Mimi mtaalamu wa Diesel Engine za magar, Generator, Air compressor na Earth moving Mashine. Kama unatatizo lolote kwenye Engine yko njoo hapa nkupe Solution.
Pia nnafunga na kufanya Engine Over...
Je coaster ikiwa na abiria na mzigo inakula mafuta lita 1 kwa kilometa 4 je ni sawa. Aina ya coaster ni 1hz. Ina miaka 2 tu.
Na je ulaji wa kawaida wa mafuta ni kiasi gani. Ikiwa na mizigo na...
Habari wataalam, polen sana kwa kuumiza vichwa kuakikisha mnatoa msaada kwa matatizo ambayo yanatukumba madereva, mungu atakulipeni.
mi nna shida moja, gari yangu ni raum, mwanzo ilikua ukifunga...
Wanajamii forum naomba kuuliza maximum speed ya boxer x125. Na je ni sahihi kuwa na speed ya mwisho 75km/h au kuna vitu natakiwa nirekebishe , pikipiki ni zile za zaman za gia 4.
Leo nikiwa kwenye Pita zangu, mjini nimemuona huyu mnyama mpaka nikasisimka wandugu, Kitu kimetulia sana.
Naomba wenye maelezo kuhusu huyu mnyama, kwa maana ya ufanisi, Bei na Kadhalika...
Habari ya muda huu wana JF,
Naomba tupeane ujuzi wa maeneo wanapopatikana mafundi wazuri kwa vigezo vifuatavyo.
1. Ujuzi mzuri.
2. Bei nafuu.
3. Uaminifu.
4. Maeneo wanapopatikana
Itakua sio...
Kuishi kwingi ni kuona mengi.. Nimeona mengi yakibadilika kwenye ununuzi wa magari..
1. Enzi hizo watu waliokuwa kwenye circle yangu hakuna aliyenunua gari kwa mkopo.. Gari tulidunduliza hela...
Nimepitia pitia akaunti mbalimbali za mitandao mingi inayouza magari ya mkononi, jambo ambalo sijaelewa ni kwamba magari mengi ya aina ya Crown yanayouzwa ni Yale CROWN ROYAL SALOON. Siyaoni sana...
Wakuu habari za kazi, natumai wengi wenu weekend imeisha poa, naombai maoni yenu nina Gari yangu yangu ni Spacio new model natumia Tairi size 14/70/185 sasa uchumi umeyumba kidogo nataka Tairi za...
Natanguliza shukrani wakuu,
Naomba mnieleweshe kidogo, hivi Gari hizi ndogo (HONDA FIT) zenye ukubwa wa engine 1.3 sawa na (cc 1330) zinaweza kuruhusiwa kufanyiwa biashara ya usafirishaji wa...
Habarini wadau , heshima kwenu kwakuwa wajumbe wa baraza hili.
Wakulungwa naomba kufahamishwa, hivi gari za serikali especially hizi land cruiser V8 huwa serikali inaweka mafuta yapi kati ya...
Wanajamvi nawapongeza kwa maoni yenu mazuri juu ya masuala mbali mbali.
Nahitaji kununua gari.
Naomba kufahamu kati ya Nisan Dualis na Toyota allex ipi ya kuchukua apa na kwasababu zipi.
Habari wakuu.
Nataka kununua gari, naomba mawazo ya uzoefu kati ya Harrier macho ya panzi na Vokswagen Touareg ni ipi nzuri ya kuchukua.
Sina uzoefu wowote wa magari ya Volkswagen...
Ilikuwa ni sehemu ya parking ya magari mengi sana, nilishangaa kila nikifumgua gari kwa remote , kuna gari nyingine kama mita 10 toka nilipo nayo ikawa inatoa mlio kama inafunguka, nikifunga kwa...
Kwenye mfumo wa AC kuna kitu kinaitwa Cabin Air Filter, Hichi kifaa kinasaidia upate hewa safi kwa kuchuja vumbi, uchafu na chochote kisichotakiwa kufika ndani ya gari[harmful pollutants].
...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.