Gari linatikisika kitu kizito mbele ya bonnet linapokuwa linatembea kwa spidi ya kuanzia km 80 kwa saa, na likiwa kwenye gia namba tano (gari ni manual).
Mwenye kujua hili ni tatizo gani atakuwa...
Moja ya gari ambalo ni noma barabarani basi ni hili ndinga,nakumbuka jana nikiwa natokea maeneo ya RUFIJI kuja DAR ilinipa hii gari kama nimesimama
Nikiwa kwenye mwendo wa speed 100 sehemu yenye...
Habari wana JF, nimekuwa nikitumia gari hili(Toyota vitz old model) kwa mda wa miaka4 sasa hata hivyo hivi karibuni limepatwa na tatizo ambalo kimsingi linanichanganya. >>KUSHINDWA KUPANDA MLIMA...
Wadau mimi ni Mmiliki wa Toyota Harrier.
Kwenye Dashboard Maandishi yapo kwa Lugha ya Kijapani.
Naomba Msaada wenu NAMNA ya kuyabadilisha Yasomeke kwa KIINGEREZA
Sent from my SM-J600F using...
Wakuu habari zeni, 'nina gari yangu coster nimeifanyia engine overhull
Nimebadilisha sleave, piston, na gasket head
Ikaingia barabarani, tatizo limezuka kama wiki tu baada matengenezo, gari...
Kama huridhishwi na wepesi wa gari yako katika acceleration huduma inayokufaa ipo,utawekewa THROTTLE RESPONSE CONTROLLER (Pedal Box) kifaa maalum kinachochangamsha mfumo mzima wa fuel injection...
Nimeona magari mengi ya waheshimiwa wetuyansikitisha sana jamani,hivi wananchi wa TANZANIA mnakubali vipi watu wasiolala kwa ajili yetu,,waliojitolea maisha yao kwa ajili yetu waendeshwe kwenye...
Gari kutoka UK inauzwa 1.4L very economical on fuel and cheap to run, Metallic Black, Radio/CD, Airbags, Central locking, A/C, Petrol, 2000, Manual, 5 speed, ABS, Front & Rear handrest, Steel...
Naombeni msaada kwa wajuzi wa Toyota IST. Ninampango wa ku import hiyo gari ila sina uzoefu na hzo gari manake naona kuna model za 2002, 2003, 2004, 2005, 2006 nazungumzia old model tu. Hapo ni...
Wakuu salama? Nilikua natafuta tairi za BF Goodrich sasa nimepata za 2018 ila ni “Made in USA” original. Nimepambana sana kwa namba nayotaka ndo zimepata za 2018 nimezunguka sana.
Naombeni msaada...
Salaam wadau, kama kichwa Cha habari kinavyojieleza hapo juu.
Naomba kufahamu ni mabasi gani mtu unasafiri comfortable zaidi toka Dar kwenda Mwanza. Pia nauli zake kwa sasa.
Natanguliza...
kwa wenye uelewa kuhusu hizi gari 2, yaani Mark x na Verossa naomba msaada kuhusu
1.ukubwa wa engene
2.fuel consumption
3.durability ( kwa matumiz kwenye barabara ya lami na vumbi)
4.Bei zake
5...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.