Ndugu wanaJamiiiForums, habari za wakati huu
Naomba mwenye kujua kuhusu gari aina ya Nissan Dualis kuanzia matumizi ya mafuta, upatikanaji wa Spare na changamoto zingine. Na vipi kununua used kwa...
Hii gari inatengenezwa Nigeria na kampuni ya Innoson Group of Companies, kwa muonekano wake naona liko vizuri; vipi yalishaanza kuingia hapa nchini?
Ubora wake ukoje?
Miaka ya zamani kidogo ulikuwa ukiomba leseni ya udereva haichukui muda mrefu unapewa leseni yako.
Lakini siku hizi kumekuwa na changamoto kidogo hususani kwenye muda wa kuomba leseni mpaka kuja...
Wakuu kwema humu?
Naomba msaada wa elimu na ufahamu kidogo? Hivi spare za magari ambayo makampuni ya magari yashasitisha uzalishaji wake huwa zinakua sokoni hadi muda gani zinakua hazipatikani...
Habari za saizi wakuu,
ngoja niende moja kwa moja kwenye mada husika, Nilikuwa naulizia gharama za kujifunza umeme wa magari garage inaweza ikawa shilingi ngapi na vipi kuhusu kupata gape la...
Habarini za jioni wanajamvi,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza natafuta fundi mwenye uzoefu wa kuzitengeneza Nissan Dualis,gari yangu inasumbua sana na sina mpango wa kuiuza asanteni.
Gari...
Nimemeki nimenunua gari nikaendesha wiki moja liko poa kila kitu kipo sawa.
Nikapata wazo kwakuwa nimenunua kwa mtu halafu mi siko deep na magari acha nilipeleke kwa fundi akaicheki ili kama kuna...
Hivi hua kuna procedures gani za kufuata wakati wa kununua spare parts za magari au gari ambalo liko juu ya mawe ili ni dismantle au kuchukua body yake.
Kwaajili ya kuuza badae ambapo itahitajika...
Wakuu nawatakia Jumatatu na week njema yenye mafanikio.
Niende kwenye maada kwa wale wazoefu wanipe ushauri. Kwanza ni kiri kwamba jukwaa hili ndo lilinipa maamuzi ya kuagiza gari na kukwepa...
Habarini wakuu!! Ni matumaini yangu kuwa mko salama na mnaendelea na ujenzi wataifa!
Kwa muda mrefu nimekuwa nikiamini hili jukwaa kuwa ni mahali sahihi kwa kupata elimu kuhusiana na vyombo vyetu...
Toyota ni moja ya Makampuni makubwa zaidi ya uzalishaji magari Duniani na wamejikita zaidi katika utengenezaji wa magari yenye uwezo mkubwa na imara lakini bila kuyasahau ya wastani yenye uwezo wa...
wanajamvi nataka ninunue toyota noah old model, milango minne, ili niwe nabeba abiria mbeya to Dar, sasa nasikie kuna aina nyingi za toyota noah. Mfano, field tour, town ace, super lymo extra nk...
Kuna gari ambazo nimekuwa nikitumia lakini kwa sasa nataka nibadilishe gari. Nahitaji gari ambayo ni ya Toyota iwe 6 Cylinder. CC zikianzia 2000+ ni sawa. Sijui kama kuna ambayo inaweza kuwa below...
Habari ndugu jamaa na Marafiki.
Naulizia Makampuni Yanayohusika Na Usafirishaji wa Mizigo kwenda Oman kwanjia ya maji na Anga. Naomba mwenyekufahamu anijuze, au mwenyeujuzi wa maswala ya...
Nimetokea kupenda hili gari lkn bado sijajua raha na karaha zake kwa hapa mjini... kiufupi nataka gari ya kutembelea tu na ikitokea safari za mkoa mara 1 au 2 kwa mwaka...
Naombeni ushauri wenu...
Magari haya:
1.RAV4 L V Engine RS automatic
2.TOYOTA HILUX Pickup petrol manual inabeba mzigo tani moja.
Gari zote ni 1990cc engine capacity zote zina hali nzuri je kwa wastani lita moja petroli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.