JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
Wakuu Hizi gari naziona sana town, Ni bei gani hizi gari, labda naweza kujichanga nikanunua
7 Reactions
7 Replies
483 Views
Anayejua Azam Upholstery wanachaji bei gani seat covers za gari kushona aweke humu website yao iko empty haionyeshi bei za hizo products zao wanatangaza kwenye Tv hamna bei kwenye TV na website...
4 Reactions
13 Replies
661 Views
Natumai wote n wazima wa afya… Nisiwachoshe ndugu zangu naomba kufahamu hizi gari zinashida gani? Subaru impreza , 4th Generation year 2012 - 2016. wengine hupenda kuziita impreza new model...
1 Reactions
14 Replies
979 Views
Habari za muda wakuu. Najua mko powa kabisa Ningeomba kujua mbona watu hawajadili kuhusu meli au boti. Au mtu anayetamani kumiliki ndege au helikopta au ndo mimi sijawahi kuona nyuzi humu.Msaada...
5 Reactions
18 Replies
516 Views
Hii nchi sasa imefikia kuwa na watawala wa kipumbavu sana. Nimekuwa na leseni ya kuendesha gari kwa miaka 34, na siku zote nimekuwa niki-renew bila tatizo. Leo hii nataka ku-renew TRA wananiambia...
10 Reactions
46 Replies
2K Views
Habari za leo wanajamvi Naombeni ushauri wenu juu ya uchaguzi wa gari. Ushauri uangalie vitu kama 1. Unywaji wa mafuta ( naendesha km 5o kwa siku) 2. Upatikanaji wa vifaa 3. Ubora na kudumu kwa...
1 Reactions
27 Replies
1K Views
Nimekuta huu mjadala twitter Nimeshangaa watu wengi wanachagua Vanguard
14 Reactions
310 Replies
33K Views
Hamjamboni wana jf, napenda kujua, je, ni kawaida 'lead acid battery' kupiga kelele kana kwamba inachemka wakati inachajiwa kwa solar panel? Elimu tafadhali
0 Reactions
2 Replies
102 Views
Imekuwa desturi na mazoea kwa madereva wengi wanaoendesha magari yao binafsi kufanya safari zao ndefu muda wa mchana ingawa ni jambo jema ila kwa mtazamo wangu mimi naona ni shida na usumbufu...
24 Reactions
131 Replies
19K Views
Habari wapendwa, nahitaji kumiliki gari aina ya Toyota Noah. Naona ndiyo inayonifaa kwaajili ya kuendesha mishemishe zangu. Ningependa kwa yeyote ambae anafaham chochote kuhusu gharama za kuagiza...
0 Reactions
4 Replies
393 Views
Gari aina ya Noah (old model – SR40) inakuwa kama inatetemeka /kushtuka na kuzima ikiwa inatembea kwenye mwendo mdogo (RPM ikiwa chini ya 1,000).Inatokea mfano ukisharuka tuta wakati wa kukanyaga...
2 Reactions
2 Replies
228 Views
Kuna maneno mengi yanasemwa kwamba Cybertruck kutoka Tesla imefeli sokoni, lakini wote tunaona ndio best selling EV truck hadi sasa. Na pia hii EV haiuzwi officially China, lakini week iliopita...
4 Reactions
9 Replies
648 Views
Najua utakua umekutana mjini na Mazda nyingi tu, especially CX5. Lakini, unajua kama Mazda family haijaishia hapo kuna mengine mazuri tu na yanafanya vizuri sokoni? Mfano huyu Mazda Axela...
24 Reactions
65 Replies
5K Views
Wakuu Walee tunaonunua ndinga mikononi mwa watu bila kubadili umiliki tumefikiwa. TRA imesema kuanzia January 20 itaanza kutumia mfumo unaoitwa IRAS ambao hautaruhusu alieuziwa chombo cha moto...
2 Reactions
6 Replies
729 Views
Unapopenda show off kuonyesha ndinga kali mitandaoni hakikisha kwenye mfumo wa mamlaka ndinga Yako haina vipengele yaani physical na rekodi Zinafanana other wise unawapa watu kazi za kufanya na...
1 Reactions
1 Replies
264 Views
Habari ndugu, Naomba mwenye ufahamu mzuri juu ya gari aina ya Corolla Runx,.sifa zake na kasoro hama changamoto zake. Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app Toyota Corolla Runx
1 Reactions
22 Replies
10K Views
Nilipita mtandao fulani nikaona Gari, ila kuna sehemu ikawa inanichanganya sana, mfano Gari nimeona USD 2,020, then kwa chini TOTAL PRICE 4,558. Hili ongezeko ni la kitu gani mara mbili yake. Je...
1 Reactions
13 Replies
518 Views
Wapendwa Kheri ya mwaka Mpya. Naomba msaada Kwa yeyote anaeweza kunisaidia kupata plugs original za Subaru Forester XT ya 2009. Nilipatwa na changamoto iliyopelekea kutoa plugs za kuja na gari ...
1 Reactions
2 Replies
362 Views
Kwa wasiojua convertible ni gari ambayo ina paa ambayo inaweza kukunjwa chini au kuondolewa. Mad Max na @extrovent msaada tafadhali
3 Reactions
5 Replies
267 Views
Cha kwanza inabidi ujue kuwa kumiliki gari ukiwa Singapore ni mtiti, kukamilisha usajili wa gari ukiwa Singapore inawezekana ikawa ni gharama zaidi hata ya Tz japo sisi tunatumia second hand wao...
10 Reactions
17 Replies
1K Views
Back
Top Bottom