JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
  • Sticky
BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU WA JF Twende pamoja kwa waliotumia na wanaotumia pikipiki tuu. Kati ya hizi pikipiki unaipenda sana ipi na kwanini(based katika matumizi binafsi)? 1. Boxer...
6 Reactions
645 Replies
218K Views
  • Sticky
BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU KUHUSU GARI HII Wakuu rafiki yangu mmoja yupo interested na hizi gari aina ya Subaru Forester lakini kabla hajaingiza maamuzi mzima mzima alitaka kujua yote...
7 Reactions
425 Replies
198K Views
  • Sticky
Kumekuwa na mada nyingi kuhusu mambo yote yahusuyo magari, nikaona basi na sisi tuwe na Uzi huu ambapo habari zote zihusuzo magari kuanzia kuchagua, kuagiza, kuuza, kubadili nyaraka, matengenezo...
67 Reactions
7K Replies
1M Views
  • Sticky
Nilikuwa naangalia mitandao mbalimbali ya magari ambayo wanaleta magari used hapa Tanzania. Bahati nikapata mtandao ambao umenivutia, una magari yanayoonekana ni mazuri kwa picha, lakini kwa kuwa...
16 Reactions
506 Replies
274K Views
  • Sticky
wadau naomba mwenye uelewa au uzoefu wa gari aina ya Land Rover Discovery 4, anipe maelezo.. specifications, bei, fuel consumption, upatikanaji wa spare parts, na kama inafaa sana kwa barabara zetu..
9 Reactions
284 Replies
109K Views
MAZDA CX 5 Cc 2000 Injini hii inakuja na technologia ya SKYACTIV ambayo hufanya kazi kama vvti ,lakin ni zaidi ya vvti na kuifanya itumie mafuta machache kwa mwendo mrefu na kutoa nguvu ilio...
1 Reactions
4 Replies
15 Views
Wazee, Ushauri unahitajika. Karibuni. Nasikia Subaru Impreza zinasumbua engine, ni kweli?
1 Reactions
20 Replies
578 Views
Tuanze na nini maana ya Cruise Control? Kwa maneno yangu, Cruise Control (CC) ni teknolojia iliopo kwenye magari inayosaidia gari litembee katika speed fulani aliyoiset dereva bila dereva...
18 Reactions
27 Replies
932 Views
Ndugu wana jamvi hii gari nimeipenda kwanza ina nafasi kubwa ya kubeba mzigo, pili engine cappacity yake ni 1.5. nataka kununua hiyo kuna mwenye uzoefu nayo tusaidiane?
1 Reactions
33 Replies
12K Views
Kwanza tuanze na faida. Sio siri kumiliki gari kunaimarisha hadhi yako hapo kitaani kwako. Unaonekana wa tofauti mwenye hadhi ya juu. Si ajabu watu wakamwacha mjumbe au balozi wa mtaa wakaja...
23 Reactions
78 Replies
5K Views
Ukitaja magari kumi reliable ya toyota basi toyota prius haiwezi kosa top three, ni gari ambayo ni ngumu na reliable sanaa,comfortable ina smooth ride na nzuri sana kwa misele ya mjini na foleni...
17 Reactions
113 Replies
14K Views
Miaka yote nimejikita katika malori..lakini kwa sasa napata upepo ndoto na maono juu ya biashara ya mabasi....lakini si mabasi ya kifahari....hapana ....la hasha.....ni mabasi kwa ajili ya huduma...
2 Reactions
1 Replies
187 Views
Nilikua na safari ya Dar hadi Moro town kisha Ifakara na kurudi Dar, kwa kutumia Atenza. Mafuta (Diesel Tsh 80k) niliweka Puma ya Survey (jirani na Mlimani City) na kuanza safari pale kuelekea...
25 Reactions
91 Replies
6K Views
Nikiona hizi gari zinavyopiga routes kule kijijini kwetu kwa muda mrefu na bado vinapumua tu fresh, aisee sioni vitz, spacio, ist kuifikia level yake. Inaweza kuwa gari isio na comfortability ila...
15 Reactions
48 Replies
2K Views
Niseme tu 2025 kumiliki EV yangu ya kwanza kushakauka kama hivi. Baada ya kukesha na kuomba muhusika wa TRA acheki vizuri kikokotoo nilete Nissan Leaf nisupport juhudi za green environment na...
24 Reactions
69 Replies
2K Views
MTU anakuja kutafuta ushauri ili asiumizwe huko Uswahilini anakoenda kutafuta Gari ya kuendana na kipato chake, watu watamjibu kwa kejeli, dharau, matusi na kila aina ya uchafu. Jamani kabla huja...
11 Reactions
28 Replies
497 Views
Toyota corola Axio Ina Nice design kwa kweli Sio vibaya watalaam watupatie moja mbili tatu zaidi kuhusu gari hili
2 Reactions
0 Replies
155 Views
Madalali wa magari nchini Tanzania kila siku wamekuwa wakiharibu biashara ya magari ya mkononi kwa kukosa elimu ya biashara. Uaminifu, ukweli na uwazi ni msingi MKUBWA sana kwenye ukuaji wa...
8 Reactions
33 Replies
793 Views
Nissan March ilianzishwa na kampuni ya Nissan Motor Co. Ltd na ilizinduliwa kwa mara ya kwanza katika nchi ya Japan mwaka wa 1982 Nissan March ilikuwa ni gari la aina ya hatchback linalolenga...
2 Reactions
8 Replies
339 Views
Mwisho wa mwaka huu ndio ushafika. Wengine huwa tunapambana mwaka mzima siku za mwisho kama hizi ndio tunapumzika. Wale wa road trips ndio wakati wetu huu kupiga masafa mafupi, marefu na ya Kati...
97 Reactions
22K Replies
1M Views
Nina wazo la kuanzisha App ya B2B Multivendor ambayo itawaunganisha wauzaji wa vipuri vya magari na wanunuzi nchini Tanzania, kama vile BeForward, lakini kwa soko letu la ndani. App hii...
4 Reactions
15 Replies
465 Views
Kuna taasisi inayojihusisha na mambo ya minada, ikishirikia na TRA Tanzania wamekuja na mnada wa namba za magari special kumi na 7 watakazo ziuza Tar 05 April. Kushirikia namba moja ni Pesa ya...
15 Reactions
58 Replies
2K Views
Itoshe kusema kwamba, Waswedish wanatengeneza vyombo vyenye uhakika katika mabasi na Malori kuna SCANIA NA VOLVO hawana mpinzani. kwenye SUV tunajua Japs na Germans wanachuana vikali lakini...
25 Reactions
148 Replies
14K Views
Habari za kazi wadau, gari yangu Volvo XC90 haikai kwenye D inakimbilia kwenye MNI Ccheki video hapa
2 Reactions
1 Replies
133 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…