Wakuu usiku wa kuamkia Leo vibaka wamevunja kioo cha gari wakaiba taa moja ya nyuma, power-window na side mirror zote mbili, aina ya Gari ni Kluger V, kwa spare used naweza kupata kwa bei gani @?
Wataalam habari za wakati huu! Poleni na majuku yenu ya kila siku.
Naomba kujuzwa je ni sahihi joto la engine ya gari kuwa 108 degree centigrade then linashuka hadi 106 hapo nikiwa naendesha sasa...
Nilikua najichanga angalau niagize BMW X3 ili niokote watoto wa Chuo kiulaini. Sasa kabla sijalipia Be Forward nikasema nichungulie Calculator ya TRA nimekutana na Maumivu yaani BMW X3 ya 2013...
Wasalaam wakuu humu ndani,
Mwezi ujao natarajia kuingia dukani kuchukua chombo cha usafiri pikipiki.
Kuna hivi vyuma Boxer na tvs kwa haraka haraka unaweza ukadhani ni vyuma sawa.
Lakini...
Wadau wa vyombo vya majini tunauza material za fiber, spea za injini za Boti,injini za Boti, Jet Ski, Marine Quadbikes,GPS na Fish finders.
Kwa wanaohitaji Jumla na rejareja Jet Ski,water...
Hivi kama umesomea na una leseni daraja C, Kuna ulazima wa kusoma tena C1, C2, C3?
Huwezi kutumia C kuendeshea hizo☝️?
Wanahusika na kuendesha magari ya aina gani?
Eti hili uwe na leseni daraja...
Habari wakuu.
Naomba msaada wa mawazo kuhusu kununua bima ya gari. Nilikua nataka kukata comprehensive, ila kuna mdau akaniambia badala ya kwenda kwa ofisi za bima moja kwa moja ni bora kupitia...
Wadau kwemaa!
Katika pita pita zangu youtube nimekutana na videoz zinaonyesha uwezo wa colgate kufuta mikwaruzo katika body ya gari
Nikaona nilete hapa JF ilikujua kama je ni kweli ichi kitu...
Habari zenu,
Natumai tupo poa. Naomba ufafanuzi wa Toyota Harrier yenye injini model no. MCU30 kuwa na injini capacity 2490 nimeiona mahala. Kwa sababu nimezoea kuziona Toyota Harrier za 2AZ...
Wakuu habari naomba anayefaham gereji ya KUNYOOSHA MAGARI ,Gari yangu aina ya Mazda CX 5 ,Nimepata nayo ajali hapa dsm nilikuwa namkwepa mtu kanifata akanikwagua na kusabisha kuangukia kwenye...
Wadau habari,
kwa wale wataalaamu wa magari nnaomba msaada wenu kujua haya magari tajwa hapo juu ukiachilia mbali swala la ulaji wa mafuta, yana matatizo gani na je Kama nikitaka kununua moja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.