JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
Habari wadau,hivi ni kwanini magari aina ya Nissan matengenezo na marekebisho yake yanasumbua mafundi wengi?pia ni gharama kubwa kurekebisha ukilinganisha na Toyota
5 Reactions
124 Replies
16K Views
Wapi nitapata maduka yake maana nasikia Arusha ni rahisi kupata kuliko dar na Bei zake zipoje?chini ya milioni unaweza kuipata pikipiki Kama hii?
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Ndugu zangu, Nissan xtrail yangu imeleta shida. Taa za breki hazizimi na ktk kukagua nikakuta kwenye brake pedal kuna ki-rubber kimesagika hivi na vipande vimedondoka. Fundi kasema kuwa kuna...
0 Reactions
2 Replies
538 Views
. NAJUAA wengi sana huvitiwa sana magari haya aina ya crown na hata bei zake sio rahisi ki hivyo, na kwa ushauri wangu usinunue crown ya bei rahisi utakuja kulia , hilo nakukuhakikishia , ni gari...
6 Reactions
14 Replies
12K Views
Wakuu habari zenu, Nimepanga kwenda Mwanza kati ya tarehe 22 hadi 24 mwezi huu ila hizi sikukuu kidogo imekua changamoto kupata usafiri wa umma maana buses zote ndani ya siku hizo tayari ziko...
0 Reactions
6 Replies
924 Views
Habari za muda wakuu, Naomba kupata ufafanuzi ni jinsi gani TRA wanacalculate kodi endapo itatokea gharama za CIF uliyonunulia gari imekuwa kubwa kuliko ya kwenye calculator yao.
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Hii Case nimeizoea kukutana nayo wa watu na huwa naichukulia kawaida ila leo nimeshangaa kuikuta kwenye moja wapo ya Showroom hapa Dar. Kikawaida gari nyingi tukitaka kuangalia mwaka ambao gari...
18 Reactions
37 Replies
7K Views
Hivi D-S kwenye auto cars hutumika wakati gani, Je naweza kuitumia kwenda safari ndefu?
5 Reactions
18 Replies
2K Views
Bila Catalytic Converter kuna sumu zinazotoka kwenye moshi ambazo zitakuwa zinaingia kwenye hewa. Sumu hizo hazifanani kulingana na aina ya engine, Engine za petrol hutoa Hydrocarbons, Carbon...
12 Reactions
31 Replies
21K Views
Nauza engine K3- VE ( Vvti) cc 1300 na gearbox yake. Ina changamoto ya rings kutanuka. Hiyo tu na gearbox seal yake inavujisha ni either ifungwe vizuri au ibadilishwe. Mimi nlipata engine...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
3 Series 320I M SPORTS guyz hii chuma naizimia kinoma nawaahidi kuna siku nitawapostia humu nikishanunua hii ni gari ya ndoto yangu Ghalama ya kuagiza ni Tshs 13,881,102 hii inakufikia hadi...
4 Reactions
45 Replies
3K Views
Habari: Wakuu kuna "Kampuni" moja ya kigeni nimekuwa nikifanya nayo kazi kwa vipindi tofauti kila wanapopata tenda hapa Tz. Sasa kuna mradi wamemaliza na juzi wamekabidhi kwa mafanikio makubwa...
2 Reactions
156 Replies
32K Views
Wakuu natafuta spare na mafundi wa lift gate la canter Msaada Wakuu
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu salaam, natafuta engine ya Suzuki escudo Grand iwe V6 ah 4 cylinder. Naweza ipata kwa bei gani? Nahitaji complete Naambatanisha na picha ya gari.
1 Reactions
20 Replies
6K Views
Nilipata kufahamu hilo na lilinishangaza sana mwezi uliopita baada ya kusoma mahali juu ya shutuma kwa shirika la ndege la KENYA AIRWAYS kwa kupaa mwendo kasi. Inachekesha lakini kila kitu kina...
1 Reactions
5 Replies
925 Views
wajuzi wengi wa magari wamekuwa wakisifia kwamba Landrover Defender engine ya TDI ni gari nzuri yenye engine bora sana.wajuzi hebu mnijuze sifa za hii engine pamoja na engine capacity yake
8 Reactions
175 Replies
34K Views
Wakuu habarini za majukumu, naomba kufahamishwa gharama ya kubadili kadi ya umiliki wa gari / bajaji ni kiasi gani cha pesa? Na gharama ya kukata kibali cha Sumatra ni bei gani?
1 Reactions
9 Replies
3K Views
UMOFIA KWENU! Uzi huu ni maalum kwa ajili ya kupata maoni au mtizamo wa jamii kwa namna inavyowachukulia madereva wanoendesha magari aina ya SUBARU na ALTEZA hapa Tz. Kwa kuanzia, mimi binafsi...
8 Reactions
118 Replies
16K Views
Jamani naomba kujua kwanini hizi gari ndogo hasa jamii ya Corolla zinapata sana shida ya stering rack
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom