Mwenye kujua chochote kuhsu ili gari naombeni msaada, naona ni gari ambalo limenivutia sana ila sijajua changamoto zake ni nini kabla sijanunua. Karibuni kwa ushauri
NILE POINT INTERNATIONAL LTD.
Tuna service na repair kwa injector pump pamoja na unit injector nozzle.
TOYOTA
BENZ
LAND CRLUSER
IVECO
SCANIA
VOLVO
DAF
HOWO(Sinotruck)
Diesel engine kwa ujumla wa...
Boat Bar ni Boti Kubwa ambayo Ina miundombinu ya watu kupata vinywaji na chakula wakiwa ndani ya boti. Boti hii ni kwaajili ya utalii,starehe na sehemu ya kufanyia vikao.
Boat Bar inaweza...
Lesseni yangu ya udereva ime expire leo tar 8/12/2021 nilikuwa nataka kujua kwamba naweza itumia hadi January ndio nibadilishe? Kingine ni kwamba ni process gani unatakiwa kuzifata ili kurenew...
Heshima mbele wadau
Najua hapa kuna manguli wa kutosha na wazee wa kusuka private cars pale wanapofanya safari.
Kuna wazee wa Druti za Dar - Arusha, DOM-DAR, DOM -MBEYA, DAR MWANZA. Wakati...
Habar zenu wana Jf. Leo ningependa tuzidi kuelimishana kuhusu udereva wa hizi za kisasa zenye mfumo wa Automatic gear transmission.
KWA dereva yeyote, ni wazi hawezi kupingana na mimi kwamba gia...
Usinunue gari kwa kufuata mkumbo. Si kwa sababu fulani analo au watu wengi wanalo, au kila mtu ananunua gari hilo then na wewe ndio uamue kununua gari hilo.
Inagharimu sana muda meingine. Kuna...
swallamah wakuu....naomba kuuliza,hivi ukitaka kubadili rangi ya gari kuna taratibu gani? Na je, kama kuna gharama inaweza gharimu sh. ngapi? Kwa anayefahamu tafadhali.
10. Caterpillar 794 C
The Caterpillar 794 C is the newest off-highway truck
Urefu: 50.72 feet
Kimo: 26.30 feet
Upana: 32 feet.
Nguvu: 3,500bhp
Ubebaji: 291 metric tons
794 C is Caterpillar'...
Wakuu nisaidieni kuelewa kitu nikiendesha gari inakula mafuta sana tofauti na mtu mwingine akiendesha gari hiyo hiyo, Nashidwaa kuelewa ni nakanyaga vibaya pedel ya mafuta au kuna kitu nakosea...
Nina kagari Toyota IST ambako kana namba CYZ jamaa mmoja alikuwa anakapenda haka kagari kutokana na condition yake na jamaa ni mbahili pia.binafsi nlikanunua sababu ya mamsap awe anaendea salon na...
Sababu kubwa ni uzito wa engine na matumizi ya gari..
1. Kupata nguvu ya kusukuma gari(hp) kwenye engine ya petrol ni rahisi kuliko diesel.. Kwahiyo utakuwa na engine block ndogo kwenye petrol...
Habari wakuu wa jf, kwa wale ambao munatumia pikipiki za hero hunter 125 cc na dawn 125 cc tujulishane changamoto na faida za pikipiki za hero hasa kwenye uimara na upatikanaji wa spare
Sent...
kwema wajumbe.... Nimetumia crown ambayo iko order kabisa nilikua nikiweka full tank computer dashboard inaniambia nna km 520 had 545 maxmum kwa safari ndefu.
ila nimenunua mark x engine ile ile...
Ukweli ni kwamba tunaelekea kuufunga mwaka 2019 na time kama hii tunakaribia kukutana na hesabu nyingi za kufunga na kujiandaa kwa mwaka unaofuata. Sasa wakati ukiwaza bajeti ya mwakani pengine na...
Wadau mie nahitaji msaada , nnaka Verossa kangu nataka nipige chini Engine na Gear Box.
Je ni wapi ntapata vitu hivo Kwa uhakika wa Bei nafuu (reasonable price) , spea za uhakika (Genuine...
Waungwana nimechoka kutembea kwa mguu, nina ka milioni 5 nilitaka nitafute ka miguu minne nipumzike shida kutembea, ila sina uzoefu na mambo ya magari ni aina zipi za magari naweza kununua ikiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.