JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
Habari zenu wadau, bila kupoteza mda naomba kujulishwa gharama za ushuru zinavyokuwa iwapo nitanunua gari au mashine kutoka kwa mtu nchini Kenya ambayo ni used ilikuwa inatumika na mkenya, ushuru...
0 Reactions
2 Replies
668 Views
Hii Toyota Brevis ninayo toka 2013. Machine haina shida wala kipengele chochote. Ila rangi nimeshabandika sana mitaani. Sasa nataka iwekwe rangi upyaaaaaaa iwe sexy kama imetoka jikoni leo. Ndani...
7 Reactions
20 Replies
6K Views
Wakuu habari, natafuta head gasket ya suzuki swift 2006. Kama kuna mtu anaweza nisaidia connection ya kuipata na bei nitashukuru.
0 Reactions
1 Replies
654 Views
Rejea kichwa cha habari nahitaji hiyo bidhaa niko dar.ina boya 3 na gari ni automatic ya Mwaka 2003 Sent from my SM-A022F using JamiiForums mobile app
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Boti ndogo zinatumia injini za Nje(Outboard Engine) zimetengenezwa kulingana na mapigo ya injini (engine stroke/cycle). Hapa kuna aina mbili (2) injini kulingana na mapigo Kuna 2 Stroke Outboard...
5 Reactions
36 Replies
3K Views
Nina ka milioni 3 hapa na akili inanituma ninunue Toyota mark 2 number A either iwe chaser au grande. Vipi kuhusu uimara wake Fuel consumption Service Uwezo wa safari ndefu Cc zake. Gari za...
4 Reactions
10 Replies
1K Views
Husika na mada hapo juu wanaJamiiForums. Huu mwezi nimesifiri na hizi basi ABC upper class ni Yutong na kisbo ina chata ya Higer nimeona utofauti Yutong hazina utulivu barabarani. Barabara zetu...
5 Reactions
14 Replies
3K Views
Ni namna gani fuel injectors zinasafishwa? Tupeni uzoefu wakuu.
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Jamani mwenye uzoefu na hizi chip zinazochomekwa kwenye OBD2 kw ajili ya kuratibu na kupunguza ulaji wa mafuta anisidie Kama kweli zinafanya kazi Asante
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Wakubwaa naomba kujuzwa. Kume kuwa na kamchezo watu wananunua aina hii ya Magari yakiwa mabovu sanaa yamechakaa kisha hupelekwa Garage na kutengenezwa na kuwa mpyaa kabisaaa. Kuulizia wanazengo...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Wiki ya nenda kwa usalama imeanza katika baadhi ya mikoa, ambapo itaambata na ukaguzi wa vyombo vya moto pikipiki, gari ndogo na kubwa na baada ya ukaguzi mmiliki analipia stika (pikipiki) Sh...
4 Reactions
10 Replies
2K Views
Kwa mwenye uzoefu au idea na gari za VW-Golf naomba kufahamishwa kama ni reliable car yaani kama zinapiga kazi vizuri au garage mara kwa mara na fuel consumption yake pia au bora nibaki tu huku...
1 Reactions
15 Replies
4K Views
Habari wana Jamii, Nahitaji kununua gari, kwa bajeti ya milioni 7, Ni aina zipi za magari ambazo naweza kupata zikiwa katika hali nzuri? Karibuni..
2 Reactions
18 Replies
4K Views
Wadau habari za siku? Natumai mtakuwa vyema kwa wagonjwa na wenye matatizo poleni. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, naomba kujua tofauti ya gari hizo hasa kuanzia models za kuanzia...
4 Reactions
48 Replies
15K Views
1. Nawezaje kuagiza trekta used toka South Afrika. 2. Ni kampuni ipi ya South Afrika ni ya uhakika kwenye kuuza hizo machine 3. Gharama ya kusafirisha mpaka Bongo inaweza kuwaje? 4.Nimeona...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Natafuta carburettor ya suzuki carry maarufu kwa jina la Kirikuu.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nina gari tajwa hapo juu ambayo anaitumia mke wangu, lakini naona kama itanifilisi inatumia sana mafuta ya Lita 1 inakimbia km 6 na wakati nilinunua gari hii nikijua ni nzuri kwenye mafuta, gari...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Habari wakubwa kwa wadogo. Awali ya yote nipende kumshukru Mwenyezi Mungu kwa zawadi ya uhai, Maisha, pia zawadi ya kkutanishwa na watu mbalimbali, wenye mawazo mbalimbali, na mitazamo mbalimbali...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Hery ya Mwaka mpya 2020. Kutokana na uvivu wa kufanya mazoezi ya viungo, kupanda kwa gharama za Maisha (hata jamiiforums hawapati matangazo 😢😢😢). Nataka niaze kutumia Usafiri wa BAISIKELI...
2 Reactions
22 Replies
6K Views
Hii ndo maana halisi ya gari kuitwa baby walker kanabebwa na watu wanne tu [emoji23][emoji23][emoji23] Nissan juke
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom