Wakuu hanarini za asubuhi, natumai mmeamka salama. Naomba kujuzwa nahitaji kufanya service ya kawaida kwa gari ya ulaya, gereji gani nzuri Mbeya yenye utaalam wa gari hizi?
Asanteni.
Wakuu msaada tafadhali ..nimezunguka na boxer kwa mafundi wameniambia ni rings mara piston ..nimenunua nimepachika lakini zinakaa wiki zinakufa na moshi unaendelea kutoka ...nin suluhisho la kudumu
Wapendwa wenye uzoefu wa magari naomba mnijuze magari ya Nissan yana tatizo gani...nimekuwa nikiambiwa nisijaribu kununua gari ya Nissan lolote kwani litanisumbua ninunue tu kampuni ya...
Habari zenu wakuu?
Mimi ni kijana ninayehitaji kujifunza udereva wa magari, hivyo naomba mwenye kufahamu sehemu yeyote wanaotoa mafunzo haya anisaidie kwani ninahitaji kuwa dereva mzuri lakini...
IJUE BMW X5 AUTOMATIC DIESEL
Na Kimomwe Motors (T) Ltd- Waagizaji Magari
UTANGULIZI
Model inayoongelewa hapa ni toleo la mwaka 2000 mpaka 2007
Kwa wakati huo iliaminika kwamba gari ya SUV tamu...
Husika na mada tajwa
Jana usiku kuna bodaboda amenigonga kwa nyuma akapasua taa yangu ya nyuma.Kama kuna mtu anaweza kuipata used Japan naomba tuwasiliane na bei yake.
Niko iringa
Habari Ndugu zangu!!
Mimi Ni dereva wa Bajaj(nimejifunza na kujua mtaani)
Ila nimeamua kutafuta leseni! (Sina pesa ya kwenda veta)
Naomba mnisaidie njia ya kupata leseni halali.
Sent using...
Msaada kwenu wataalam,najiridhishaje kuwa Gari ninayoendesha ni AWD?
Maana unakuta mafundi wanakwambia tu kuwa hiyo Gari siyo rahisi kukwama huko vijijini maana ni AWD. Lakini nitafanya nini ili...
Habari zenu wakuu na wapenzi wa jukwaa hili. Niende kwenye mada, Kuna hii Toyota IST 2005 ambayo ni 4wd ama AWD model code NCP 65, 1.5L. Hii gar ilifanikiwa kufanyiwa usajili mwaka jana mwezi wa...
Jamani kidogo kidogo nimeanza kuona magari ya Mitsubishi Pajero 3.0L petrol.
Hivi haya magari yakoje in term of
1.Ulaji wa mafuta
2.Upatikanaji wa Spare
3.Uhimilivuwa rough roads
4.Engine ya...
Wakuu nataman kujua kati ya hizi gari mbili ni gari ipi ya kuishi nayo in terms of
.perfomance
.durability
.reliability
.efficienty in terms of wese
na mazagazaga mengine
ila kwenye price naona...
Wadau naomba kujua unapofanya Service ya Gari ni Hatua na Sehemu gani za Gari zinatakuwa zifanyie hiyo Service?
Pili Aina ya Oil na Greese
Tatu aina ya filter
Gari husika ni HARRIER 240G
Mnamo mwaka 2019 nilinunua Boxer 150x ikiwa mpya kabisa, na nilifanya maamuzi magumu kutokana na changamoto nilizokuwa nikiambiwa kuhusu pikipiki aina ya Boxer lakini niliamua tu kuinunua hivyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.