Kuna hii gari nimeiona mahali, naomba anaejua jina la hili gari na ikipendeza naomba kujua Bei yake kwa hapa bongo na wap vinapatikana. Natanguliza shukran
Salaam wanajukwaa,
Baada ya kujaza kibubu kwa muda mrefu, hatimae nimeamua liwalo na liwe mwaka huu lazima nimiliki usafiri binafsi. Bajeti yangu mpaka sasa ni 15m. Baada ya upembuzi wa muda...
Angalia mwenyewe hapa, German machine inavyomuaibisha Crown athlete! Jamaa amemaliza sahani kabisa, lakini anapitwa kama amesimama vile! Lakini bahati mbaya jamaa walipoteza maisha mbele kidogo ya...
Wauzaji WA magari wanaangalia demand and supply ya bidhaa saizi Toyota harrier unaweza inunua mpaka Kwa milioni 32 na huku haiko stable Sana barabarani tofauti na gari za dunia ya tatu(mjerumani)...
Wakuu nlikua naomba connection kwa mtu yeyote anayeuza bampa la nyuma ya Toyota Ist second generation ya 2007, nlikula mkenge.
Kwa ambaye ataweza niuzia au kunielekeza pakupata bampa jipya la...
Mpaka kufikia hatua ya kumiliki gari aina ya PASSO inapaswa ujitoe ufahamu mbele ya kadamnasi. Gari gani isiyoweza kutembea 200 kms bila kuchemsha?
Nasubiria tamko/katazo la hizi gari toka ngazi...
Nina gari langu Toyota Brevis, nilikuwa naendesha, speed kama 120km/h lipo vizuri tu.
Ghafla naona nguvu imepungua, na ukisimama engine inatikisika mpaka ukiwa ndani unahisi huo mtikisiko...
Kwa ufupi ni kwamba nimeagiza gear lever EBay kwa pauni za kutosha tu kaa laki 2 hivi ... kumbe inapatikana Tandale kwa wana wa ndinga zilizopiga mzinga.
My Take
Utafiti ni muhimu sana ktk...
Habari ,kuna mtu alichomoa betri ya gari,baada ya kurejesha,Radio imeleta hiyo shida,camera ya Reverse haionyeshi,radio inapiga kama kawaida.
Aina ni NDCN-W54
pole na majukumu ya kutwa wapendwa,
Nyumbani kwetu kuna machine zile za zamani Sana zinaitwa Lister Peter tulikuwa tunaitumia zamani Sana kwa matumizi ya kusaga nafaka.
Sasa nimekuwa kijana...
Habari zenu wakuu
Jana jioni katika viunga vya Jiji la Arusha , Nilikuwa na jamaa yangu ametoka Dar , sasa kafanya mizunguko yake ya shughuli za kiserikali zilizomleta Arusha , kamaliza jioni...
Wakuu kwema, nina gari aina ya toyota nadia, iko na engine ile ya zamani, na iko juu ya mawe muda mrefu, sasa nataka kuifufua,
Hivi naweza kuondoa mfumo wake wa zaman, nikaweka engine na gear box...
Habarini za jioni wadau. Nimejikusanya nimepata kama mil 12 - 14. Malengo yangu nahitaji kununua gari kwa ajiri ya shughuli za kawaida kama kwenda na kurudi kazini, kwenda na familia ibadani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.