Poleni na maumivu ya tozo.
Nahitaji kununua gari kwa ajili ya matumizi ya familia, naombeni msaada kwa anaye fahamu ulinganifu wa ubora (in terms of elctrical & mechanical problems as well as...
Salaam.
Wadau naomba msaada wa tatizo hilo. Gari langu ni Suzuki Escudo 2002, kila mara nachonga hiyo metal bush ambayo iko mguu wa kulia wa mbele kwenye HUB but ndani ya week moja inaanza kuisha...
Ulivyoagiza gari yako ufunguo wa akiba..uliukuta sehemu gani?
Njooni tupeane maujanja. Kuna gari moja niliiagiza ufunguo wa spare niliukuta ndani ya Manual book ya gari. Kwenye gari nyingine...
Ndugu zanguni naombeni ushauri wa biashara ya service bay ninayotaka kuianza hivi karibuni.
KWA KUANZIA NA AIR COMPRESSOR yenye ubora hasa ni ipi ?
1. Vigezo vyake kuanzia ujazo na hp yake...
Habari wana jamvi, natumaini mko poa ni hivi jamani
Nimefanikiwa kuuza gari yangu aina ya Brevis kwa gharama ya Tsh 8M nikajishanga na mimi now nina kama 14M sasa hapa nachoice ya gari izi tatu...
Habari wana jf, nimewaletea shortlist ya kampuni za magari makubwa, mabasi pia magari madogo, sports cars, SUV, na grand cars.
Tujuze je ni gari toka kampun Gan unapenda
Habari gani wakuu,
Niende moja kwa moja kwenye mada yangu.
Nimekuwa nikifuatilia thread nyingi sana huku kwenye jukwaa la JF garage, moja ya mada inayotajwa mara kwa mara ni magari pasua kichwa...
Haya wasaka tonge!!
Salaama wanajamvi, napenda kushare nanyini jambo moja ambalo laweza okoa mtu mmoja sehemu dhidi ya utapelo hii mpya mtandanoni.
Pana jamaa wanajifanya kutangaza kuuza magari...
Habari za kazi wadau naomba kujua chochote juu ya hii gari hasa model ya kuanzia 2004 yenye 3ZZ , hasa kuhusu Uimara wake na mapungufu yake na kwa nn kwa Tanzania hazipo kwa wingi na hali bei yake...
Kiukweli hapa Mercedes Benz walifanya kazi nzito. Na kweli wakaonesha umwamba wao kwamba wao ni akina nani. Hakuna engine ya 4 cylinder inayojaribu kuusogelea mziki wa hii engine hata kidogo tu...
Wadau naomba kufahamishwa.Haya magari nayapenda mno.Kuna moja nimeiona kwenye site ya Befoward ina taarifa zifuatazo
Year of manufacturer: 1998
Engine: 3378cc
Location: Japan
Price:$2,732/_...
Nina Crown athletic ya mwaka 2006. Hivi karibuni nimebadilisha steering rack yote pamoja na mkanda wa steering baada ya ile ya kwanza kukatika.
Baada ya kubadilisha na kuweka nyingine Steering...
Habari za jioni wataalam.
Msaada wa ushauri, kuna budget ya 15M nahitaji toyota ya kuzugia mjini, napendelea sana toyota premio isiyozidi 1500cc , je ni nzuri au unashauri nichukue aina gani? Je...
Wakuu matumaini ni wazima naomba kujua ipi gari nzuri kati ya Subaru Forester ya mwaka 2009 na bmw x3 ya mwaka 2009 kwenye comfability fuel efficiency durability vipuli na nk
Sent from my Infinix...
Wakuu naomba msaada kwa anaejua,
unapoosha sehemu ya mbele ya injini,ni vitu gani havitakiwi kuloweshwa na maji,,msaada please mi najua tu alternator.
Gari yangu ni Toyota Noah.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.