Kwanza tunawashukuru Nissan kuja kufungua kiwanda cha magari Tanzania. Sasa ukitaka Toyota nenda kanunue Kenya maana huko nasikia Toyota wamefungua/wanafungua kiwanda. Ukitaka VW nenda Rwanda...
Kutokana na hali ya uchumi mafuta yamepanda bei vilivyo leo nimeamua kujinyima nikaweka mkebe wangu walau lita 10 za kupashia injini tuu kila baada ya siku saba lkn rasmi nimeamua kupaki sitatumia...
Msaada hapo tafadhari naipenda hii gari muundo wake ila ule mlango wake tu wa kuburuza kama wa noah ndio kikwazo kwangu nataman ufunguke kama wa Rav 4 au gari zingine zenye mlango kama hizo...
Habari ya majukumu wadau.
Baada ya kuagiza gari used kutoka Japan ilipofika nchini nilibadilisha engine oil na ATF. Kwa maelezo ya wataalam (garage) ambako nilifanyia service walinishauri kubadili...
Ndugu waheshimiwa,
Plani yangu ilikuwa kuagiza Voltz bahati mbaya bajeti imegoma, nikaona nitafute gari nyingine, SUV, itayoendana na hali ya mfuko wangu na hali ya barabara ninakoishi. Gari...
Kutoka hapa nilipo mpaka Ban-pho katikati mwa nchi ya Thailand ni kilometa 7191, Mbali kwelikweli.
Inaitwa Toyota Fortuner mid-size SUV mpango kazi wa kimarekani uliotekelezwa na Wajapan katikati...
Salaams wakuu, bila kupoteza muda naomba kufahamishwa basi nzuri ya kutoka DAR kuelekea Bukoba, iwe luxury full AC na iwe inajali muda.
Natanguliza shukran.
Nna hitaji kujua kiundani kuhusu Scania trucks na model zake. Kuna threads nyingi humu ndani zimeongelea Trucks kwa ujumla, hasa ziki compare trucks za mchina na mzungu. Ila hakuna thread...
Wakuu kwema humu?
Naomba kujua ili chombo chako cha abiria kiweze kuwa barabarani ni vibali gani unatakuwa kuwa navyo na kutoka mamlaka ipi (TRA labda au Manispaa hivii)
Naomba kujua.
Habari wana forum nimekuja na hili swala kama nilivolikuta sehemu watu walikua wanabishana uwezo wa engine za toyota 1hz na 1Nz mada ilikua ni kwamba gari zenye hizo engine zikikaa rami zikianza...
Ni kampuni gani ya tairi za china ambayo ni nzuri kuzidi nyingine za china, nimeulizia BF GOODRICH y usa/uk Rim 15,ni sh 280,000/=kwa pisi moja, michelin 180,000/, goodyear 170,000/=, mchina...
Wasalaam.
Nilinunua tyre kama mwezi sasa aina ya good ride za mchina mi mpya lakini nashangaa imevimba hata mwez haijamaliza. Wapi nitapata angalau hata kam ni za mchina ambazo unaweza kupiga...
Wadau habar zenu,
Naomba kujuwa ni kwanini gari za KIA SPORTAGE zinatengenezwa Korea kuwa na bei ndogo kuliko Team Toyota.
Hizi Kia Sportage zinaComfortable nzuri tuu hata baadhi ya Toyota with...
Wakuu kwema?
Naomba mwenye kujua anijuze bei za pikipiki aina tofaut tofaut za brand ya TVS na za Brand ya Boxer Kwa DSM au Mwanza.
Natanguliza shukrani.
Wandugu, nimekutana na changamoto hiyo kwenye gari langu kwa mda wa zaidi ya miezi 4 sasa nimejaribu kuonana na mafundi tofauti dhidi ya watano kla mmoja alifanya alichozani ni tatzo, nimebadili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.