Msaada Ni wapi nitapata duka la spea la uhakika Arusha
Nahitaji taa ya nyuma Harrier New modern vijana wanaita "tako la nyani " taa kipisi Cha kwenye bodi.
Anaejua na bei atakua amenisaidia zaidi.
Wakuu, salaam.
Naomba kujuzwa ubora na ufanisi wa kazi za Springs city garage (Wachina) kwenye unyoshaaji wa bodi ya gari. Jijini Mwanza.
Kwa mwenye uzoefu nao, please share nasi hapa.
N.B...
Fahamu tekinologia za engine kuongeza output na ulaji wa mafuta..
Honda wana Vtec
Toyota wana Vvti
BMW wana Vanos
Zinafanya kazi kwa kucheza na Camshaft..
Nini zinafanya.
Kukamikisha cycle moja...
More Lanes For Private Vehicles is a Destroyer of African Cities and Not a Saviour
Abstract: Our obsession with motor vehicles has brought our major cities to a halt. Moving...
Nataka gari ambayo ni rahisi kutengeneza pia vifaa vyake visiwe vya gharama kubwa.
Pia nataka gari ambayo matumizi ya mafuta yawe ya wastani per km pia gari inayo stahimili barabara mbaya za...
Habari,
Mkurungezi mtendaji wa kampuni la Tesla Motors, Elon Musk amekubali kufanyia kazi mapendekezo juu ya uboreshaji wa gari za Tesla Model S.
Wateja wawili ambao wanamiliki gari za Tesla...
Wajuzi hbr za kushinda nahitaji muongozo kuna hii gari nimepita platfomu x nimeona inauzwa imenivutia mkao wake ,mara moja kwa kutokea mtoko ,bei jamaa anayouza ni ya kawaida sana.
Nachoomba...
Habari !!naomba ushauri wa magari aina ya Mitsubishi outland na ford rangers juu ya matumizi ya mafuta, upatikanaji wa spea na mengine kama nitakua nimeyaacha.
Nawakilisha
Hello wajuvi wa gereji ya Jf,
Kama Subject title inavyojieleza, kuna jamaa yangu angependa kufahamu... IST and/or Kluger, 4WD yake ni FULL TIME? ama ni ON-DEMAND (kuiweka anapotaka dereva)...
Kama ni mkazi wa jiji la Dar es Salaam.. Then gari yenye Natural Aspirated engine kwako ni sawa..
Ila kama unaishi nje ya Dar ni bora utafute gari yenye Turbo.. Ukiwa na Natural Aspirated...
Habari zenu wadau..
Toyota fans mara nyingi tukiongelea gari moto za kijerumani kama Bimmer huwa wanarukia kwenye hizo engine kuwa ni mwisho wa matatizo.. Wazungu kuwa wamenyoosha mikono kwa hizo...
Stabilizer ya RAV 4 J kilitime ya kushoto inahitajika, mto yoyote mwenye uwezo wa kuipata au connection za kuipata anasadie, vilevile inaweza kunigharimu kiasi gan. Naambanatanisha na picha
Asante.
Kwema wakuu.
Leo nimekutana na kitu kigeni, nikajua hapa JF hakuna kinachokosa majibu.
Kwenye 'eksozi' ya gari, ndani yake ukichimbachimba, unapata vipande vipande kama vya udongo na unga...
Nahitaji kubadilisha Rim za Gari Harrier, zilizopo zimepinda sana kila siku ukiamka tairi hazina upepo.
Kwa hiyo nahitaji Rim Origal nzuri na durable sio lazima ziwe sport maana naona hizi sport...
Hello.
Nina swali moja kubwa kuhusu gari za umeme hasa charging system.
Hivi ukinunua gari ya umeme ambayo inakuja na ile charging set yake.
Uki install nyumbani kwako na ukawa unacharge gari...
Mzuqa,
Sijui kwa nini na wengi jina Fiat ukilisikia moja kwa moja picha inayokujia ni hii "iconic truck" Mbaula yenye sura mbaya.
Dereva mzuri wa malori alikuwa anapimwa kwa umahiri wake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.