JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
Naombeni ushauri wenu katika hili. Mambo yamekuwa tight kidogo nlisafiri Tanga nimerudi now nataka kwenda Mwanza. Gari nilizo nazo zina CC kubwa na mambo yamekuwa mengi sitaki shida January watoto...
20 Reactions
95 Replies
13K Views
Anayezifahamu, ushauri please. Magonjwa sugu yake kama yapo na matatizo mengine. Spare parts sijali. Used saloon 2001 -2003. I intend to import from Japan. Pia MAKADILIO YA TOTAL COSTS PLEASE...
0 Reactions
28 Replies
9K Views
Wadau naitaka hii gari. Mimi ni mpenzi wa SUV.. Yaani gari zingine huwa sitaki kusikia kabisa. Wenye uzoefu na hii gari. Mnisaidie maswali yafuatayo. 1. Upatikanaji ya Spare zake hapa bongo. 2...
1 Reactions
6 Replies
4K Views
Wadau nilileta uzi humu wa kuomba ushauri kuhusu ni gari gani nianze nayo. Wengi mlinishauri maoni mbalimbali na sasa namshukuru Mungu nimefanikiwa kununua Nissan Duals cc 2000 kutoka Japan...
26 Reactions
102 Replies
7K Views
Wakuu habarini, Naomba mwenyewe ufahamu kuhusu malory ya man na prefar kununua kwenye mnada matatu kwa ajili ya kazi flani falninza project ,mwenye ufahamu kuhusu Engine ,uimara wake na matumizi...
5 Reactions
22 Replies
4K Views
Habar wajuzi wa mambo tatizo hilo linahusiana na nini ? Msaada please kwa mtaalam
2 Reactions
16 Replies
3K Views
Hello Guys, I hope everyone is doing well. Naomba kuuliza kwa wajuzi, Mimi ni Mtanzania ila naishi Kenya kwa sasa, je ikiwa nataka kununua Gari Tanzania na nataka kuitumia Kenya je utaratibu...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
nilinunua battery ya gari ya focus,14 october 2021,nikapewa warranty ya miezi 6,mpaka 14 april 2022,ktk kipindi hicho haikusumbua,lakini juzi imekufaa waranti imeisha tarehe 14,battery ni...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nissan Tiida na mazda verissa hizi gari zote nimezimiliki na nimefanikiwa kuziuza japo kukatishwa tamaa na wadau kulikuwa kwingi sana Sasa nataka niagize Nissan note aliyewahi imiliki vipi sifa...
2 Reactions
9 Replies
3K Views
Wadau naamini JF naweza pata msaada juu ya hili suala? Iko hivi kuna mkebe nimenunua hivi karibuni ila kuna kitu huwa nakiona kwenye dashboard huwa sikielewi, kitu chenyewe kinawaka kwa rangi ya...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Wadau kwema Mkoko wangu aina ya Raum new model izi za 2007 una shida iyo taja, mwenye kujua shida hii nii solve vipi ..maana ata nikibadilisha bulb bado low beam hazimuliki chini vizuri kwa ule...
1 Reactions
4 Replies
756 Views
Naomba kutambua hii chuma inaendeshwa namna gani wakati haina side mirror?
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Heshima zenu wakuu. Kuna gari asubuhi inawaka ila inakuwa kama ina miss hivi na rpm inakuwa chini sana hadi wakati mwingine inazima. Ukiiacha kwa kama dakika 2 hivi miss inakata na rpm inatulia...
3 Reactions
39 Replies
7K Views
Wamiliki wa magari wameongezeka, siku hizi kila Mtu ndoto Yake ni kumiliki gari, Miongoni Mwao kuna madereva wabaya, kuna waliojifunzia uchochoroni baada ya Wiki anaingia barabarani... Nje Ya...
8 Reactions
15 Replies
2K Views
Wakuu nimenunua Suzuki Grand Escudo, imetembea 140,000kms nataka kuifanyia service niweke Engine Oil ya Code Gani 10w-30, 5w-40, 5w-30?
6 Reactions
19 Replies
4K Views
Wadau,naomba msaada kutaka kujua kuwa kwa hapa dar naweza pata wapi BODI ya toyota noah road tourer 2000, 2WD, na bei kwa makadirio.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Jamaa yangu alinunua gari kwa njia ya mtanda kisha akatumia kampuni ya Befoward ili ku clear na kumfikishia mahala alipo. Ukweli ni kwamba alifikishiwa mkoani mahala alipo ila gari ilikuwa...
3 Reactions
82 Replies
11K Views
wakuu salama? nahitaji shoo ya nadia .. hicho kipande cheusi chenye logo ya toyota.. niko tanga . huku nimekosa. naomba connection ya huko town kama kuna mtu anauza ili tuwasiliane ninunue.whatsap...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
The picture tells 1000 words...
9 Reactions
35 Replies
6K Views
Habari zenu ndugu zangu..natumai ni wazima wa afya kama ndo ivyo tumshukuru mungu kwa pamoja alhamdulilah mimi ndugu zangu na subaru legacyb4 year2004 shida yangu moja tu kwenye ac nikiwasha ac...
1 Reactions
0 Replies
668 Views
Back
Top Bottom