JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
Mwenye uzoefu na AUDI A3 2012 2.0 perfomance yake nahitaji kuagiza pia ni ipi site nzuri ya kuagiza gari hapa bongo ambao hawana ubabaishaji. AUDI A3 1.8 na 2.0 zipo vizuri au miyeyusho
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari wadau, Nimejichanga kwa kipindi kirefu sasa nimeamua kutafuta kigari cha kutembelea cha kutosha familia ya watu 5 (me, ke& watoto 3) kisichozidi 10m. Binafsi sijui kuendesha gari na hata...
4 Reactions
75 Replies
21K Views
Wakuu habari, Poleni na janga la corona. Nilikuwa nauliza kuhusu matumizi ya mafuta ya hi gari Nissan xtrail 2007 au 2008 ikoje kiuhalisia kwa wale waliotumia hii gari au wanijua vizuri...
1 Reactions
62 Replies
14K Views
Ndugu habari za jion, Kuna jambo nimeona tuambiane ukweli ili tuelimishane kidogo. Kuna watu watu wanaagiza magari nje kupitia agents au mawakala mbalimbali mbaya zaid kuna agents wengine sio...
69 Reactions
65 Replies
9K Views
Naomba kufahamu ubora wa hiyo gari tajwa hapo juu katika mambo ya ulaji wa mafuta pamoja na stability barabarani na ipi engine
1 Reactions
5 Replies
832 Views
Wakuu hizi pikipiki kwa Bongo hazifai ...zinatoa moshi hatari ...nimeweka block mpya napo bado inatoa moshi Boxer ...nishaurini niweke block kampuni gan ili isiendelee kutoa moshi??
3 Reactions
35 Replies
7K Views
Salaam waungwana Wakuuu mwenye kuijua hiyo gari tajwa anisaidie uimara wake na upatikanaji was spea,naona imenivutia sana sasa kabla ya kufanya lolote ningependa kupata ushauri wenu wajuvi wa magari
0 Reactions
26 Replies
8K Views
Habarini wadau naomba kufahamishwa juu ya gari aina ya Toyota wish juu ya mafuta,u bora,speak na comfortable. Nawasilisha.
2 Reactions
15 Replies
7K Views
Toyota Crown ya 2004 kila ulikitembea km 37-40 hizo taa zinawaka kwa pamoja ikianza na taa ya check engine halafu ndani ya sekunde chache zinawaka hizo zingine kwa pamoja. Ukizima gari na...
5 Reactions
26 Replies
4K Views
Wakuu, kuna faida gani na risk nikinunua gari South Africa na nikisajili kule kisha nikaja nalo Tanzania nikawa natembelea huku kwa plate number za kule.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu nipo Mbioni kutafuta ka usafiri, Sasa nimekuja hapa ili mnipe uzoefu wa Credible show room inayouza magari mazuri dar na inaaminika
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Wakuu habari za mihangaiko ya hapa na pale, Naomba kupata ufafanuzi kidogo kati ya gari hizo tajwa hapo juu katika vipengele vifuatavyo: 1. Uimara wake rough road 2. Upatikanaji wa vipuri 3...
2 Reactions
57 Replies
20K Views
Wakuu habarini za wakati huu! Naomba kuujua BMW 3 Series ya mwaka 2005 yenye 1950cc inatembea kilomita ngapi kwa lita moja ya mafuta? Asanteni.
2 Reactions
14 Replies
3K Views
Mazingira ya kwetu ni milima ya upareni, milima, utelezi, makorongo nk.
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Nina Gari nimetoka kuitengeneza ilikuwa inaonyesha check engine wakanambia mikolokolo kibao wakatengeneza Ile check engine ikatoka kwenye dashboard sasa nimeendesha kama siku 4 hivi ukiwa ndani ya...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Ninahitaji kubadilisha engine hydraulic fluid kwenye gari hill. Nitumie ipi?
4 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wandugu na wataalamu, Nina passo racy ambayo hizi siku za karibuni imeniletea ugonjwa ambao nahitaji msaada wenu kama ulishawahi kukutokea na ukaisove vip? Gari ni kwamba ukitembea kama...
4 Reactions
18 Replies
3K Views
Habari za jioni ndugu zangu, Sina uzoefu na magari ila nimejichanga na nimepanga kununua gari isiyozidi 16M na yenye cc isiyozidi 1490cc mpaka 1990cc. Kwa muonekano wa nje mana sio mzoefu wa...
3 Reactions
16 Replies
3K Views
Habari wataalam. Nimevutiwa na hili gari, lakini haha nilipo Sina taarifa za kutosha kuhusu ubora na changamoto zake. Na kwa kuwa jukwaa hili Lina wataalam, ninaomba kusaidiwa kujua kabla...
2 Reactions
28 Replies
6K Views
Habari wakuu, Baada ya kupitia threads kadhaa zilizojaribu kuonyesha gharama halisi za kutoa gari bandarini, nimepata 'mawili-matatu' lakini bado kuna vitu vinanitatiza. Mchangiaji wa kwanza...
3 Reactions
25 Replies
11K Views
Back
Top Bottom