JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
Naomba ushauri kwa wazoefu, mtaji wangu ni mil 6 1. Kwa kuwa mtaji ni mdogo, je nianze na vitu gan ambavyo vinatoka mara kwa mara 2. Nipo mkoani (moshi) ni wapi nitapata chimbo la hizo spea kwa...
1 Reactions
2 Replies
685 Views
Habari za wakati huu wakuu! Naomba kujua nini kinasababisha gari kutumia sana oil mfano kwa wiki tatu unaweza kuongeza oil mara moja na hakuna leakage yoyote. Na nini kifanyike ili kuzuia...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Nahitaji pikipiki aina ya Honda XL/R au yoyote imara walau yenye CC 250. Sipendi pikipiki ambazo zipo kama za mashidano (kifua kinakaa kwenye tank). Kumvua mtu poa ila engine isiwe imeguswa hata...
2 Reactions
10 Replies
4K Views
Wakuu naomba mnisaidie Mazda Demio DY3Y imekata fenibelt na sijajua wapi kipande kimedondokea. Naomba kujua ni saizi gani na Bei yake ni kiasi gani na ni wapi naweza kupata. Ahsante
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Kama huyu alifungiwa redio waya wakachukulia kwenye battery, wakapush kile kiraba kinachozuia maji na takataka zingine kuingia ndani ya gari kutokea kwenye engine ili wapitishe waya. 👇👇 Bahati...
9 Reactions
20 Replies
2K Views
Modification=TURBO na INTERCOOLER kwa 1HZ. FAIDA MBILI KUU ZA TURBO 1. Kuongeza nguvu ya engine -Turbo huongeza msukumo wa hewa safi kuingia katika engine na hivyo kupelekea uchomaji wa haraka...
5 Reactions
44 Replies
6K Views
Mimi mtaalamu wa Diesel Engine za magar, Generator, Air compressor na Earth moving Mashine. Kama unatatizo lolote kwenye Engine yko njoo hapa nkupe Solution. Pia nnafunga na kufanya Engine Over...
7 Reactions
11 Replies
1K Views
Hili linawezekana ikawa ni kwa sababu ya tabia yangu ya sasa baada ya Kuyumba kiuchumi, naweka mafuta ya 30, 20 mpaka 10. Gari yangu ni 1.8L petrol, trip zangu nyingi ni town trip then home...
6 Reactions
29 Replies
3K Views
Body ya tipa inauzwa Iko dodoma ni mpya kabisa Njoo uivae ukapige kazi
1 Reactions
4 Replies
519 Views
Habari ndugu, kuna huu utaalamu wa Ufungaji wa mfumo wa gesi Asilia (CNG) kwenye Vyombo vya moto unaofanyika hapa Tanzania na DIT udsm-engineering (Sina uhakika kama kuna tasisi nyingine...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Naomba wataalamu mnisaidie mada tajwa hapo juu nimekutana na markII namba A jamaa anataka 2.5M is he correct? Vip vipul na ulaji wa mafuta mim ni mgen kwenye magar
4 Reactions
20 Replies
4K Views
Kwa miaka zaidi ya mitatu (3) imetokea trend kubwa ya wabongo wengi kuipenda hii gari ndiyo maana Leo nimeona na Mimi nikiwa kama shabiki na mmiliki wa hii ndinga niisifie Kwa mambo machache...
7 Reactions
86 Replies
60K Views
Wakuu gari iliwekewa engine oil ikawa juu ya maximum leo. Gari ilikua na sign ya kuvujisha oil ndo maana ikawekewa nyingi lakini sasa inaonekana oil haipunguzi. Je, hii inaweza ilaleta madhara...
2 Reactions
15 Replies
4K Views
Habari zenu wakuu? Naomba kujua uimara wa Toyota Ractis wa wanaofahamu au waliowahi kuitumia.
2 Reactions
23 Replies
10K Views
Habari nani anaweza nisaidia kuwapata mafundi wanaojielewa ambao wapo vema na kurekebisha miguu ya mini pajero Picha ya aina ya gari hiyo hapo chini.
2 Reactions
13 Replies
4K Views
Wakuu kuna Raum nataka niinyanyue kwa inchi kadhaa. Nilipitia nyuzi nyingi humu nikaona wengi wanashauri kutumia aluminium spacers. Ila kwenye pitapita yangu mitandaoni nimekutana na maelezo...
0 Reactions
12 Replies
10K Views
Inasemekana Boeing ndege zake ni nzuri zaidi kuliko ndege za Airbus, uzuri wa Airbus ni comfortability kwa ndani, wakati Boieng ina ladha yake yake kwa ndani na kwa nje tofauti na Airbus. Kwenye...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Wataalam nataka kubadilisha top cover gasket ya 3sfe engine(toyota noah),je mbali na gasket na gasket maker kuna kingine cha kubadilisha?ni mambo gani ya kuzingatia wakati wa kufungua na kufunga...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
TAASISI ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT) imeanza kuunganisha magari kwenye mfumo wa matumizi ya gesi asilia badala ya petroli na kwamba hadi sasa magari 150 yamekwishaunganishwa. Akizungumza...
2 Reactions
39 Replies
13K Views
Kwa mara ya Kwanza. Wenye kutumia magari ya diesel tumekumbukwa. Asanteni.
6 Reactions
14 Replies
1K Views
Back
Top Bottom