Naombeni maelekezo ya kina juu ya torque, lakini pia juu ya Power,namna zinavofanya kazi katika gari,kipi kinamtegemea mwenzie zaidi na vinamaana gani katika kuelezea uwezo wa injini katika gari...
Ndugu zangu habari za mihangaiko. Nimekuwa nikifanya utafiti juu ya ulaji wa mafuta kwenye gari toyota allex na nimegundua kuwa gari inatumia lita moja katika km 11 (/l).
Route zangu ni kisiwani...
Habarini za usiku wakuu.
Ninahitaji vifaa vifuatavyo vy scania kwa anayejua mahali ninapoweza kuvipata na bei zake chondechonde
naomba asisite kunipa mwongozo.
Item No.
Description of items...
Habarini wakuu!
Niende moja kwa moja kwenye mada, ipo hivi;
Gari yangu nikiwasha AC inakuwa nzito kidogo tofauti na ilipokua sijawasha, yaan kama vile kuna mzigo nimebeba.
Nimeshindwa kujua...
Habari za usiku wandugu?
Naombeni msaada kwa anayejua mahali ambapo naweza kupata vipuri vya scania na bei zake
naomba anipe mwongozo.
Item No.
Description of items
PRICE
2.
Fuel filter...
Habari zenu wakuu.
Nimeamua kutumia mfano wa IST na RAUM katika hili swali langu ambalo kimsingi linajikita katika maswala ya UTUMIAJI WA MAFUTA (fuel consuption)
Swali.
Je kuna utofauti wowote...
Watu wananunua Magari used Japan kwani hakuna nchi nyingine ambayo unaweza agiza gari kwa bei nafuu?
Sijaelewa kwanini Magari mengi used yanatoka Japan!
Wakuu natumaini mko poa
Nampango wa kusafiri kutoka Arusha kuelekea Mwanza leo mida ya jioni kuanzia saa moja usiku, hivi naweza tumia usafiri gani kuelekea huko leo jioni, kama kuna gari za...
Yangu/yetu ilikuwa poa sana.
1. Ilianzia 07 Dec 21 alafajiri sana kwa kutoka Namanga via Arusha, Kilimanjaro, Pwani to DSM (was so smooth)
2. Baada ya wiki hivi asbh saa nne j2 fulani baada...
Habari Wakuu,
Mimi sio mzoefu sana na sjui chochote kuhusu Magari hivyo ninaomba kuuliza kati ya Toyota Belta,Toyota Platz na Toyota Vitz zote zenye engine ya 2NZ(1290cc) ipi inafaa zaidi kwa...
Wakuu naomba ushauri wenu.
Nataka kununua gari mojawapo na machaguo angu ni kati ya Toyota LC prado ya 2018 diesel engine,Mercedes benz G class ya 2015 au 2016 ya diesel, na Toyota LAND CRUISER...
Habari JF
Ninahitaji kujua taratibu za kupata TIN number kwa ajili ya kupata lesseni ya udereva.
Mwenye kujua taratibu naomba anisaidie
NB sina namba ya NIDA
Nimefatilia nimeambiwa ntapata...
Wajuzi wa mambo naomba kuuliza, kwanini hii Event (World rally Champion) haijawahi kufanyikia hapa nchini kwetu, au ilishawahi ni mm ndio nilipitwa na kama haijawahi kufanyika sababu ni zipi? Kama...
Ni Mwishoni mwa mwaka 2021 Kipindi cha sikukuu Kabla hatujaupokea mwaka Kimario alinipigia simu asubuhi asubuhi akaniambia kuna issue very sensitive anahitaji msaada wangu, Nilijaribu kudadisi...
Katika gari ambazo lazima nije nimiliki ni pamoja na Scania, hizi gari hata zikipita mbele ya macho yangu naona fahari kweli afe kipa afe beki, SCANIA FOR LIFE.
Sent using Jamii Forums mobile app