Wadau kama kichwa cha habari hapo juu natafuta fund anaeweza tengeneza pikipik za Japanes pia anaejua maduka ya vivaa vya hiz pikipik kwa hapa dar.....
Kama unanunua hizi gari za ulaya na unakuwa mjanja mjanja kwenye service na maintenance zingine basi huwezi kufika mbali kabla hujaanza kuzibatiza majina ajabu ajabu, mara pepo, mara jini, n.k...
Habari wakuu,
Gari ilimezngua MAF(Mass air flow sensor)imesafishwa lakini wapi bado inazingua.
Imewasha taa ya check engine, Fundi aki clear code gari inazima haiwaki nini tatizo wakuu error...
Habari Guys
Nina Biometric kit mbili kwa ajili ya magari. Lengo ni mtu kupunguza idadi ya watu wanaoweza kuaccess gari lako.
Kuna option mbili
Naweza kuuza mojamoja zikafungwa kwenye gari mbili...
Habarini za muda huu wakuu, Katika platform niipendano kabisa hapa duniani ya kwanza ni huu mtandao wa nyumbani tanzania JmaiiForum, nimejifunza vitu vingi sana na kujua mambo mengi sana na kupata...
Yamaha 4gl 90cc ni mfano tu wa mashine za kijapani ambazo wajapani walijitengenezea wenyewe kwa matumizi yao, pikipiki hizi ni sawa na Honda md90 ambazo zilitengenezwa maalumu kwa ajili ya...
Natafuta fundi wa kunitengenezea gari yangu aina ya honda pale itakapokuwacinaleta shida. Ni vizuri akipatikana hapa hapa dar es salaam. Gari ni honda stream. Naombeni msaada wenu.
Toyota Altezza Gita
Toyota Altezza Gita (wagon) ni moja kati ya magari mazuri na imara kuwahi kutengenezwa na kampuni ya kutengeneza magari ya Toyota kwa kipindi cha miongo kadhaa iliyopita. Gari...
Mwezi huu wale wazee wa torrent imetoka hii filamu ya James Bond kwa jina la no time to die ,katika kutazama hii filamu nimeona scene ambayo imenifikirisha kwa nini na kuna maana gani?
Mapema...
Wakuu nisaidie nina pikipiki ya san lg nilinunua kwa mtu(used) kila nikiwasha inawaka ila kila ninapoingiza gia namba moja au mbili inazima msaada nini tatizo
Msaada kwenu wakuu, ukiweka D inakwenda bila shida, lakini kama ukiengage R Gari inakuwa kama inakata mafuta na kisha inazima.
Hii kero inasababishwa na nini?
Kwa kuzingatia viwango vya safety, stability, comfortability, inaonekana wazi kabisa kuwa watu wengi wanatamani sana kumiliki magari ya Ulaya. Lakini wanaogopa kuyamiliki kwasababu kuu tatu:
-...
Kwa muda mrefu watu wengi wamekuwa wakiamini ukitumia AC unatumia mafuta mengi kuliko ukiendesha bila AC[vioo wazi].
Kiufundi ili AC ifanye kazi inahitaji nguvu ya ziada kutoka kwenye engine ili...
Habari za weekend wana ndugu! Naomba ushauri na uzoefu wenu wa magari hayo apo juu interms ya operational na maintenance cost! Lengo ni kutaka kuwakimbia toyota! Nashukuru!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.