spear za magari used au mpya kama ipo spear hii naomba uniambie bei yako hapa
nahitaji rejeta full pamoja na caulling yake na reserve tank ya...
Yani haka kagari huwa natamani sana nikachukue kama back up huko sababu ya space ila tatizo lake huu mlango wa kuburuza siupendi kabisaaa mtaalamu wa bodi anibadilishie ufunguke kama milango...
Ni vita na mapinduzi zaidi kutoka China yanaendelea katika sekta ya magari.
Deepal wanekuja na hybrid na EV tatu ambazo zimeletwa mahususi kupambana na SUV, offroad trucks na Executive Sedans...
Wataalamu, Kuna hizi gari NISSAN XTRAIL-HYBRID zimeongezeka sana hapa mjini. ni gari SUV nzuri sana kwa kuzitazama lakini vipi kuhusu ufanisi na uimara wake ukilinganisha na SUV zingine?
Habari zenu wanaJamii..
Nina wazo la kununua Harrier ile old model.. first generation za mwaka kati 1999 hadi 2002.
Naomba ushauri kuhusu maintenance costs, Reliability na fuel consumption...
Ndugu wananchi,
Salaam za upendo wa dhati ziwafikie huko mlipo.
Kwa siku za karibuni nimekutana na marafiki kadhaa wakimiliki magari mbalimbali. Kuna mmoja anamiliki Toyota Crown Athlete...
Shida hii ipo karibu kwenye kila gari ila kwenye Nissan Hali ni mbaya mno. mfano wa gari zenye hiyo shida ni Dualis, Xtrail T31, Note, Juke na Tiida.
Gari inawaka vizuri, Ila ukianza kuitafuta...
Wadau naomba ushauri nami nimiliki ndinga yangu ya kwanza kati ya hizi,
Honda crossroad,
Toyota Voltz
Mitsubish outlander au
Suzuki Escudo ile ina muonekano kama wa Rav 4 fulani hivi.
Ushauri in...
Huku tumechanganyika acha tutumiane kama fursa
Nahitaji engine ya pikipiki yenye uwezo wa cc 125, kipaumbele ni aina za pikipiki hizi
Sinoray
Fekon
Boxer
Engine iwe mpya haija guswa ndan offer...
Nimeona design nyingi za magari lakini design ya FJ CRUISER ni master piece kwangu mimi sidhani kama kuna gari yenye design kali kama hii ndinga.
Sio design za Toyota pekee hata Brands nyingine...
Kwa Wataalamu wa Pikipiki:
Ninatafuta ushauri kuhusu aina au brand bora ya pikipiki kwa kazi za kubeba mizigo kati ya kg 30 hadi 75 kila siku.
Je, ni brand gani kati ya boxer, tvs, hero, honda...
Wakuu nimejichanga Sasa natafuta SUV au Double Cabin Ila Kwa bajeti yangu (27m TZS) naona nimeangukia kwenye Suzuki Grand Vitara. Mwenye utaalamu zaidi anijuze.
Wakuu kuna jamaa yangu ameingiza mkweche (gari) kutoka kwa mjapani. Sasa kuna wananzengo wanampiga saundi eti apige ribiti kwenye maeneo mbalimbali ya gari kama vile kwenye taa na maeneo mengine...
Habari ya mchana mabibi na mabwana
Natafuta forum / group la wamiliki wa vyombo vya Moto aina ya Subaru.
Naomba link niweze kujifunza matunzo ,engine oil, garage,genuine parts etc
Asanteni
Ndugu wanajamvi nategemea kwenda Shinyanga nikitokea Dar es salaam kwa Piki piki boxer cc125 mwenye uzoefu itakuwa vyema ukanisaidia.
Nataka kujua mafuta naweza kutumia kiasi gani. Je, nijiandae...
Wananzengo za asubuhi. Wale tunaomiliki Prius/ Aqua tujuane.
Tuambiane na kusaidiana changamoto za mazuri kwenye gari zetu kwa wanaomiliki na kuwapa hamasa ambao bado hawajamiliki wakaribie...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.